Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Ataundiwa zengwe hataamini,aendelee kuchezea ugali wa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mtoa hoja ame m quote vibaya Mr.Makonda au Mr.Makonda ameanza kwa kuteleza, serikali hii imeundwa na ccm means serikali LAZIMA isikilize ccm not the other way
Kwanza Tanzania in the eyes of the law ni Kingdom country [emoji146],yaani Nyerere alichofanya baada ya Uhuru ni Kuondoa title ya 'Queen' na kuweka 'President' na mifumo mingine akaiacha kama ilivyo hiyo ilikuwa ni kuweka Mazingira ya Chama kushika utamu,na ndiyo maana CCM wanaulinda utamu kwa nguvu zote!Zitto alikuwa anasomeshwa na Mzee Sitta
Makonda ana hoja!
Hawezi kuelewa kanuni za mchezo,kalishwa limbwata la Ufipa!Bwashee Tulia utafakari vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye asili yake haachi.
Sasa safari hii hana mbabe wa kumkingia kifua. Akijifanya kudhalilisha watu wataishia kumchezea ulo msondo wake uliojaa.
Na Ridhi1 pia.Mawaziri wote atawakerembesha isipokuwa
1. Mohamed mchengerwa
2. Januari yusufu makamba
3. Mwigulu nchema na
4. Ridhiwani jakaya
Tena mchengerwa anamuogopa balaaaaaaa.
5.Nape MnauyeMawaziri wote atawakerembesha isipokuwa
1. Mohamed mchengerwa
2. Januari yusufu makamba
3. Mwigulu nchema na
4. Ridhiwani jakaya
Tena mchengerwa anamuogopa balaaaaaaa.
Sasa kwa lile furushi la kimba nyuma yake unatarajia nini zaidi ya kuhifadhiwa.Hajahifadhiwa kivipi
Huyu ni kirusi. Ataenda kuvuruga kila kitu humo chamani.Sasa nsona ana anza kufanya kazi za Katibu mkuu wa chama.. Hizi teuzi nyingine za kubebwa hazina job description. Ni kuropoka tuu.
Haha ndio Mkuu,Umemuona kabisa huyu mwagito?
Hili nalifahamu na unaposema ni independent body huu ni uongo, cc ya ccm hukutania state house na sio Lumumba!!,after all uzuzu, ujinga, uoga na upumbavu ndio mtaji wa ccmSerikali ni independent body, serikali inawajibika kwa wananchi si kwa chama.
Hili nalifahamu na unaposema ni independent body huu ni uongo, cc ya ccm hukutania state house na sio Lumumba!!,after all uzuzu, ujinga, uoga na upumbavu ndio mtaji wa ccm
Aaaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] Safi sana!
Siasa zilikuwa zimesinyaa sana
Hatimaye …Kumekucha..
Makonda Oyeeee...
Kazi iendelee...
Hakuna mtu mwenye wajibu wa pekee kuwa mpinzani au kiongozi wa upinzani Tanzania. Ni juu ya watanzania wote kuamua kama wanataka upinzani au wameridhika na utawala wa CCM pekee.Kufikirika wapi vyama vya upinzani Tanzania ni geresha tu.Kama ingekuwa kweli Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia basi CCM ingekuwa makumbusho ya taifa ila hao Wanyeviti wenu mnao waamini ndiyo watu wa CCM kindakindaki.
Najua huwezi kuelewa ila watafute Wazee wanaijua siasa ya nchi hii watakwambia ukweli ulivyo na wengi wa Wenyeviti wa huo upinzani uchwara ni watu wa TISS.Mwalimu Nyerere kwa kujua mfumo aliouunda ndiyo maana alisema "upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM",tafakari hiyo statement!
Kazi kuwashangilia wakina Mbowe wakati wenzenu wanakula mema ya nchi taratibu!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app