Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Mi sio senge kama wewe bro…pesa ni zako na starehe ni zako yanini uje ugombane na watu mtandaoni kisa vitu vyako,wapo watu wanamali na hawajitambi kisengesenge kama wewe bro…umasikini usikufanye ukipata ujione tajiri.
Alianza vizuri ila sasa kalewa sifa, atuambii anatutambia, bro ishi huko ila isiwe kero Kwa watu kaka, we kula life lakini lisivuje mipaka utajisahau utatutukana humu wote wallah
 
Back
Top Bottom