Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Kuna watu ******* wanalipwa 2M za bongo wanajilinganisha na Mimi
Seran , nasikia mmezidisha kelele sana na vimilioni vyenu 🤣🤣🤣 hebu heshimuni matajeeereeee!

giphy.gif
 
Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia

Mi kuhonga 2000$ ni simple kama wanataka prove by September ntawapa Pesa wanaobisha wote! Kwanini si sasa Nina majukumu na ahadi nshaweka sehemu


Kataa kubali ni wewe
Mental illness is real.

aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea
 
Back
Top Bottom