Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sipendi make-up na mpka hapa nilipo sijawahi kupaka.
Labda nitakuja kuwekwa hayo makorokocho nikiwa naolewa.hapo sitapinga kwa kuwa kutakuwa na picha za ukumbusho watukio kubwa katika maisha yangu
 
Hivi huwa hawajuagi haya makitu yanazeesha ? [emoji3]

Mwanaume anayependa mwanamke mwenye makope Kama fagio , makucha , mawigi basi hajatimia.
Naunga mkono hoja....kwanz unavhambaje mtoto wa kike au ndo unatumia tissue si utanuka mavi?...... Au kama una mtoto mdogo unsmuogesha vip ?
 
Dah kwa vinyago hawa. Bora nibaki single
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…