Siri hadharani: Siyo Vyama vya Upinzani ni Vyama Vya Watoa Taarifa

Unaweza kujiuliza kwa mfano Chadema na ACT wazalendo ni vyama vya Upinzani kweli?

Kama ni vyama vya Upinzani mbona kila baada ya Muda fulani Viongozi Wao huamia CCM na kupewa Vyeo?

Je, huzawadiwa Vyeo baada ya Kutoa taarifa fulani?

Hakika hivi ni vyama vya kutoa taarifa

Basi iwe hivyo hivyo kuanzia leo Mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
Mbowe anafanya Biashara ya siasa kama Raila Odinga;yaani anaitumia taasisi kusukuma agenda zake binafsi,kwamfano juzi kati wakina Mwabukusi walipotaka kuiweka mtukati CCM yeye akang'aka kuwa hawezi kushirikiana nao.
Ata Lowasa kwenda CHADEMA ni JK aliongea na Mbowe!
These people are kidding us,Makonda kuwaita vyama vya watoa taarifa yupo sahihi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kujiuliza kwa mfano Chadema na ACT wazalendo ni vyama vya Upinzani kweli?

Kama ni vyama vya Upinzani mbona kila baada ya Muda fulani Viongozi Wao huamia CCM na kupewa Vyeo?

Je, huzawadiwa Vyeo baada ya Kutoa taarifa fulani?

Hakika hivi ni vyama vya kutoa taarifa

Basi iwe hivyo hivyo kuanzia leo Mwisho 😂😂😂🔥
Mkuu nimekuona na Foyengo yako mpya

CCM idumu milele
 
Mbowe anafanya Biashara ya siasa kama Raila Odinga;yaani anaitumia taasisi kusukuma agenda zake binafsi,kwamfano juzi kati wakina Mwabukusi walipotaka kuiweka mtukati CCM yeye akang'aka kuwa hawezi kushirikiana nao.
Ata Lowasa kwenda CHADEMA ni JK aliongea na Mbowe!
These people are kidding us,Makonda kuwaita vyama vya watoa taarifa yupo sahihi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app

Mtasema yote na bado. Unaongea vitu vya kufikirika na bado unataka iwe kweli. Kuita wapinzani majina mbalimbali sio issue.
 
Zitto alikuwa anasomeshwa na Mzee Sitta

Makonda ana hoja!
 
Hapo aliposema Tanzania hakuna upinzani namuunga mkono kwa 100% angemaliza tuna wachumia tumbo.
 
Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi

Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu kwa Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale patakapobainika hamjafanya kazi yenu kwa ukamilifu, chama hakitasita kuchukua hatua"

"Bahati nzuri tunafahamiana, sitakuwa tayari kuwa Msemaji wa chama ambacho kimepewa dhamana na Wananchi na wanaomsaidia Mwenyikiti, nisimame hadharani kusema uongo, hapana!."

"Kila Kiongozi wa Serikali atabeba msalaba wake mwenyewe, sijahifadhiwa miaka mitatau na miezi mitatu kusema uongo, sijateuliwa na CCM kusema uongo na katika kiapo chetu kipo wazi, fitna, uongo na uzushi si sehemu ya CCM"

"Chama kimepewa dhamana na Wnanchi na kikaamini kwa kuunda Serikali, ni hakika Kiongozi yeyote atakayebainika na chama kikajiridhisha, kiongozi yeyote atakaye zembea chama kitachua hatua bila kusubiri kwa sababu ni wajibu wetu kukilinda, kukitea na kukipigania"

TAIFA HALINA UPINZANI
Aidha, amesema kuwa Tanzania hakuna Upinzani, yaani hakuna chama cha upinzani bali watoa taarifa walijikusanya kwa jina la vyama

"Ukimwona Tundu Lissu anaongea sio Chama ni mtu tu anatoa taarifa na wakati mwingine taarifa anayotoa inaweza kutoka kwenye chanzo ambacho si cha kweli au uhakika, lakini kwa sababu ni taarifa kazi ya chama chetu ni kusikiliza zile taarifa na badala ya kushughulika na mtoa taarifa tutashughulika na aliyesababisha taarifa kutoka"

"Naomba kusema kuanzia leo tarehe 26.10.2023 Taifa hili halina vyama vya upinzani bali kuna vyama vya watoa taarifa na sisi tutafanyia kazi taarifa zao maana ni chachu za maendeleo"
Wajipange kweli kweli Makonda asilale nao mbele....
 
