hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Kwahiyo ulivyosikia objects ulijua ni mawe au?Ulisema objects tu, ingekuwa unamaanisha moon naimani ungetaja moon,
By the way, nimesema tuassume ni moon sasa, Aya elezea 😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ulivyosikia objects ulijua ni mawe au?Ulisema objects tu, ingekuwa unamaanisha moon naimani ungetaja moon,
By the way, nimesema tuassume ni moon sasa, Aya elezea 😄😄
Hahhh,.sijaleta maneno nimekupa njia ya kuthibitisha kama Dunia ni flattened, through one of the scientific research method known as "OBSERVATIONAL METHOD".... which is better than staying there waiting for NASA to come with CGI's and Indoctrinate your brain.Hivi unaumwa wewe?
Wewe hujaleta maneno? Kwahy hapa JF ulitaka niwasilishe vipi hoja? Utakuwa unaumwa wewe?
Wewe hujaleta maneno? Basi tungewasiliana vipi mpaka sasa?
You're such an embicile ignorant,Mimi evidence nimekupa ambayo ipo clear,. just do an observation with your own eyes usipoona flattened earth njoo utuambie hapa. Huo ndiyo uthibitisho wangu usio na shaka yoyote.
Mweupe kichwani wewe hujui geometry na behavior of lights
Ndo maana nasema wewe ni embicile ignorant,Okay..nionyeshe uongo kwenye maelezo yangu ya juu.... nasubiri hapa.
Mwanzo, nimeelezea Kwa uchache kadri ya ninavyofahamu,.ukataka maelezo zaidi nikakujibu kwamba "Ni kweli moon phases sina details zaidi kuhusu, even though moon phases hai support by any means the idea kwamba Dunia ni Tufe."
So, What's wrong kwenye maelezo yangu....Hahhh🙌🏼🙌🏼
Wewe ndiyo mjinga sasa,...maana muda wote nakuambia tembea Dunia nzima hutoona Tufe zaidi ya flattened surface,...sasa huo mfano wako wa chumba chenye tiles una make sense kwa njia gani hapo?You're such an embicile ignorant,
Kwahy ukiwa ndani chini Kuna tiles kwahy utaconclude Dunia nzima Ina tiles, you just see a small portion of the earth.
Kwa Dunia Tufe ni lazima unajua utakutana na nini Kati ya options mbili....
(i) Water bodies zilizoshikiliwa na gravity
(ii) Nchi na watu wakifanya shughuli zao kama kawaida,...
Unfortunately,.ukichimba chini hutokuta nchi wala water bodies zinazoshiliwa na maji,...na unajua kabisa hai make sense ila unakaza kichwa tu kutetea Imani yako ya Tufe.
Kwahiyo ulivyosikia objects ulijua ni mawe au?
Sio lazima uchimbe ndiyo ujue kama scenario fulani ni impossible,.. unahitaji akili timamu Tu.Nikikuuliza je ulishawahi kuchimba utanijibu nn? Au unabuni tu
Nimekupa observational pia hukuziona??Hahhh,.sijaleta maneno nimekupa njia ya kuthibitisha kama Dunia ni flattened, through one of the scientific research method known as "OBSERVATIONAL METHOD".... which is better than staying there waiting for NASA to come with CGI's and Indoctrinate your brain.
Au ikiwezekana watu wa Dunia Tufe wote mjitolee physically tukutane tufanye observation live kabisa tuone whether Dunia ni flat or Tufe,. Hahh
Observational gani umetoa za kuthibitisha Dunia Tufe?Nimekupa observational pia hukuziona??
Japo naww ulileta Hadi maneno ya vifungu vya biblia na Qur'an nikakwambia leta hapa tuone hujajibu chochote. Mara sayansi inaelezea Jua na mwezi vinazunguka kwenye realm Moja, Aya lete hujajibu?
Wewe ndiyo mjinga sasa,...maana muda wote nakuambia tembea Dunia nzima hutoona Tufe zaidi ya flattened surface,...sasa huo mfano wako wa chumba chenye tiles una make sense kwa njia gani hapo?
Relax mambo madogo haya.
Sio lazima uchimbe ndiyo ujue kama scenario fulani ni impossible,.. unahitaji akili timamu Tu.
Dunia Tufe can never be proved by observational method of research... anthony_art
😄😄😄😄 Na haukurudii hapa,Hapa nikitulia baadae nitarudi
Unauhakika Gani watu hawaamini nilichosema?Sishindani,..Kwa mfano ungeleta evidence yoyote isiyo na shaka kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka,..na ikaingia akilini basi kila mtu angekuamini humu.
Hoja kama hizi unakimbia😄😄😄👆👆Ni kitu gani kimekufanya u-conclude kuwa Dunia ni flat? Unaweza kuona only small portion ya Dunia then una-conclude Dunia yote ni flat, kwann usiseme labda ni rectangular au square?
