Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Nilionjeshwa siku moja nikanasa. Ile kitu ni balaa, umpate fundi anayejua kuigrill vizuri.Sheikh unapiga Kilimanjaro lager na kula kitimoto
oh oooooView attachment 2632043
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilionjeshwa siku moja nikanasa. Ile kitu ni balaa, umpate fundi anayejua kuigrill vizuri.Sheikh unapiga Kilimanjaro lager na kula kitimoto
oh oooooView attachment 2632043
umenikumbusha nilipita shule fulani mkoani huko, ijumaa ndo walikuwa wanatulisha ugali na supu. Nyama kipande kimoja michuzi jagi kudadekiugali na supu mzee
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😬michuzi jagi kudadeki
Atakuwa anakula makande 🤭Unakula nini....plz share
Wacha kufananisha mchele na ngano na vitu vya ovyo[emoji23][emoji23][emoji23]Jana nilikula ugali nikalala usingizi mzuri..Mwambie hata nafaka kama ngano au mchele anaokula mleta mada nazo ni chakula cha mifugo aache dharau[emoji3]View attachment 2632044
Kwa mwanaume wa kiafrika kutopenda Kula ugali kidogo inatia shaka, labda wadada naweza kukubali.Katika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa.
Sazingine huwa nakula tu ndo wife au beki3 kaandaa lakini kiukweli ugali sio chakula nachokipa thamani japo familia yangu mke na watoto wanaupenda balaa.
Ni mara kibao nikirudi nyumbani nikikuta wamepika ugali nitapitiliza tu chumbani kulala au nitaomba wanitafutie mbadala.
Na mara nyingi wakiwa wanaandaa huwa wanajua kabisa kwahiyo mbadala lazima iwepo.
Sazingine huwa nakula tu ili siku ipite lakini ni chakula cha hovyo kabisa, mimi naweza kukaa hata mwaka nisile ugali na nikaona fresh kabisa.
Ni kawaida kwangu siku hizi kukaa wiki au wiki mbili bila kuutia ugali mdomoni.
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana, kuna watu wanakula ugali mchana na usiku tena siku 7 za wiki duuuh tena ugali na yale madagaa ya ziwa victoria!! Sio kwa nia mbaya au nina ego hapana mimi ugali hapana bora nile ndizi mwezi nzima lakini sio ugali.
Katika chakula nacho kichukia ni makande....Atakuwa anakula makande 🤭
Brother gily nakuona kaka...🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓Jana nilikula ugali nikalala usingizi mzuri..Mwambie hata nafaka kama ngano au mchele anaokula mleta mada nazo ni chakula cha mifugo aache dharau😀View attachment 2632044
Ugali unadumaza akili🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣Kwa mwanaume wa kiafrika kutopenda Kula ugali kidogo inatia shaka, labda wadada naweza kukubali.
Wanaume wote tuliokamilika tunakula na tunapenda Sana ugali. Ukiona hupendi ugali basi jua unatatizo la kuwa na hormones nyingi za kike.
Hivi unaanzaje kuudis ugali nyama Choma???[emoji1][emoji1]
Sio ugali wa mahindi wanachanganya vitu vingi...Wanigeria wana mihogo yao hata wakiwa UK wanasafirisha na inapatikana...hawapendi ugali wa Sembembona nimeenda Nigeria nimekula sana ugali wao wanaita Amala na watu wengi wanakula au Nigeria ipi?
Wanaokula sana ugali wa Sembe hata mwili umekataa umedumaa tofauti na hiyo Nigeria uliyoenda...watu wa magharibi vyakula vyao na mili yao ni tofauti na watu wa East hasa Wabongo wa Ugali...mbona nimeenda Nigeria nimekula sana ugali wao wanaita Amala na watu wengi wanakula au Nigeria ipi?
lakini ni ugaliSio ugali wa mahindi wanachanganya vitu vingi...Wanigeria wana mihogo yao hata wakiwa UK wanasafirisha na inapatikana...hawapendi ugali wa Sembe
Mtama na mihogo pia ililetwa na mabeberu? Au umekalili ugali ni wa mahindi tu?Halafu huwa nawaambia watu hili jambo wanashindwa kuamini, ugali uliletwa na mabeberu na mahindi yaliletwa na wareno kama sikosei, hata kama ugali ulikua ukiliwa Africa sidhani kama ni huu ugali wa dona
Mtaalam ambao watu weusi wengi wanaomuamini kama mzalendo Dr sebi alishawahi kusema ugali wa dona ni sumu na unadumaza akili
Binafsi ugali bila dgaa wa mwanza waliopikwa vzuri sikuelewi na uzuri ugali haukinai uchawi wake mboga tuKatika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa.
Sazingine huwa nakula tu ndo wife au beki3 kaandaa lakini kiukweli ugali sio chakula nachokipa thamani japo familia yangu mke na watoto wanaupenda balaa.
Ni mara kibao nikirudi nyumbani nikikuta wamepika ugali nitapitiliza tu chumbani kulala au nitaomba wanitafutie mbadala.
Na mara nyingi wakiwa wanaandaa huwa wanajua kabisa kwahiyo mbadala lazima iwepo.
Sazingine huwa nakula tu ili siku ipite lakini ni chakula cha hovyo kabisa, mimi naweza kukaa hata mwaka nisile ugali na nikaona fresh kabisa.
Ni kawaida kwangu siku hizi kukaa wiki au wiki mbili bila kuutia ugali mdomoni.
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana, kuna watu wanakula ugali mchana na usiku tena siku 7 za wiki duuuh tena ugali na yale madagaa ya ziwa victoria!! Sio kwa nia mbaya au nina ego hapana mimi ugali hapana bora nile ndizi mwezi nzima lakini sio ugali.
Hujajiuliza kwanini Shemeji anakupikia Ugali kila mara😁?Katika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa.