Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Huyo mwanaume nae mjinga tu, japo kuhukumu sio sawa coz huwezi kujua yupo na mwanamke wa aina gani.
Tunarudi kule kule. Mnawatupia lawama wanawake always kwamba labda yeye ndo chanzo. So solution alotumia mwanaume mwenzenu kumpeleka mchepuko hapo ndo sawa? Inamaana siku mwanaume ataamua tu amfukuze mkewe amuweke mchepuko. Na hali hiyo amejenga nae.

Ukiwakuta hawa ambao hawataki mwanamke afanye kazi. Anaamka siku kashikwa na mchepuko anamfukuza mkewe ataenda wapi?
 
Siku ukilala hiyo miezi sita umejipangaje na ilhali wewe unategemea mshahara tu. Au vibarua. Familia yako utaiendeshaje ukiwa kitandani na ulishamwambia mkeo asijishughulishe na chochote wewe utamuhudumia
Kama umenielewa, hapo ndipo hoja yangu ilipo na sio kulala tu. Je, nikifa leo na mke wangu nimemfungia ndani toka miaka kumi iliyopita, hajui chochote. Ndio mwanzo wa mivurugano na kuharibu familia.

Lakini pia, binti yangu anasoma ili iweje kama kesho mumewe atamwambia alee watoto?

Feminism inatafsiriwa kwa namna nyingi, binafsi siitafsiri namna wengi wanavyotafsiri.
 
Kiufupi baadhi ya wanaume wanaendesha familia wanavyojua wao. Ila hawajatathmini hali ya maisha miaka ya baadae.
 
Sasa kwasababu tushayaona ndo tunajaribu kuelewesha na wengine kwamba dunia hii ukimtegemea mwanaume, hata ufanyeje siku ataamua kukuacha na kutafuta mwanamke wa design yake utaenda kutafuta maisha wapi?

Basi uki raise hiyo mada watakwambia kwanini mwanaume akuache lazima ulimkorofisha[emoji23] wanasahau tena wanasema mwanaume kuwa na mwanamke mmoja sio rahisi. So akiamua kwenda kwa huyo mwengine bado kosa ni lako.

Ukiwaeleza ndo unaambulia kuitwa feminist[emoji23] hii dunia hii akili kichwani mwako
Kwanza hela yenyewe ya kusubiri mtu akupe unajua inavyotesa? Wakati kumbe kama una hela yako hutopitia kabisa hayo mateso.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ndo maana mnaenda kushirikiana na michepuko hadi mnazaa nao kwasababu hamtaki wake zenu wajue mienendo yenu. Mkeo unamletea watoto wa nje watatu plus wakwake watatu awalee. Siku unakufa umemwacha mkeo hana kitega uchumi chochote ndugu zako wanakuja kubeba mali wanamwacha na mzigo wako. Wanaume shkamoo
kwahio wanaume ndio wanaanza kufatu? nyie hamuwezi kuanza. hatuja kataa mwanamke kutafuta hela bali hatutaki kushilikiana kwenye mambo yamsingi Kama kampuni na nyumba kwasababu mudawowote mna haribu hasa mkijua mna haki yenu kwenye kitu mlicho tafuta na mwanaume ndio mnakua jeuri balaa kwasababu mkiachana mnagawana. ila mkiwa hamnachenu mnakua wapole
 
View attachment 2445006
Wanaume mngekua mna akili msingekua mnafanya haya mambo. Fusebox kwahiyo ndo maana mnashirikisha michepuko au sio? Saizi wanawake wameamka.

The unpaid Seller tunaomba neno lako hapa
haya ndio matatizo ambayo wanaume tunayaepuka "kushirikiana na mwanamke kwenye mipango"kinacho takiwa mwanaume Jenga nyumba yako ndio mwambie mkeo au michepuko ahamie. hapo hawezi kuleta kiburi kwasababu hajui hata garama ulizo tumia kujenga zaidi yayeye kukaatu tena kwaadabu zote. akiweza kufanya hivyo vibiashara vya kununulia poda nachipsi afanyetu hakuna shida.au Kama amesoma nayeye fresh mshara wake atajua kwakuupeleka
 
Dada yangu alipata mume wa design yako, ameishi nae miaka 9 kwenye ndoa walijenga nyumba na mwanaume akaandika majina yake na akaishia kumfukuza dada alirudi nyumbani kuanza upya.

