Sipendi ugaidi wa Iran, ila hiki Trump anataka kufanya leo ni kosa kubwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Masaa machache yamesalia kabla Marekani haijapiga mifumo yote ya umeme na madaraja na miundo mbinu mingine, naona Trump anaendelea kutokwa na maneno makali kwamba amedhamiria kufanya kweli. Jameni ifahamike idadi kubwa ya Wairan ni watumwa tu wa hiyo dini na kwamba hawaungi mikono maugaidi yake au hata ya uongozi wa hiyo dini ya muarabu ambao wameshupaza shingo na kujifanya manazi.

kama kweli Marekani watafanya, basi kufikia kesho Iran itarudishwa nyuma, nchi itakua kiza, chochote ambacho hutegemea umeme kitaadhirika ikiwemo majokofu hospitalini.
Baba Trump legeza kwenye hili....waonee huruma mamilioni ya wananchi wasiokua na hili wala lile, wameshikiliwa mateka tu na ukatili wa hiyo dini ya muarabu.
================================

Twelve hours before his 8 p.m. Eastern Time ultimatum is set to expire, US President Donald Trump says “a whole civilization will die tonight, never to be brought back again,” if Iran doesn’t agree to his demands for reopening the Strait of Hormuz.

“I don’t want that to happen, but it probably will,” he writes on Truth Social. “However, now that we have Complete and Total Regime Change, where different, smarter, and less radicalized minds prevail, maybe something revolutionarily wonderful can happen, WHO KNOWS?”

Trump says that “we will find out tonight, one of the most important moments in the long and complex history of the World. 47 years of extortion, corruption, and death, will finally end. God Bless the Great People of Iran!”

In an expletive-laden post on Sunday, Trump warned that the US would attack power plants and bridges in Iran starting Tuesday evening if the Islamic Republic failed to reopen the strait.
 
Hatoua raia bali ndo mwisho wa serikali ya Iran, hapatakuwa na bunge, ikulu, mahakama, magereza, umeme
Raia kwa mamilioni wameshaagizwa kujazana kwenye madaraja na kuzunguka mitambo yote ya kuzalisha umeme nchi(Iran) nzima ili US & Israel washindwe kufanya hiyo bombing demolition.
Let's see what'll happen.
 
Masaa machache yamesalia kabla Marekani haijapiga mifumo yote ya umeme na madaraja na miundo mbinu mingine, naona Trump anaendelea kutokwa na maneno makali kwamba amedhamiria kufanya kweli. Jameni ifahamike idadi kubwa ya Wairan ni watumwa tu wa hiyo dini na kwamba hawaungi mikono maugaidi yake au hata ya uongozi wa hiyo dini ya muarabu ambao wameshupaza shingo na kujifanya manazi.

kama kweli Marekani watafanya, basi kufikia kesho Iran itarudishwa nyuma, nchi itakua kiza, chochote ambacho hutegemea umeme kitaadhirika ikiwemo majokofu hospitalini.
Baba Trump legeza kwenye hili....waonee huruma mamilioni ya wananchi wasiokua na hili wala lile, wameshikiliwa mateka tu na ukatili wa hiyo dini ya muarabu.
================================

Twelve hours before his 8 p.m. Eastern Time ultimatum is set to expire, US President Donald Trump says “a whole civilization will die tonight, never to be brought back again,” if Iran doesn’t agree to his demands for reopening the Strait of Hormuz.

“I don’t want that to happen, but it probably will,” he writes on Truth Social. “However, now that we have Complete and Total Regime Change, where different, smarter, and less radicalized minds prevail, maybe something revolutionarily wonderful can happen, WHO KNOWS?”

Trump says that “we will find out tonight, one of the most important moments in the long and complex history of the World. 47 years of extortion, corruption, and death, will finally end. God Bless the Great People of Iran!”

In an expletive-laden post on Sunday, Trump warned that the US would attack power plants and bridges in Iran starting Tuesday evening if the Islamic Republic failed to reopen the strait.
Regime change imefanikiwa au ndiyo mmebadilisha melengo hewani??Vita ni vita sio maigizo yenu ya Hollywood wapumbavu nyinyi
 
Ndio dawa ya wavaa kubazi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Masaa machache yamesalia kabla Marekani haijapiga mifumo yote ya umeme na madaraja na miundo mbinu mingine, naona Trump anaendelea kutokwa na maneno makali kwamba amedhamiria kufanya kweli. Jameni ifahamike idadi kubwa ya Wairan ni watumwa tu wa hiyo dini na kwamba hawaungi mikono maugaidi yake au hata ya uongozi wa hiyo dini ya muarabu ambao wameshupaza shingo na kujifanya manazi.

kama kweli Marekani watafanya, basi kufikia kesho Iran itarudishwa nyuma, nchi itakua kiza, chochote ambacho hutegemea umeme kitaadhirika ikiwemo majokofu hospitalini.
Baba Trump legeza kwenye hili....waonee huruma mamilioni ya wananchi wasiokua na hili wala lile, wameshikiliwa mateka tu na ukatili wa hiyo dini ya muarabu.
================================

Twelve hours before his 8 p.m. Eastern Time ultimatum is set to expire, US President Donald Trump says “a whole civilization will die tonight, never to be brought back again,” if Iran doesn’t agree to his demands for reopening the Strait of Hormuz.

“I don’t want that to happen, but it probably will,” he writes on Truth Social. “However, now that we have Complete and Total Regime Change, where different, smarter, and less radicalized minds prevail, maybe something revolutionarily wonderful can happen, WHO KNOWS?”

Trump says that “we will find out tonight, one of the most important moments in the long and complex history of the World. 47 years of extortion, corruption, and death, will finally end. God Bless the Great People of Iran!”

In an expletive-laden post on Sunday, Trump warned that the US would attack power plants and bridges in Iran starting Tuesday evening if the Islamic Republic failed to reopen the strait.
Hakuna cha kuwadhuru Iran Trump hawezi kuwadhuru Iran hata siku moja Iran wanamini hakuna anaye weza wadhuru isipokuwa alicha tuandikia Mungu.

Here are the key Quranic verses and teachings related to this topic:

1. Surah At-Tawbah (9:51)
This verse is often cited as the primary evidence for this belief.

"Say, 'Nothing will ever befall us except what Allah has destined for us. He is our Protector.' So in Allah let the believers put their trust." [9:51]

2. Surah At-Taghabun (64:11)

"No calamity befalls ˹anyone˺ except by Allah’s Will. And whoever has faith in Allah, He will ˹rightly˺ guide their hearts ˹through adversity˺. And Allah has ˹perfect˺ knowledge of all things." [64:11]

3. Surah Yunus (10:107)
This verse highlights that only God can remove the harm that He has ordained.

"And if Allah touches you with harm, none can undo it except Him. And if He intends good for you, none can withhold His bounty..." [10:107]
 
Vita zote waathirika wakubwa ni wananchi ambao sio wenye kushiriki vita na toka mwanzo huko ndio wenye kupata madhara, sasa ajabu wakati wote mlikuwa mnashangilia vita tena mnashindanisha ni wapi kumetokea vifo vingi halafu sasa hivi ndio mnakumbuka kuwa hao ni binaadamu wenzenu na kuwaonea huruma!
 
Madunya na Mabazazi sasa akili zimeanza kurudi! badala ya kutumia akili mlikuwa mnatumia mihemko.Mtu yoyote anaye shabikia vita kichwani ana matatizo.
 
Hakuna cha kuwadhuru Iran Trump hawezi kuwadhuru Iran hata siku moja Iran wanamini hakuna anaye weza wadhuru isipokuwa alicha tuandikia Mungu.

Here are the key Quranic verses and teachings related to this topic:

1. Surah At-Tawbah (9:51)
This verse is often cited as the primary evidence for this belief.

2. Surah At-Taghabun (64:11)

3. Surah Yunus (10:107)
This verse highlights that only God can remove the harm that He has ordained.
Hizi aya za quran zina msaada gani kwenye uwanja wa vita? vita ni mbinu,teknologia,pesa na propaganda dini haisaidii

Unapigwa kipigo bila kujali unamuabudu nani au dini yako ni ya nani
Iran si walidai wanapigana mpk mwisho?

Trump alikua hatishii angepiga kama hiroshima kweli bahati yao wamelegeza walikua wanaisha
 
Wewe utakuwa mtu wa upinde tuu sio bure..
Iran Magaidi? Trump baba, kazaa na bimkubwa wako nn? 😳😬
 
Hizi aya za quran zina msaada gani kwenye uwanja wa vita? vita ni mbinu,teknologia,pesa na propaganda dini haisaidii

Unapigwa kipigo bila kujali unamuabudu nani au dini yako ni ya nani
Iran si walidai wanapigana mpk mwisho?

Trump alikua hatishii angepiga kama hiroshima kweli bahati yao wamelegeza walikua wanaisha
Mbona na wewe unashabikia yaleyale
 
Back
Top Bottom