Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

Subiri boom na pocket money ziishe

Kama upo nyumbani utakaa hapohapo mpaka una 40

Kama upo kitaa njaa ikikugonga siku 2 tu ujinga huo utakutoka

Utakapokuwa unawaona wale wenzako ambao walikuwa hawafanyi vizuri darasani wameajiriwa na wanatembelea magari na kuheshimiwa hapo ndipo utapoanza kozi ya uchawi
 
😂
 
Msikie huyu
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hali ilivyo natafuta hati ya tabia njema Wizarani soon nijimixie Uber. Huu mwaka utakaoanza uwe wa Faida kwangu 😁😁😁! Huu mji siuelewi elewi
 
Kumbe wewe ni KE?

Hyo take home 1m bado ni ndogo sana we vaa tu vizuri hyo 1m unaweza idaka kwa siku moja.
 
Tukwambie ukweli au tukuache 🤣🤣
Mkuu nina muda sijaingia humu,huwa naibiaga tu am glad kuliona hili jina linalotikisa huku jf na comment za front seat 😂😂

Huyu dogo kodi yake ya miezi 6 aliyoilipa ikiisha ataanza kujizungusha na tai yake shingoni
 
Muulize baba yak kama anafanyakazi alianza na take home ya tsh ngap?
 
Hehehe[emoji1787][emoji1787][emoji23]

Hata kama ni mboga Saba, watakuchoka tuu

Karibu kitaa, huku ndo kuna maisha halisi, chuoni zile ni ndotoo tuu
 
Kwasababu upo kwa mama ako hapo unakula kulala kunya bure!!!
 
Na hiyo laki 8 ashukuru Muumba
 
Huhitaji kutangazia umma.waandikie uliowatumia barua za maombi ya ajira uwaeleze msimamo wako !!!
 
Hujawahi kukutana na nja hua unaisikia tu kwa watu ikikupata utafanya ata kwa buku tano per day
 
We jamaa huwa una nyodo sana, kumbe ni mlinzi?[emoji848][emoji848][emoji849][emoji849][emoji849][emoji134]
 
Inabidi uitengeneze hio ajira ili uweze kujilipa unavyotaka, ila biashara haingalii elimu, sura, wala kujuana ni number tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…