Kwakuwa mwanamke hatakiwi kuwa na sauti dada yangu aliolewa alipotoka form six so kweli hakuwa na kazi wala future. Mume alikua ana mnyanyasa kama mnyama. Anampiga mbele ya watoto kisa dada ameenda kanisani. Anamwambia we umekuja na nini hapa takataka huna mbele wala nyuma. Unajifanya unaenda kusali jumapili kumbe huna lolote.

Awamu ya pili dada alipigwa kisa amechelewa kuanua nguo za mumewe mvua ikanyesha akamwambia wewe unajua hata bei ya hii suruali. Kwenu mnayo? Alimpiga dada akazimia akapelekwa hospitali.

Gharama za hospitali mume akamwambia sina hela waambie ndugu zako. ni nesi ndo akamsaidia akapona. Kuna Binamu yetu Akamwambia kwanini usirudi chuo kusoma upate na kazi siku nyingine ukipigwa uwe hata na ela ya kujihudumia. Ni kauli kali ila ina ujumbe.

Dada akamuomba mumewe akasome chuo mume akamwambia baki hapa lea watoto mimi sina uwezo wa kuweka housegirl. Kumbuka dada ndo alikua mkubwa na nyumbani walikua wanamtegemea, sisi tulikua primary kipindi hicho. Mama aliumwa hadi anakuja kupona alichangiwa na majirani maana ndugu zake walishafariki. Msaada aliokua anautegemea ni dada ambae alimsomesha kwa shida sana.

Kufupisha story, mume ilifika hatua akamwambia dada amechoka kukaa na mzigo hivyo aondoke. dada akarudi nyumbani akapata ufadhili kanisani akasomea unesi. Miaka miwili. Akapata kazi kwenye hospitali ya kanisa. Mume alivoskia mkewe kapata kazi akaenda kwa mama akamwambia mke wangu sikuachana nae kwa talaka nataka turudiane.

Dada na upole wake akakubali. Wamekaa baada ya mwaka mwanaume anamwambia acha kazi ntakulea na watoto. Dada akasema mama na wadogo zangu wananitegemea mwanaume akaanza kumpiga tena anasema kwanini anamdharau au kisa amepata kazi. Na wakati hajarudiana na mumewe dada akawa ameshaanza msingi wa nyumba ya vyumba viwili kijijini huko. Mwanaume kuskia hivyo akasema kwanini hakumshirikisha. Akamwambia bora waweke nguvu wajenge wote mjini. Dada akakubali maana angekataa ni vipigo tena.

Nyumba ya mjini ilivyoisha mwanaume akaandika tena majina yake na safari hii akaoa na mke wa pili. Akamwambia dada kama huwezi kukaa hapa ondoka urudi kwenu au kubali kuwa na mke mwenzio. Manyanyaso yalizidi yani story ni ndefu. Ila mimi hakuna mwanaume atakae niambia eti mwanamke akae tu nyumbani amuhudumie nikaelewa. Nyinyi mnaukatili mkubwa sana mwanamke asipokua na chochote. Hivi nnavyokwambia dada amerudi kijijini. Ilibidi aanze upya. Hadi sisi tunakuja kupata kazi na kuanza kumshika mkono keshachakaa na hiyo ndoa na mateso.

Wanaume nyinyi mnaoteteana sijui mwanamke usimshirikishe nyinyi ndo wabinasfi wakubwa mnafanya hivyo ili muweze kuwa control wakina mama.
 
Maskini. So hakutaka mwenzie awe na maendeleo au?
Hizo scenario nimekutana nazo sana. wadada wanaoacha kazi kwa amri ya waume zao nawapongeza kwakweli. Wengi wameishia kupoteza mwelekeo mume anamuacha kwasababu anamuona mzigo. Sasa unajiuliza si alisema atakutunza?
Mwengine alimuachisha kazi mkewe kama miaka 6 iliyopita. Yule muhasibu akawa mama wa nyumbani. Mwaka juzi mumewe kafariki analetewa watoto wanne wa nje wa mume wake na kesi ya mirathi ilienda hadi hukumu iliyotoka ni kwamba nyumba iuzwe ili wagawane watoto wote yaani wa nje na wa kwake yeye ambao ni wawili. Yule dada ndo ameanza kujifunza kutengeneza sabuni auze apate ela na wanae maana mali za mume wake wanagawana na watoto wa nje na kazi aliacha serikalini. So hana chochote. Ajira ngumu mtaani. Yuko mkoani na wanae wa primary hajui aanzie wapi hata ada hana. Yani inshort mume Kamuacha hana mbele wa nyuma. Na anasema hakuwahi kumfatilia mumewe kama ana mchepuko au mtoto nje na kinachomshangaza watoto ni wadogo kwa hawa wakwake that means amewazaa akiwa tayari amemuoa huyo dada.
Mimi waniite tu mjuaji. Kwa niliyoyaona katika mifano hai ni mazito. Mwanamke usitegemee cha kupewa utakuja kufa mdomo wazi.
 
