wee mbona unaongelea maendeleo sana namambo mengine unayaruka. wanaume hatutaki kufatiliwa kila muda Sasa wewe ukitoka kazini unanamfata mumeo muongozane nyumbani kwani nyie mapacha? akitaka kuchepuka atachepukaje naujuaji wako huo siutamfumania Kira mala nandoa ife kifo chamende. mwanamke kwake nyumbani
Sasa kaka
Fusebox mbona umeikwepa tena mada nliyoiweka. Umeparamia mada ya kufatiliana sijui. Yani mi niwe nasimamia miradi kwengine na ye kwengine ntamfatilia saa ngapi?
Anapofanya kazi na nnapofanya kazi ni tofauti. Anasafiri sana na ye ndo anakazi ya kunilalaMikia kwanini simu zake zikiita huwa sipokei. Nilishajiapiza stress za simu sitaki.
Nyie kubalini mnaishi kikoloni of which kama wake zenu wameridhia hewala. Mume wangu ndo ameamua hizi terms. Si mnaweza kuona design ya wanaume waliopo. Kuna nyie af kuna wanaojielewa. Usawa huu wa kutamani mtoto apate elimu nzuri ada kwa mwaka milioni tano. Muwe na watoto watatu. Yote hiyo anaitafuta mtu mmoja. Bado miradi ya maendeleo. Bado yeye kusaidia kwao. Si atapata stress za kufa mtu.
Sisi tumelenga kuwa na maisha ya aina flani ndo maana tunajishughulisha hata watoto wetu wako inspired. Sasa sijui kwanini mnalazimisha kila mwanamke awe zamwamwa