Wewe pia hujawahi kuzunguka Dunia nzima ukafika kwenye Kingo za Dunia ukathibitisha uflat wa Dunia. Hakuna picha au video yoyote iliyowahi kupigwa either real au CGI (kama mnavyodai) ikionesha Dunia ni flat.
Kwa maelezo yako, Bado maswali yatabaki
1. Nini kimeshikilia Dunia
2. Nini kinafanya Jua na mwezi vizunguke? (Kama mnavyodai).
3. How come other planets and celestial bodies ziwe na sphere alafu ikija Kwa Dunia useme ni sahani?
4. How satellite zinaoperate kwenye flat earth conspiracy theory?
5. Moon phases na eclipses kwenye flat earth?
6. Flat earth believers mnatofautiana sana kwenye majibu yenu,
mfano: mnakataa gravity, mnasema ni bouyancy na density, lakni ww umekuja na majibu yako tena saivi maana mwanzoni ulisema ni density saivi unasema ni Kwa sabab hakuna mechanism ya kufanya vitu vipae😄😄 ilimradi tu ukwepeshe, Kwasababu ukihusisha tu bouyancy lazima uongelee gravity😄😄.
Fb = density ×gravity×volume.
View attachment 2926023
7. Majibu kuhusu Dunia kuwa sphere yamejibiwa na yamenyooka zaidi kuliko majibu ya flat earth,
mtu huwezi kuja kunijibu tu eti solar eclipse inatokea Kwa sababu Kuna vitu vina-block Jua na hivyo vitu huvijui na huwezi kuelezea ni Kwa namna Gani, inachekesha sana.
Just imagine majibu kama haya unayonipa👇👇
"Eclipses hazihusishi kabisa Dunia Kwasababu Dunia ipo stationary.... Kimsingi ni kwamba tukiwa Duniani tunachokiona ni effects za objects ambazo zinaogelea kwenye anga ku intercept due to the fact that zinapita kwenye njia moja hivyo kupelekea lunar &Sun Eclipses..."
Halafu compare na haya👇👇
View attachment 2926052
View attachment 2926055
kipi utakielewa hata kama ni wewe? Use common sense man.
Yaani watu wanatabiri occurance ya lunar eclipse wewe unatoa majibu mepesi,
Mwaka huu itatokea marekani April 8, unadhani wanabahatisha? Au ni maigizo haya?
View attachment 2926094
Na kuhusu moon phases Kwa upande wako huna maelezo yoyote, lakini embu angalia haya maelezo👇👇👇
View attachment 2926101
View attachment 2926132
Well explained kabisa👆👆
Kuhusu gravity hiyo ipo wazi muda sana. Kuna applications nyingi tu za gravity
1. Water supply designs:
Design zote za maji zinahusisha Moja Kwa Moja gravity. Flow ya maji kutoka kwenye tank inayohusisha gravity flow sio za kubuniwa Wala kubahatisha, they works. Ili maji yafike kwenye bomba lako Kwa pressure inayotakiwa gravity lazima ihusike Wala maji hayapai.
h = density ×g.
Unadhani hizi calculations wanabahatisha?
View attachment 2926226
View attachment 2926227
2. Gravity exploration: ambayo inatumika kwenye madini na ground water exploration. Au unadhani hizi ni hadithi? Wakati tunazi apply Kila siku na zina work out, sio simulizi kwangu nazi apply kabisa. Labda kama wewe unaona ni filamu za isidingo
View attachment 2926228
View attachment 2926229
3. Trajectory motion pia inatumia gravity, you can't escape gravity kwenye calculations za projection.
Lakini pia kuhusu umbo la Dunia linadhihirishwa na uwepo wa vitu mbali mbali kama;
1. Satellites, ambazo zina-revolve around the earth. Kwako inaweza kuwa hadithi lakini kwangu Mimi naviapply na vina work out japo hapa hata wewe una apply.
View attachment 2926243
2. Gps, ambazo hutumika katika surveying tunazitumia sana,
pia Kuna hand Gps zina work Kwa maana ya Dunia kuwa sphere na inazungukwa na satellites.
And other telecommunication tools zina tumia same principle Kwa satellite.
View attachment 2926244
3. Design software mbali mbali, kama Google earth, sewerGems, GIS zinatumia principle za kuwa Dunia ni duara hata location data tunazoingiza Kuna latitude na longtude na eastings na northings.
Mfano tu kwenye GIS Kuna World Geodetic System 1984 au
WGS 1984 datum tunayotumia kwenye GIS kama a reference
ellipsoid, a standard coordinate system, altitude data, and a geoid.
We unadhani hizi zote ni mbwembwe au maigizo, be serious man.
4.Energy generation: Gravity Ina contributes to renewable energy generation through hydropower, tidal power, and geothermal energy systems. Engineers hutumia gravitational forces ku-produce electricity from water, tides, na underground heat.
Au unadhani ni ngonjera hizi
View attachment 2926237
Sijui ni kipi unahitaji tena, hivi vyote haviwezi kuwepo Kwa bahati mbaya tu.