Simulizi za kutunga ni nyingi sana jf kama una muda unaweza kupita pita na kufurahia vipaji kuntu vya utungaji wa riwaya. Unasoma simulizi na unaona ni porojo la kutunga A to Z.

Zamani jf ilikua home of thinkers siku hizi imekua saluni ya mama Kimbo yote shukrani kwa the brainless gender.
 
Kama unanduguzako wakiume sizani Kama utawashauri mambo yaujenzi au miradi ashirikiane na mkewe namwanamke mwenyewe awe dizaini yako Bibi hakisawa. atapata hasara Mana hio ndoa haitaenda popote nahizo mali watazigawa mwisho wasiku anaanza moja au anajikatia tamaa kabisa.
Utajijua mzee. Mi kwenye ndoa yangu naishi na mwanaume anaejielewa. Hababaishwi na fikra za kipuuzi. Tumekua wote tangu chuo. Tumeanza wote maisha na saizi tuna miaka kibao kwenye ndoa. Na kwa bahati nzuri majina ya vitu vyetu vyote ni vya watoto. Sisi hatujiwazii ubinafsi kama nyie eti ndoa ikivunjika sijui atagawana na nani. Hizo ni hulka za kibinafsi. Miradi yote tunayoanzisha ela inaenda kwenye apartments na majina ni ya watoto. Maskini mna fikra za kijinga sana na kibinafsi sana ndo maana mnapenda wanawake malofa ili muwapelekeshe. Mbona kijijini wanawake hawajasoma ila ndoa zinavunjika.

Kila mtu abaki na utaaira wake kichwani. Wewe na mkeo ishini kivyenu.

Mimi na wangu tunaishi na mipango yetu. Hakuna anaewaza nani atamuacha nani wala nani ataanza kufa maana hata bank acc tuna joint acc. Nyie mmeoana kweli au mmeokotana? Ubinafsi unawaua

Na wanaume wenye fikra kama zenu ndo mnaongoza kwa kuhangaika nje.

Mali mnazowaza zinapokonywa kwanini msiweke kwenye trust hata huyo mkeo hatokua na uwezo wa kuzigusa ila sio mnazitapanya mnakuja kuwatesa watoto bila sababu. Acheni ubinafsiii tatizo vichwa box mnashindwa kuwaza positivity.
 
Peace be upon you all.

Nimekuja kugundua wanawake wenye vijitabia vya ufeminism sina muda wala sitaki shobo nao hata punje.

Binafsi ni mwanaume ninaeamini katika jinsia tofauti zenye majukumu tofauti, yani mwanaume ni mwanaume na nafasi yake haiwezi kuchanganywa na mwanamke hali kadhalika mwanamke ni mwanamke na nafasi yake kamwe haiwezi kulinganishwa au kusindanishwa na mwanaume.

Nikisikia tu mwanamke analeta mind set za haki sawa bla bla bla hata kama ni ndugu taratiibu namuondoa katika kundi la watu ninaowasiliana nao. Nawaona kama madume jike na nakosa positive vibes kabisa kwa hawa viumbe, watanisamehe tu.

Kinyume chake nimekuwa navutiwa sana na wanamake wanaoikubali nafasi yao kama wanawake, hawajishindanishi wala kujilinganisha na wanaume. Nakiri wazi nawapenda sana wanawake hawa Mungu awape mairha marefu.

Hali hi ya kutotaka ukaribu na "masupawuman" imenisababisha kuwaweka kando wanawake wengi na kuonekana naringa na sina time ya kuwaeleza kwanini nimewaweka kando kwasababu siwezi hata kuongea na wanawake mafeminists naona napoteza muda wangu kwa viumbe wanaofake mambo, limbukeni na wajinga wa utandawazi.
My all time thread
 
Dada yangu alipata mume wa design yako, ameishi nae miaka 9 kwenye ndoa walijenga nyumba na mwanaume akaandika majina yake na akaishia kumfukuza dada alirudi nyumbani kuanza upya.

Kwakuwa mwanamke hatakiwi kuwa na sauti dada yangu aliolewa alipotoka form six so kweli hakuwa na kazi wala future. Mume alikua ana mnyanyasa kama mnyama. Anampiga mbele ya watoto kisa dada ameenda kanisani. Anamwambia we umekuja na nini hapa takataka huna mbele wala nyuma. Unajifanya unaenda kusali jumapili kumbe huna lolote.

