Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena hawa wanaosema hawawapendi wanawake wanaojipaka make up utakuta wake zao wana kila aina ya make up kwenye dressing table,wakija hapa kazi tukusimanga tu.
Umeonaeeee. Sema na wewe mwaya.

Hapa wote team natural. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Watuache. πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ mbaya ikipoteza uhalisia wa ngozi ila hii ya kawaida mie napaka tu jamaani.
 
mm nadhan wanawake weng tunakosea rang za makeup!mtu unanunua makeup unafananisha na nguzi ya uso !aku mm hua nafananisha na sehem zingn za ngoz !mfano mikonoo!hata ukipaka hubadiriki unashine tu! msituchoshe
 
Unafanya matangazo au.km hufanyi matangazo.
 
mm nadhan wanawake weng tunakosea rang za makeup!mtu unanunua makeup unafananisha na nguzi ya uso !aku mm hua nafananisha na sehem zingn za ngoz !mfano mikonoo!hata ukipaka hubadiriki unashine tu! msituchoshe
Umeonaeee. Wengi wanakosea hapo na ndio sababu unakuta Mbagala rangi tatu zinakuwa nyingi sababu kuu ni hiyo.

Mie naona waendage kwenye maduka makubwa ya Cosmetics huwa wanashauri kabisa kwamba makeup namba fulani ndio rangi ya ngozi yako. Ziko bei juu ila ni nzuri na haziondoi uhalisia wa mtu.

Nakazia na mie. Wasituchoke. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mdau mmoja humu alileta kisa baada ya kuchukua mwanamke Baa na kwenda kujinufaisha kimwili kwa siku husika.

Ilipofika asubuhi mambo yakawa yamebadilika kwa yule mwanamke kuhusu uzuri wake wa usiku.

Jamaa alitoka nje na kumuacha ndani, aliporudi akawa hamuoni yule mwanamke ndani halafu nje alimpita mwanamke mwingine(ambaye ndio yeye)

Alipotoka nje tena akaanza kumuulizia yule mwanamke anbaye ndio yeye kuwa umemukna fulani? Hakujua ndio yeye maana alirejea kwenye sura yake halisi tofauti na ile fake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wanawake tuhurumieni, kama ni mjini mshatuingiza vyakutosha...
 
Mie naona waendage kwenye maduka makubwa ya Cosmetics huwa wanashauri kabisa kwamba makeup namba fulani ndio rangi ya ngozi yako. Ziko bei juu ila ni nzuri na haziondoi uhalisia wa mtu.
Kumbe ndio ipo hivyo, wengine wananunua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…