Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

You are already intimidated 😂😂😂 wanaume mtapata lini confidence?

Yani mimi kujiamini tayari ni a “manipulative pussy bitchass” tusi lote hilo baki nalo mwenyewe. Just to show you that I’m confident enough not to be shattered by a mere opinion of a loose ass n***a. Surround yourself with self motivated ladies hutokua na tu uoga uoga na other ladies.
Man up🤣
I got strong ladies allround me. Hawajawahi kuji bluff in the same way you does it!
 
Ila tafuteni ela aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vi challenge kidogo mnatoka povu kama mmenyweshwa OMO.

Mi ndo maana napenda wanaume wenye amri. Like tell me what to do in a respectful way deep down ntajiskia raha.

Sio ulalamishi inakushushia heshima.
Mbona tunajiamini sana tu, tatizo wala sio kujiamini mkuu. Tatizo ni kukutana na mwanamke mwenye itikadi za 50/50, anataka achukue nafasi yake na ya mwanaume. Mtu wa namna hiyo kuishi nae ni ngumu uwe na hela au usiwe nazo.

Kila mtu akikaa kwwnye nafasi yake, wewe uwe mwanamke na uishi kike, na mimi niwe mwanaume na niishi kiume, sishani kama hizi tofauti zitaleta shida.
 
Mbona tunajiamini sana tu, tatizo wala sio kujiamini mkuu. Tatizo ni kukutana na mwanamke mwenye itikadi za 50/50, anataka achukue nafasi yake na ya mwanaume. Mtu wa namna hiyo kuishi nae ni ngumu uwe na hela au usiwe nazo. Kila mtu akikaa kwwnye nafasi yake, wewe uwe mwanamke na uishi kike, na mimi niwe mwanaume na niishi kiume, sishani kama hizi tofauti zitaleta shida.
Unaishi naye Tu kibishi unamdhirishia kuwa yeye ni mwanamke na ww ni mwanaume mbona mungu Alisha maliza kazi pale Eden kazi yako saiv ni ndogo sana(aliambiwa utatamani sana kuwa kama mwanaume lakini haitawezekana )yaani ni sawa na MTU anaenda vitani lakini ashashindwa na anajua ashashindwa anaenda kushiriki tu
 
Mbona tunajiamini sana tu, tatizo wala sio kujiamini mkuu. Tatizo ni kukutana na mwanamke mwenye itikadi za 50/50, anataka achukue nafasi yake na ya mwanaume. Mtu wa namna hiyo kuishi nae ni ngumu uwe na hela au usiwe nazo. Kila mtu akikaa kwwnye nafasi yake, wewe uwe mwanamke na uishi kike, na mimi niwe mwanaume na niishi kiume, sishani kama hizi tofauti zitaleta shida.
Sasa wewe ndo umeongea kistaarabu wenzako wanakuja na matusi.

Hapa tutaenda sawa, personally siamini katika 50/50 ndani ya nyumba. Kwanini mwanaume arudi kutoka kazini ajifanyie kazi zake? Kwanini apike au afue wakati mkewe nipo? Kwanini nisimtengee chakula. Yaani vyote hivyo ni mwanamke ndo napaswa kufanya.

Tatizo linakuja pale ambapo mwanamke analazimisha haki sawa anazoskia kwenye tv kuzileta nyumbani. That’s not right. Nadhani haki sawa wanazosema ni kwenye elimu na fursa kwenye jamii na sio wajibu wa mwanamke kwa mume wake.

Kwanza mimi siwezi kuolewa au kuishi na mwanaume ambae hana say kwangu, siwezi kuishi na mwanaume ambae mimi ndo nafanya maamuzi seriously tutashindwana.

I like a decision making man tena mwenye utashi aisee hapo ntakua submissive vizuri tu. Kinachonishinda ni inferiority complex. Wanaume wengi wana wanawaangalia wanawake with a negative mentality na kuanza kuwadharau ndo maana mtu anajitetea. Being submissive is sexy bwana.
 
Nilichogundua.. Jamii forum ina misogynists wengi sana. (You’ll need to google the term).

Mwanaume ambae anajiamini hatetereshwi na confidence ya mwanamke. Only inferiors feel intimidated by a woman’s confidence.

Yani unataka ukifika mahali kila msichana ainame kama kaingia mfalme? Ama?