Awamu ya pili dada alipigwa kisa amechelewa kuanua nguo za mumewe mvua ikanyesha akamwambia wewe unajua hata bei ya hii suruali. Kwenu mnayo? Alimpiga dada akazimia akapelekwa hospitali.

Gharama za hospitali mume akamwambia sina hela waambie ndugu zako. ni nesi ndo akamsaidia akapona. Kuna Binamu yetu Akamwambia kwanini usirudi chuo kusoma upate na kazi siku nyingine ukipigwa uwe hata na ela ya kujihudumia. Ni kauli kali ila ina ujumbe.

Dada akamuomba mumewe akasome chuo mume akamwambia baki hapa lea watoto mimi sina uwezo wa kuweka housegirl. Kumbuka dada ndo alikua mkubwa na nyumbani walikua wanamtegemea, sisi tulikua primary kipindi hicho. Mama aliumwa hadi anakuja kupona alichangiwa na majirani maana ndugu zake walishafariki. Msaada aliokua anautegemea ni dada ambae alimsomesha kwa shida sana.

Kufupisha story, mume ilifika hatua akamwambia dada amechoka kukaa na mzigo hivyo aondoke. dada akarudi nyumbani akapata ufadhili kanisani akasomea unesi. Miaka miwili. Akapata kazi kwenye hospitali ya kanisa. Mume alivoskia mkewe kapata kazi akaenda kwa mama akamwambia mke wangu sikuachana nae kwa talaka nataka turudiane.

Dada na upole wake akakubali. Wamekaa baada ya mwaka mwanaume anamwambia acha kazi ntakulea na watoto. Dada akasema mama na wadogo zangu wananitegemea mwanaume akaanza kumpiga tena anasema kwanini anamdharau au kisa amepata kazi. Na wakati hajarudiana na mumewe dada akawa ameshaanza msingi wa nyumba ya vyumba viwili kijijini huko. Mwanaume kuskia hivyo akasema kwanini hakumshirikisha. Akamwambia bora waweke nguvu wajenge wote mjini. Dada akakubali maana angekataa ni vipigo tena.

Nyumba ya mjini ilivyoisha mwanaume akaandika tena majina yake na safari hii akaoa na mke wa pili. Akamwambia dada kama huwezi kukaa hapa ondoka urudi kwenu au kubali kuwa na mke mwenzio. Manyanyaso yalizidi yani story ni ndefu. Ila mimi hakuna mwanaume atakae niambia eti mwanamke akae tu nyumbani amuhudumie nikaelewa. Nyinyi mnaukatili mkubwa sana mwanamke asipokua na chochote. Hivi nnavyokwambia dada amerudi kijijini. Ilibidi aanze upya. Hadi sisi tunakuja kupata kazi na kuanza kumshika mkono keshachakaa na hiyo ndoa na mateso.

Wanaume nyinyi mnaoteteana sijui mwanamke usimshirikishe nyinyi ndo wabinasfi wakubwa mnafanya hivyo ili muweze kuwa control wakina mama.
kwanza ukiona mwanaume anampiga mkewake ujue Hana akili hivyo anapaswa mwanamke aombe taraka lakini dadako alingangania niuzembe wake. nakuto mshirikisha mwanamke kwenye mambo yetu sio kwamba tunataka tuwakontroo hapana Bali tunaogopa kuanza moja kutokana naakili zenu tunazijua kuharibu nidakika sifuri.mkogombana kidogotu mnaanza kudai mgawane Mali mlizo chuma
 
Sawa sasa kama hapo nani kaharibu? Muda umepata mke anaenyenyekea obviously utampelekesha unavyotaka. Na akili ya kuomba talaka huwa haipo anaamini ndoa ni uvumilivu kwasababu akijitetea tayari anaitwa feminist. Nyumba amejenga na dada yangu mbona dada alimwachia akaondoka. Hadi leo anaishi na huyo mwanamke wake. So nguvu ya dada yangu yote ilipotea. Na dada angesema ajenge Kivyake bado angeitwa feminist hamshirikishi mmewe, amejenga nae amemdhulumu. Mnaona ubinafsi wenu ulipo? Bora mwanamke ajipambanie tu.
 
