AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hahaha usiogope wote tunaona hapa tunatizama tajiri anavyokata beer ya bei ghali huku amezungukwa na warembo wazuri km malaikaMatajiri wakikunyoosha aanh ila sisi masikini unavyotutukanaga dah kweli shida mbaya! Sasa hizo martini sijui Jameson huku bongo hazipo?😅
Kuuza tu chenji ushaanza dharau, ukianza kunywa bia kama huyo jamaa si utaniambia nikutawaze😅Utakuwa housegirl wangu 😎
Walichambwa sana jana na min😂Eenhe itakua huyo bilionea aliandika huku kalewa 😅 maana magajiri wa JF na pombe ni hivi 👆🏽👆🏽
View attachment 3624724
Haa haa labda wapo off ila jaribu wewe sasa mpare kama hujala ban ya wiki nzima 🤣
Wakiitwa matajiri kaka huwezi enda kaka, sawa una make pesa nyingi ila huo si utajiri sema una uwezoHakika wanatuchukia sana
ushaona na warembo tayari! Kijana wewe😄Hahaha usiogope wote tunaona hapa tunatizama tajiri anavyokata beer ya bei ghali huku amezungukwa na warembo wazuri km malaika
Anakaushamba flani hivi kakubwa….bo ya ukubwani shida sana, huwezi mkuta mtoto wa bilgate au Elon ana mishe za hivi au gsm
Mi si tajiri sasa kwanini wananiwekea vikwazo kwenye story zangu ??? Sawa Pesa Yangu ndogo waende kwa dangote! Narudia hao ni wapuuzi sana hawana chochoteWakiitwa matajiri kaka huwezi enda kaka, sawa una make pesa nyingi ila huo si utajiri sema una uwezo
Chap kwa haraka mpare mm nawekwa kapuni 😂Eenhe itakua huyo bilionea aliandika huku kalewa 😅 maana matajiri wa JF na pombe ni hivi ☝🏾☝🏽☝🏽
View attachment 3624724
Haa haa labda wapo off ila jaribu wewe sasa mpare kama hujala ban ya wiki nzima 🤣
Nikipata pesa, lazima uteseke mbwa ww 🔥Kuuza tu chenji ushaanza dharau, ukianza kunywa bia kama huyo jamaa si utaniambia nikutawaze😅
Ntajipendekeza tu najua huwezi kuninyima mi ndugu yako mbaga😎Nikipata pesa, lazima uteseke mbwa ww 🔥
Sitak undugu wa walalahoi 😎Ntajipendekeza tu najua huwezi kuninyima mi ndugu yako mbaga😎
Umeanza ujeuri kwa imaginations tu sio😂 angalia usikojoe kitandani baadae!Sitak undugu wa walalahoi 😎
Alianza vizuri ila sasa kalewa sifa, atuambii anatutambia, bro ishi huko ila isiwe kero Kwa watu kaka, we kula life lakini lisivuje mipaka utajisahau utatutukana humu wote wallahMi sio senge kama wewe bro…pesa ni zako na starehe ni zako yanini uje ugombane na watu mtandaoni kisa vitu vyako,wapo watu wanamali na hawajitambi kisengesenge kama wewe bro…umasikini usikufanye ukipata ujione tajiri.
Dah fala ww 😂Umeanza ujeuri kwa imaginations tu sio😂 angalia usikojoe kitandani baadae!
Kwani hufungui hizo videos? Mbona anatukana sana tu!Alianza vizuri ila sasa kalewa sifa, atuambii anatutambia, bro ishi huko ila isiwe kero Kwa watu kaka, we kula life lakini lisivuje mipaka utajisahau utatutukana humu wote wallah
Ndio maana Mungu anakunyima anajua kabis ahuyu atatesa wenzie🤨Dah fala ww 😂
Natest mitambo baada ya kupata pesa
Wasiwabague, walevi na new money wote wapewe uwezo sawa wa kutuonyesha nani anakula life zaidi huko ughaibuni 😅Walichambwa sana jana na min😂
Waache ubaguzi sasa lohh🚮
Shindwa, Usigombanishe na Sir GodNdio maana Mungu anakunyima anajua kabis ahuyu atatesa wenzie🤨