Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

U
Umemaliza kila kitu.

Mie nimesema hapa hao wanaume wanaosema hawataki make up ukute wake zao phone book zao ni majina ya wabandika kope na wapaka make up hapa mjini
Ukiona hivyo ujue mchepuko hapaki hizo takataka Ni mwendo wa asili halafu hachuji
 
Sasa kwanini wasitumie vipodozi vya asili na miti shamba ili kuondoa hayo mabaka? Maana hayo ma-make up ndio huzidi kubabua ngozi na kusababisha machunusi
 
Dar es salaam imekosa weusi. Kila mwananke usoni kwachuuu utadhani wamepaka chokaa!

Mwananke aliyepaka make-up huwa hata 'sivunji shingo' hata awe cute vipi, unless awe na 'banda la uwani' lilosheheni vyema.

-Kaveli-
 
Mi nilipata kidemu kinaonekana usoni kizuuuri rangi maji ya kunde...nilipokivulia nguo usiku ***** mweusi tumbon hadi matakoni......dah nilitaka kugairi ila kwa aibu nilipiga viwili na asubuh kmoj....Ni ngumu kuwatambua Kama ilivyongumu kuwatambua manabii fake
 
Yako inaitwaje, hili nimnunulie WiFi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…