Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa visingizo tele mtu kamstarehesha usiku kucha eti kisa kipara ndo anamuona shetani
wakati namchukua sikujua kama ana kipara,alikuwa amevaa wigi,na hata wakati ananipa cha kwanza kabla ya kulala hakutoa wigi lake,kumbe sasa nilipokata moto,sasa asubuhi mshituko nilio upata Mungu ndo anajua.
 
Umeonaeeee. Sema na wewe mwaya.

Hapa wote team natural. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watuache. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126] mbaya ikipoteza uhalisia wa ngozi ila hii ya kawaida mie napaka tu jamaani.
Ya kupoteza uhalisia ndo mbaya.
Ila hizi za kuongeza urembo tu kidogo watuache kabisa[emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hilo si povu mbona?
Tatizo mmeanza kutusimanga asubuhi asubuhi,sijui kilikukuta nini jana
We unaakili sana, pia una busara na hekima[emoji18]

Najua umeangalia hii nyuzi nimeiposti jana Jumamosi, Saa Saba na Nusu sijui usiku... Ila sababu zilizonifanya nifunguke si nzuri kabisa, naomba niishie hapo tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…