Punguzeni inferiority complex automatically mtaacha kuchukia wanawake wanaojitambua. Hivi haki sawa kwani ni kwenye kuosha vyombo? Si ni fursa za kimaendeleo ama?

Wewe kamata kishoia wako wa ku bow down and stop downgrading women. Jiamini bro.!

Yani mada za humu utakuta ni wanaandamwa wanawake as if ni viumbe ambao hawaja wazaa? Like seriously mna shida kubwa kichwani. Mwanaume mwenye pesa na confidence zake haogopi mwanamke challenging. Ila inaeleweka mkikua mtaacha uoga😅
Vijana hawajiamini,wana maumivu sana. Mwisho wanageuka mahaters na kujificha kwenye "uanaume".
 
Wala hujakosea ndugu. Ila subiri wakimaliza mahangaiko yao huko watakuja hapa ligi ianze
 
Vijana hawajiamini,wana maumivu sana. Mwisho wanageuka mahaters na kujificha kwenye "uanaume".
Na hawataki kueleweshwa kwamba wanawake hawawadharau ni wao wenyewe ndo wanajidharau. Defence yao kubwa ni matusi na mikwara utasema itasaidia. Wanadhani sisi ni wajeuri tungeishi kwenye ndoa hadi leo?😂 hakuna binadamu atakaetukanwa akanyamaza.

Humu Jf kumejawa na threads nyingi sana zinazoongelea negativity za wanawake ila sijawahi ona mwanamke akianzisha thread za kukashfu wanaume na hakuna sababu ya kufanya hivyo.

AJIWAZIAVYO MTU MOYONI MWAKE NDIVYO ALIVYO.
 
Mimi mwanamke kama ni mpambanaji hata akiwa kawa mwanaume au akidai haki sawa kwangu naona ni sawa tu

Ila nachukia kuona hivi ambavyo havina chochote,havina mchango wowote katika familia zaidi ya kuongeza idadi ya watu tu,unakuta nako kanajimwambafai na kudai haki sawa
 
Na hawataki kueleweshwa kwamba wanawake hawawadharau ni wao wenyewe ndo wanajidharau. Defence yao kubwa ni matusi na mikwara utasema itasaidia. Wanadhani sisi ni wajeuri tungeishi kwenye ndoa hadi leo?😂 hakuna binadamu atakaetukanwa akanyamaza. Humu
Jf kumejawa na threads nyingi sana zinazoongelea negativity za wanawake ila sijawahi ona mwanamke akiamzisha thread za kukashfu wanaume na hakuna sababu ya kufanya hivyo.

AJIWAZIAVYO MTU MOYONI MWAKE NDIVYO ALIVYO.
They look strong outside Ila wengi wapo very weak inside, fragile self esteem Mwisho wanakua intimidated na vitu vidogo kama confidence ya mwanamke. Wanataka mwanamke weak because they're weak too ila wanajiticha kwenye ubabe,kashfa na dharau.

Mwanaume ukiwa na confidence inside no matter Hali uliyonao uwe maskini,tajiri au Hali yoyote Ile you can still bag a nice women. Utakuta mtu katafuta pesa Kwa shida akitegemea itampa wanawake akikutana na high quality women akizodolewa na pesa zake anabaki na makasiriko.
 
Mimi mwanamke kama ni mpambanaji hata akiwa kawa mwanaume au akidai haki sawa kwangu naona ni sawa tu

Ila nachukia kuona hivi ambavyo havina chochote,havina mchango wowote katika familia zaidi ya kuongeza idadi ya watu tu,unakuta nako kanajimwambafai na kudai haki sawa
Sisi hatuwezi kuwa kama wanaume na hatutaki kuwa kama wanaume. Tunataka kuwa na uwezo wetu wa Kupambana kuleta maendeleo kwenye jamii na maisha binafsi na kwenye nyanja za familia tunapenda kum support mwanaume lets say kwenye majukumu ya familia labda mume amekwama kidogo Mimi Siwezi kusema kwa watu kwamba ndo nalipia watoto Ada au nalisha familia.

Napenda mume wangu abaki kama kichwa cha familia then chumbani ndo tunajua alipokwama namsaidia ila huku nje he is still the father of the house. It all starts with how husbands treat their wives, kikubwa ni kuthamini tu mchango, mwanamke mbona atajitoa sana tu.
 
Sasa wewe ndo umeongea kistaarabu wenzako wanakuja na matusi.

Hapa tutaenda sawa, personally siamini katika 50/50 ndani ya nyumba. Kwanini mwanaume arudi kutoka kazini ajifanyie kazi zake? Kwanini apike au afue wakati mkewe nipo? Kwanini nisimtengee chakula. Yaani vyote hivyo ni mwanamke ndo napaswa kufanya.

Tatizo linakuja pale ambapo mwanamke analazimisha haki sawa anazoskia kwenye tv kuzileta nyumbani. That’s not right. Nadhani haki sawa wanazosema ni kwenye elimu na fursa kwenye jamii na sio wajibu wa mwanamke kwa mume wake.

Kwanza mimi siwezi kuolewa au kuishi na mwanaume ambae hana say kwangu, siwezi kuishi na mwanaume ambae mimi ndo nafanya maamuzi seriously tutashindwana.
I like a decision making man tena mwenye utashi aisee hapo ntakua submissive vizuri tu. Kinachonishinda ni inferiority complex. Wanaume wengi wana wanawaangalia wanawake with a negative mentality na kuanza kuwadharau ndo maana mtu anajitetea. Being submissive is sexy bwana.

You have nailed it
 
Sisi hatuwezi kuwa kama wanaume na hatutaki kuwa kama wanaume. Tunataka kuwa na uwezo wetu wa Kupambana kuleta maendeleo kwenye jamii na maisha binafsi na kwenye nyanja za familia tunapenda kum support mwanaume lets say kwenye majukumu ya familia labda mume amekwama kidogo Mimi
Siwezi kusema kwa watu kwamba ndo nalipia watoto Ada au nalisha familia. Napenda mume wangu abaki kama kichwa cha familia then chumbani ndo tunajua alipokwama namsaidia ila huku nje he is still the father of the house. It all starts with how husbands treat their wives, kikubwa ni kuthamini tu mchango, mwanamke mbona atajitoa sana tu
Hapo sawa
 
They look strong outside Ila wengi wapo very weak inside, fragile self esteem Mwisho wanakua intimidated na vitu vidogo kama confidence ya mwanamke. Wanataka mwanamke weak because they're weak too ila wanajiticha kwenye ubabe,kashfa na dharau.

Mwanaume ukiwa na confidence inside no matter Hali uliyonao uwe maskini,tajiri au Hali yoyote Ile you can still bag a nice women. Utakuta mtu katafuta pesa Kwa shida akitegemea itampa wanawake akikutana na high quality women akizodolewa na pesa zake anabaki na makasiriko.
Ndo tatizo yaani. Mwanamke hawezi ku stoop just because aweze ku accomodate fear ya mwanaume.

Mimi kuwa nilivyo hakukushushii wewe heshima kama mwanaume. Kaa kwenye nafasi yako uone. Njoo na mentality kwamba I am your helper and you are thé leader ndani ya familia. Sasa akikukuta una kazi tayaari akilini mwake anajiwekea wewe unadharau. Lazima uone hivyo.

Tunatamani tuwasaidie ila vijiwe vinawaponza. There’s a very thin line kwenye hii understanding na hadi tuje tufike consensus ni lazima stereotypes ziondolewe kwamba mwanaume hawezi kuwa kama mwanamke na mwanamke hawezi kuwa kama mwanaume na hakuna anaetaka kuwa hivyo. Kikubwa ni heshima.
 
50/50 haiwezi kuwa applied ndani ya ndoa au in a relationship, kila jinsia itasimama ktk majukumu yake. 50/50 ipo katika nyanja zingine katika social development, uongozi, umiliki wa radhi, elimu, fursa za ajira n.k. Pia hii ideology ya 50/50 both sides men and women waelewe inalenga nini na sio kuvutana kuonyeshana nani ni zaidi ya mwingine.

