Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbagala r3 kazi wanayo!!wengine mda wote mitandio inatustiri sana ujueKweli kabisa aunt. Tuwaache tu hao kina Mbagala rangi tatu kwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbagala r3 kazi wanayo!!wengine mda wote mitandio inatustiri sana ujueKweli kabisa aunt. Tuwaache tu hao kina Mbagala rangi tatu kwa kweli.
mkuu nitaoga matusi yooteHebu mtag kuonesha upendo kwake mkuu[emoji23] [emoji23]
Matusi humu JF ni kama salamu tumkuu nitaoga matusi yoote
acha tu nimsitiri kwani nitamnyima uhuru sababu akiwa humu anapapatikiwa sanaMatusi humu JF ni kama salamu tu
😀😀😀Heeeee. Nimepata kitu kipya hapa sijawahi waza kama na wewe wavaa manguo marefu ka kina sie. 🙈🙈🙈🙈
Ila uko vizuri. 😂😂
😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona eeehh!!aunty akee..Mimi napaka Mara chache tena simple sana!sana sana wanja nikipaka mpk watu wanashangaa
Hao wa mbagala r3 kazi wanayo aisee!!mi imenishinda hyooo
😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbagala r3 kazi wanayo!!wengine mda wote mitandio inatustiri sana ujue
nina nin jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukhty jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Mnavyotuponda utadhani wake zenu na wanawake zenu hawatumii hizo kitu.
Vipo kwa ajili ya mwanamke hivyo vitumikage tu kwa wanaoweza mbaya ni hizo zinazopakwa na kubadilisha kabisa uhalisia wa ngozi ya mtu. Ila kama ni kawaida tu wapake tu kwa kweli maana ndio tofauti hizo kati ya mwanamke na mwanaume.
[emoji23][emoji23]Haya!! tuwasubiri wanakuja.
Naunga mkono hoja....kwanz unavhambaje mtoto wa kike au ndo unatumia tissue si utanuka mavi?...... Au kama una mtoto mdogo unsmuogesha vip ?Hivi huwa hawajuagi haya makitu yanazeesha ? [emoji3]
Mwanaume anayependa mwanamke mwenye makope Kama fagio , makucha , mawigi basi hajatimia.
Tatizo zikipanda kupita kiasi zinakua sumu, utahisi kuwehuka, kisirani, hasira hasira kwa kila mtu. Na ukitaka kuzipunguza ndio mitihani yenyewe sasa hioDah kwa vinyago hawa. Bora nibaki single
hebu tuwekee na ww yako ile ya kabla na baada ya kujipura[emoji13] [emoji13] [emoji13]No comment
💃🏾hebu tuwekee na ww yako ile ya kabla na baada ya kujipura[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Make up yake haifuti anaibandua huyo.Nilienda kwenye birthday party ya rafiki yangu,, aisee,,ile siku ndo niliona makeups
Wadada wamepaka makeup mpaka naona kabisa uso umejaa,, yani uso una kamzigo. Halafu kama unapukutika hivi. Mi nilikua naturalllll hadi raha[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh imekua rangi ya nyumba sasa, [emoji15]Make up yake haifuti anaibandua huyo.