Utajijua mzee. Mi kwenye ndoa yangu naishi na mwanaume anaejielewa. Hababaishwi na fikra za kipuuzi. Tumekua wote tangu chuo. Tumeanza wote maisha na saizi tuna miaka kibao kwenye ndoa. Na kwa bahati nzuri majina ya vitu vyetu vyote ni vya watoto. Sisi hatujiwazii ubinafsi kama nyie eti ndoa ikivunjika sijui atagawana na nani. Hizo ni hulka za kibinafsi. Miradi yote tunayoanzisha ela inaenda kwenye apartments na majina ni ya watoto. Maskini mna fikra za kijinga sana na kibinafsi sana ndo maana mnapenda wanawake malofa ili muwapelekeshe. Mbona kijijini wanawake hawajasoma ila ndoa zinavunjika.

Kila mtu abaki na utaaira wake kichwani. Wewe na mkeo ishini kivyenu.

Mimi na wangu tunaishi na mipango yetu. Hakuna anaewaza nani atamuacha nani wala nani ataanza kufa maana hata bank acc tuna joint acc. Nyie mmeoana kweli au mmeokotana? Ubinafsi unawaua

Na wanaume wenye fikra kama zenu ndo mnaongoza kwa kuhangaika nje.

Mali mnazowaza zinapokonywa kwanini msiweke kwenye trust hata huyo mkeo hatokua na uwezo wa kuzigusa ila sio mnazitapanya mnakuja kuwatesa watoto bila sababu. Acheni ubinafsiii tatizo vichwa box mnashindwa kuwaza positivity.
Mimi nimeoa wake wawili nimewajengea kilamtu sehemu yake wanakula vizuri nawanalala pazuri namichepuko ninayo. sasa huyo mumeo sijui Kama anahata huyo mchepuko nasiku akikuambia anataka akuongezee mwenzio nahisi ndio mwisho wandoa yenu kutokana nawewe kua mjuaji sana Bibi 50kwa50.ualabda jama avumilietu afe natai shingoni. raha yamwanaume nikufanya anacho taka sio kupangiwa pangiwa hasa ukiwa nakipato chako
 
kwanza ukiona mwanaume anampiga mkewake ujue Hana akili hivyo anapaswa mwanamke aombe taraka lakini dadako alingangania niuzembe wake. nakuto mshirikisha mwanamke kwenye mambo yetu sio kwamba tunataka tuwakontroo hapana Bali tunaogopa kuanza moja kutokana naakili zenu tunazijua kuharibu nidakika sifuri.mkogombana kidogotu mnaanza kudai mgawane Mali mlizo chuma
akidai talaka si ndo mnasema role model ni joyce kiria. Mwanamke anatakiwa avumilie. Huyo dada saizi akipata mume mwengine akamwambia acha kujenga njoo tujenge wote unadhani atarudia tena? Nyie wanaume mnajiongelea kwa upande wenu. Ila sisi wanawake tunajifunza kutokana na makosa ya wenzetu. Mbona kaondoka kaacha nyumba yake? Kamsumbua nani?
 
Mimi nimeoa wake wawili nimewajengea kilamtu sehemu yake wanakula vizuri nawanalala pazuri namichepuko ninayo. sasa huyo mumeo sijui Kama anahata huyo mchepuko nasiku akikuambia anataka akuongezee mwenzio nahisi ndio mwisho wandoa yenu kutokana nawewe kua mjuaji sana Bibi 50kwa50.ualabda jama avumilietu afe natai shingoni. raha yamwanaume nikufanya anacho taka sio kupangiwa pangiwa hasa ukiwa nakipato chako
Afanye anachotaka. Alokwambia kuna mwanaume hana mchepuko nani? Ila wenzenu wanafanya kwa akili hawanyanyasi wake zao. We niite majina yote ila upumbavu wa kusema eti mume atanihudumia kila kitu ni NO! Wewe unaesema umejengea wake zako kama ni kweli hata, kuna wenzio uwezo wa kujenga tu hana ila hataki mwanamke afanye kazi kwasababu anaogopa atampanda kichwani.

Na unaposema siku ananiongezea mwenzangu, dini yetu hairuhusu kuoa wake wawili. Huko nje hata awe nao mia sisi tushajiwekea mikakati ya maendeleo. Yeye anasimamia hiki mimi kile. Mahesabu jioni tunafanya maendeleo. mi sikusomeshwa na wazazi wangu eti nije kuwa golikipa. Kwanza mume wangu alishasema tangu zamani hataki mwanamke asiejituma, na wanaume siku hizi hawaoi magolikipa labda nyie wenye inferiority complex mnataka mvimbe mda wote

Jeuri iendane na kipato. Muachishe mkeo kazi huku una uwezo wa kumuhudumia.
 
Back
Top Bottom