SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Naombeni namba za simu za wafuatao, Sexless, Lucas Mwashambwa, Choicevariable na genge lote lile linalojifanya ni wana CCM kindakindakiBahati nzuri tunafahamiana, sitakuwa tayari kuwa Msemaji wa chama ambacho kimepewa dhamana na Wananchi na wanaomsaidia Mwenyikiti, nisimame hadharani kusema uongo, hapana!."
Au, muwafikishienii ujumbe huu....
'Mme msikiliza Makonda Lakini?'