Siri hadharani: Siyo Vyama vya Upinzani ni Vyama Vya Watoa Taarifa

Mbowe anafanya Biashara ya siasa kama Raila Odinga;yaani anaitumia taasisi kusukuma agenda zake binafsi,kwamfano juzi kati wakina Mwabukusi walipotaka kuiweka mtukati CCM yeye akang'aka kuwa hawezi kushirikiana nao.
Ata Lowasa kwenda CHADEMA ni JK aliongea na Mbowe!
These people are kidding us,Makonda kuwaita vyama vya watoa taarifa yupo sahihi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nimekuona na Foyengo yako mpya

CCM idumu milele
 

Mtasema yote na bado. Unaongea vitu vya kufikirika na bado unataka iwe kweli. Kuita wapinzani majina mbalimbali sio issue.
 
Zitto alikuwa anasomeshwa na Mzee Sitta

Makonda ana hoja!
 
Hapo aliposema Tanzania hakuna upinzani namuunga mkono kwa 100% angemaliza tuna wachumia tumbo.
 
Wajipange kweli kweli Makonda asilale nao mbele....
 
Mtasema yote na bado. Unaongea vitu vya kufikirika na bado unataka iwe kweli. Kuita wapinzani majina mbalimbali sio issue.
Kufikirika wapi vyama vya upinzani Tanzania ni geresha tu.Kama ingekuwa kweli Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia basi CCM ingekuwa makumbusho ya taifa ila hao Wanyeviti wenu mnao waamini ndiyo watu wa CCM kindakindaki.
Najua huwezi kuelewa ila watafute Wazee wanaijua siasa ya nchi hii watakwambia ukweli ulivyo na wengi wa Wenyeviti wa huo upinzani uchwara ni watu wa TISS.Mwalimu Nyerere kwa kujua mfumo aliouunda ndiyo maana alisema "upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM",tafakari hiyo statement!
Kazi kuwashangilia wakina Mbowe wakati wenzenu wanakula mema ya nchi taratibu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
The beginning of the end...
 
The beginning of the end...
 
Nampiongeza ni kiongozi mzuri ila namshauri aache kuwatishia viongozi wenzake, hicho ndicho huwa kinamharibia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…