Mtasema yote na bado. Unaongea vitu vya kufikirika na bado unataka iwe kweli. Kuita wapinzani majina mbalimbali sio issue.
Kufikirika wapi vyama vya upinzani Tanzania ni geresha tu.Kama ingekuwa kweli Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia basi CCM ingekuwa makumbusho ya taifa ila hao Wanyeviti wenu mnao waamini ndiyo watu wa CCM kindakindaki.
Najua huwezi kuelewa ila watafute Wazee wanaijua siasa ya nchi hii watakwambia ukweli ulivyo na wengi wa Wenyeviti wa huo upinzani uchwara ni watu wa TISS.Mwalimu Nyerere kwa kujua mfumo aliouunda ndiyo maana alisema "upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM",tafakari hiyo statement!
Kazi kuwashangilia wakina Mbowe wakati wenzenu wanakula mema ya nchi taratibu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kujiuliza kwa mfano Chadema na ACT wazalendo ni vyama vya Upinzani kweli?

Kama ni vyama vya Upinzani mbona kila baada ya Muda fulani Viongozi Wao huamia CCM na kupewa Vyeo?

Je, huzawadiwa Vyeo baada ya Kutoa taarifa fulani?

Hakika hivi ni vyama vya kutoa taarifa

Basi iwe hivyo hivyo kuanzia leo Mwisho 😂😂😂🔥
The beginning of the end...
 
Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi

Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu kwa Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale patakapobainika hamjafanya kazi yenu kwa ukamilifu, chama hakitasita kuchukua hatua"

"Bahati nzuri tunafahamiana, sitakuwa tayari kuwa Msemaji wa chama ambacho kimepewa dhamana na Wananchi na wanaomsaidia Mwenyikiti, nisimame hadharani kusema uongo, hapana!."

"Kila Kiongozi wa Serikali atabeba msalaba wake mwenyewe, sijahifadhiwa miaka mitatau na miezi mitatu kusema uongo, sijateuliwa na CCM kusema uongo na katika kiapo chetu kipo wazi, fitna, uongo na uzushi si sehemu ya CCM"

"Chama kimepewa dhamana na Wnanchi na kikaamini kwa kuunda Serikali, ni hakika Kiongozi yeyote atakayebainika na chama kikajiridhisha, kiongozi yeyote atakaye zembea chama kitachua hatua bila kusubiri kwa sababu ni wajibu wetu kukilinda, kukitea na kukipigania"

TAIFA HALINA UPINZANI
Aidha, amesema kuwa Tanzania hakuna Upinzani, yaani hakuna chama cha upinzani bali watoa taarifa walijikusanya kwa jina la vyama

"Ukimwona Tundu Lissu anaongea sio Chama ni mtu tu anatoa taarifa na wakati mwingine taarifa anayotoa inaweza kutoka kwenye chanzo ambacho si cha kweli au uhakika, lakini kwa sababu ni taarifa kazi ya chama chetu ni kusikiliza zile taarifa na badala ya kushughulika na mtoa taarifa tutashughulika na aliyesababisha taarifa kutoka"

"Naomba kusema kuanzia leo tarehe 26.10.2023 Taifa hili halina vyama vya upinzani bali kuna vyama vya watoa taarifa na sisi tutafanyia kazi taarifa zao maana ni chachu za maendeleo"
The beginning of the end...
 
Nampiongeza ni kiongozi mzuri ila namshauri aache kuwatishia viongozi wenzake, hicho ndicho huwa kinamharibia.
 
Back
Top Bottom