Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Hivi unaumwa wewe?
Wewe hujaleta maneno? Kwahy hapa JF ulitaka niwasilishe vipi hoja? Utakuwa unaumwa wewe?
Wewe hujaleta maneno? Basi tungewasiliana vipi mpaka sasa?
Hahhh,.sijaleta maneno nimekupa njia ya kuthibitisha kama Dunia ni flattened, through one of the scientific research method known as "OBSERVATIONAL METHOD".... which is better than staying there waiting for NASA to come with CGI's and Indoctrinate your brain.

Au ikiwezekana watu wa Dunia Tufe wote mjitolee physically tukutane tufanye observation live kabisa tuone whether Dunia ni flat or Tufe,. Hahh
 
Mimi evidence nimekupa ambayo ipo clear,. just do an observation with your own eyes usipoona flattened earth njoo utuambie hapa. Huo ndiyo uthibitisho wangu usio na shaka yoyote.
You're such an embicile ignorant,
Kwahy ukiwa ndani chini Kuna tiles kwahy utaconclude Dunia nzima Ina tiles, you just see a small portion of the earth.
 
ThisπŸ‘‡πŸΌ,. Never happen kwasababu kama nilivyosema Dunia nzima tunaishi kwenye same side of earth's surface!!!!!!!
Vichwa vyenu vinashindwa vipi kuelewa logic ndogo kama hii????
 
Ndo maana nasema wewe ni embicile ignorant,
Yaan umeanza umeelezea as if unajua unachoongea alafu mwisho wa siku unasema huna details zaidi.πŸ˜„πŸ˜„
 
You're such an embicile ignorant,
Kwahy ukiwa ndani chini Kuna tiles kwahy utaconclude Dunia nzima Ina tiles, you just see a small portion of the earth.
Wewe ndiyo mjinga sasa,...maana muda wote nakuambia tembea Dunia nzima hutoona Tufe zaidi ya flattened surface,...sasa huo mfano wako wa chumba chenye tiles una make sense kwa njia gani hapo?

Relax mambo madogo haya.
 

Nikikuuliza je ulishawahi kuchimba utanijibu nn? Au unabuni tu
 
Nimekupa observational pia hukuziona??
Japo naww ulileta Hadi maneno ya vifungu vya biblia na Qur'an nikakwambia leta hapa tuone hujajibu chochote. Mara sayansi inaelezea Jua na mwezi vinazunguka kwenye realm Moja, Aya lete hujajibu?
 
Nimekupa observational pia hukuziona??
Japo naww ulileta Hadi maneno ya vifungu vya biblia na Qur'an nikakwambia leta hapa tuone hujajibu chochote. Mara sayansi inaelezea Jua na mwezi vinazunguka kwenye realm Moja, Aya lete hujajibu?
Observational gani umetoa za kuthibitisha Dunia Tufe?

Kuna vifungu vya biblia na Qur'an nimeweka hapa.? Ushaanza uzushi sasa.
 
Dubia duara ridhiki mafungu saba nimekumbuka tu kamstari ka wimbo
 
Wewe ndiyo mjinga sasa,...maana muda wote nakuambia tembea Dunia nzima hutoona Tufe zaidi ya flattened surface,...sasa huo mfano wako wa chumba chenye tiles una make sense kwa njia gani hapo?

Relax mambo madogo haya.

Mfano wa chumba chenye tiles nimekupa nikimaanisha unachokiona ni small portion ya Dunia isikufanye u-conclude Dunia ni flat, nimekuuliza swali we unavyoona saivi Dunia ni flat? Huoni milima mabonde na slopes?
Au flat ya namna Gani? Au ni flat rectangular?

Ungejua kama hata kwenye circle Kuna flatness btn points.
 
Dunia Tufe can never be proved by observational method of research... anthony_art

Nani kukwambia au ubalazimisha observations zako ndo za ukweli?

Nilikuuliza swali dogo tu wewe ukiangalia Jua Kwa muda hata wa dk 30 utaweza ku-notice mjongeo wa Jua? Au kisa unaona Jua halipo kwenye position lilipokuwepo ndo unasema Jua limemove?

Embu Fanya hivi angalia mbele yako unachokiona then geuza uso upande mwingne je utona ulichoona mwanzo jibu ni hapana, kwahy utasema hicho kitu ndo kimemove?

Use your common sense..........
 
Hapa nikitulia baadae nitarudi
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Na haukurudii hapa,
Muongo muongo, unakimbia hoja, unashinda tu.

Mtu nimekupa nafasi nikasema haya Dunia ni flat basi nielezee observations kadhaa tu kama lunar eclipses na phases, majibu ya kuunga unga tu.
Sasa nani ameshindwa kutetea hoja zake?

Kama unaweza kujibu hoja Kwa hoja bila longo longo jibu hoja hapo juu, usikimbie.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Sishindani,..Kwa mfano ungeleta evidence yoyote isiyo na shaka kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka,..na ikaingia akilini basi kila mtu angekuamini humu.
Unauhakika Gani watu hawaamini nilichosema?

Nimekupa evidence za kutosha lakini unashinda tu Aya umeshinda tupe hoja zako mara huna details, mara bible na Qur'an zinasema hivi Aya leta vifungu nduukiiiiπŸ˜„πŸ˜„.
 
Hoja kama hizi unakimbiaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ‘†πŸ‘†
Nimekupa applications za gravity na Dunia kuwa Duara tunavyotumia katika engineering lakin umeruka Nduukiiii kama huonii.

Unataka nini tena? Kuna hoja za kujibu hapa umeruka Nduukiiii kama huoni. Mzee wa nduukiiii πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.

Muungwana hujibu hoja sio kukimbia, na kuchagua Cha kujibuna Cha kutokujibu.

Kama Kuna mahali kunacontradiction hapo juu semaπŸ˜„πŸ˜„ kama hakuna kiri sio vibaya.
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…