Sote tunategemea na hili neno feminism tusumbue akili zetu kutaka kujifunza ina maana gani na mlengo wake ni nini basi hata tu google tusome tuielewe maana yake na sio tujaze vichwa vyetu kwa maana tunazozijua sisi na kucreate hate among men and women
 
Sijui mnachosema ila habari zq 50/50 sizitaki
Heri nioshe vyombo kuliko mshahara wangu nao ukawe kwenye mahesabu ya majukumu kwa shuruti [emoji1787][emoji1787]
Ukijua kutaka haki sawa sharti ya mshahara uwe haki sawa , mimi hapo pa hela hapo ndo kwakweli hapana nipigike nikijua kabisa mwisho wa mwezi nafanya hiki na hiki sawa na mume wangu [emoji114]...
Mwanaume asimame kwenye nafasi yake ya URais na mimi ntakua Makamu wake perioddddddd

Waswahili wanasema "Hiari inashinda utumwa" naweza kufanya jukumu/majukumu yoyote tena makubwa kuliko ya mume ila kwa hiari yangu! Nikasomesha nikalisha familia nikavisha mume na watoto mpaka na wakwe nikafanya yale ambayo mwanaume huwa hafocus nayo sana,yale mambo ambayo mimi kama msaidizi naweza kuyaona au kuyafikiria maana nyumba ni mama asikwambie mtu

Disadvantage za 50/50 ni kubwa kuliko kila mtu akisimama kwenye nafasi yake, ntayavaa majukumu yote ya president endapo atatutoka sio vinginevyo.
 
Sasa wewe ndo umeongea kistaarabu wenzako wanakuja na matusi.

Hapa tutaenda sawa, personally siamini katika 50/50 ndani ya nyumba. Kwanini mwanaume arudi kutoka kazini ajifanyie kazi zake? Kwanini apike au afue wakati mkewe nipo? Kwanini nisimtengee chakula. Yaani vyote hivyo ni mwanamke ndo napaswa kufanya.

Tatizo linakuja pale ambapo mwanamke analazimisha haki sawa anazoskia kwenye tv kuzileta nyumbani. That’s not right. Nadhani haki sawa wanazosema ni kwenye elimu na fursa kwenye jamii na sio wajibu wa mwanamke kwa mume wake.

Kwanza mimi siwezi kuolewa au kuishi na mwanaume ambae hana say kwangu, siwezi kuishi na mwanaume ambae mimi ndo nafanya maamuzi seriously tutashindwana.
I like a decision making man tena mwenye utashi aisee hapo ntakua submissive vizuri tu. Kinachonishinda ni inferiority complex. Wanaume wengi wana wanawaangalia wanawake with a negative mentality na kuanza kuwadharau ndo maana mtu anajitetea. Being submissive is sexy bwana.
Sauti imesikika vizu Sana madam

Nimekupenda bure kabisa.
 
Waliokua wanatukana huko juu hawakuelewa hata unamaanisha nini kwasababu ya hiyo mentality waliyonayo. Waje wasome vizuri hii comment waacha makasiriko
 
Sijui mnachosema ila habari zq 50/50 sizitaki
Heri nioshe vyombo kuliko mshahara wangu nao ukawe kwenye mahesabu ya majukumu kwa shuruti [emoji1787][emoji1787]
Ukijua kutaka haki sawa sharti ya mshahara uwe haki sawa , mimi hapo pa hela hapo ndo kwakweli hapana nipigike nikijua kabisa mwisho wa mwezi nafanya hiki na hiki sawa na mume wangu [emoji114]...
Mwanaume asimame kwenye nafasi yake ya URais na mimi ntakua Makamu wake perioddddddd

Waswahili wanasema "Hiari inashinda utumwa" naweza kufanya jukumu/majukumu yoyote tena makubwa kuliko ya mume ila kwa hiari yangu! Nikasomesha nikalisha familia nikavisha mume na watoto mpaka na wakwe nikafanya yale ambayo mwanaume huwa hafocus nayo sana,yale mambo ambayo mimi kama msaidizi naweza kuyaona au kuyafikiria maana nyumba ni mama asikwambie mtu

Disadvantage za 50/50 ni kubwa kuliko kila mtu akisimama kwenye nafasi yake, ntayavaa majukumu yote ya president endapo atatutoka sio vinginevyo.

Halafu 50/50 haiwezi kuwa applied ndani ya ndoa. Na uanzilishwaji wa hii ililenga vitu vingine, kama kwenye elimu, ajira, umiliki wa ardhi, uongozi kuwe na usawa wa kijinsia
 
Back
Top Bottom