Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Maskini tulieni dawa iwaingie 😅.

Yanin hata JF ukiwa tajiri unaweza kuandika nyuzi heading ikawa tusi na mods wasipite nayo. Jaribu wewe sasa mnuka shida 🤣🤣🤣

View attachment 3624715
Watakuwa wamelala lazima wapite nao labda kama na yeye ni mod anatuchezea tu! Jana walifuta wa tajiri min aliwawakia balaa!🤭
 
Watakuwa wamelala lazima wapite nao labda kama na yeye ni mod anatuchezea tu! Jana walifuta wa tajiri min aliwawakia balaa!🤭
Eenhe itakua huyo bilionea aliandika huku kalewa 😅 maana matajiri wa JF na pombe ni hivi ☝🏽☝🏽



Dah h niliiona, nikasema au mods wa JF wameenda Sabasaba 😂
Haa haa labda wapo off ila jaribu wewe sasa mpare kama hujala ban ya wiki nzima 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…