The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Kwani we unadhani tukisema tufe akili yako inafikria tufe Gani?Hahh kwahiyo tukiamua kukutana physically na kufanya real observation utaweza Ku prove Dunia Tufe?
Kwanza Dunia Tufe mwenzako anthony_art tayari ame confirm kwamba Dunia sio tufe la namna hii β‘οΈπ,..
Hivi tufe Kwa kiingereza ni nini? Si ni sphere au? Hata maelezo niliyokupa yanasena Dunia sio perfect sphere sijui unaelewa?So, tumalize mjadala huu kwamba Dunia sio tufe la namna hii β‘οΈπ????!
Sasa Kwanini muda wote unasema Dunia ni Tufe?! au upo hapa Ku support Dunia Tufe wengine kina Chosen Rich...huku wewe ukiwa na mtazamo tofauti kabisa?
Hoja hii ya Dunia Tufe imeisha ,.. kilichobaki ni kukiri kwamba ipo stationary.
Unajua kwanini hiyo picha ni CGI?Unatumia vigezo Gani kusema picha za NASA ni CGI's? Kwa mfano hiiππ
View attachment 2926507
Nipe sababu kutoka kwenye hii picha la sivyo, utakuwa umekaririshwa tu kuwa ni computer generated images.
Na mnakimbiliaga eti tumekuwa Indoctrinated, je kama wewe ndo umekuwa Indoctrinated?
πππ Tumeimaliza vipi? Kwahy umekiri Dunia sio flat?Hoja hii ya Dunia Tufe imeisha ,.. kilichobaki ni kukiri kwamba ipo stationary.
Msimamo wangu ni flat,...... Kwasababu Kwanza it's easily observed,.Hivi tufe Kwa kiingereza ni nini? Si ni sphere au? Hata maelezo niliyokupa yanasena Dunia sio perfect sphere sijui unaelewa?
BTW wewe msimamo wako uko wapi?
Kwenye flat au sphere ambayo siyo perfect? Ambayo haupo kama hiiππ π.
Elipsoid na spherical sio sawa kabisa....πππ Tumeimaliza vipi? Kwahy umekiri Dunia sio flat?
Maana there is a slightly difference between ellipsoid and spheroid
1. Hizo body zipo but ni too faint kuweza kuziona.Unajua kwanini hiyo picha ni CGI?
1. Angani kiuhalisia huwezi ukaacha kuona celestial bodies nyingine kama Nyota na kadhalika,...yaani in short anga lipo na lights za kutosha sio kama hiyo picha hapo ambayo wamesahau Ku take into consideration other celestials ambazo hata tukiwa Duniani tunaweza ku observe.
2. Lakini pia,.wewe umesema Kwamba Dunia sio perfect sphere bali ni elipsoid,..sasa jiulize hicho unachokiona hapo ndiyo elipsoid?
Kimsingi hizo ni CGI cartoons.
Nimeona ila maelezo ni mengi sana kiasi ambacho tukisema tuanze kuchambua hapa tutakesha...hateeb10 Hii huoni kabisaππ
Soma elewa sema wapi hapako sawa, sio una skip tu bila kusema chochote kama unakubaliana nacho au la! Na kwann?
Msimamo wangu ni flat,...... Kwasababu Kwanza it's easily observed,.
Maoni yangu ni kwamba atleast tukisema Dunia ina umbo la yai (elipsoid) tunaweza ku relate na Flatness ambayo tuna observe kuliko kusema Dunia ni Tufe ππΌπ
I mean, sehemu kubwa ya Dunia ni flattened/spread-out na sio sphere kama tunavyopangwa.
Aya tuseme ni kama yaiππ how yai linadhikilia maji yasimwagike? Na Hilo yai linaelea tu kwenye space au kimeshikiliwa na nn?Elipsoid na spherical sio sawa kabisa....
Atleast kwenye elipsoid maji yanaweza kuwa contained kwenye ardhi bila kutunga uongo kwamba yanashikiliwa na gravity....
Elipsoid ipo close zaidi na flat plane kuliko Tufe.
1. Sio lazima zionekane kabisa,.ila atleast mwanga ungeonekana,.yani there's no way uchukue picha angani Usiku kisha kuonekane eti background yake kuna Giza totoro kama hivyo,..hiyo haikufanyi ufikirie?1. Hizo body zipo but ni too faint kuweza kuziona.
2. Ni almost sphere, au not perfect sphere so Kwa umbali huo unaona kama ni sphere.
Hivi unadhani Dunia ni ndogo kama mpira wa kuchezea? Kwa umbali Gani unacinsider curvature ukiwa unafanya survey?Nimeona ila maelezo ni mengi sana kiasi ambacho tukisema tuanze kuchambua hapa tutakesha...
Naweza kukubaliana na wewe kwenye ishu fulani,.lakini naweza kutokubaliana na wewe kwenye ishu nyingine.
Kwa mfano,... kwenye ishu ya land surveying,.unahisi kwanini curvature of the earth haiwi taken into consideration.
Dunia ipo tofauti sana na other celestial bodies na hili nimerudia sana kuwaambia watu humu,...yani inakuaje Mtu na akili zako timamu unataka Dunia iwe na umbo kama la Jua? Mwezi? Nyota?Hata msimamo huna? Dunia ni sphere isiyo perfect, hii flatness unayoiona inatokana na ukubwa wa Dunia,
How come other celestial bodies ziwe sphere alafu Dunia ndo ukatae?
Nimekueleza pia Kuna satellites zina-revolve around the earth au we huamini kama Kuna satellites?
Nimekupa a lot of application kuhusu umbo la Dunia na uwepo wa gravity but no response.
Unaweza kuchambua Moja Moja kama Kuna shida umeona.Nimeona ila maelezo ni mengi sana kiasi ambacho tukisema tuanze kuchambua hapa tutakesha...
Naweza kukubaliana na wewe kwenye ishu fulani,.lakini naweza kutokubaliana na wewe kwenye ishu nyingine.
Kwa mfano,... kwenye ishu ya land surveying,.unahisi kwanini curvature of the earth haiwi taken into consideration?
Yes upo sahihi kabisa,.. hakuna umbali wowote ambao utakutaka u take into account the earth's curvature & That's an eye opening fact.Hivi unadhani Dunia ni ndogo kama mpira wa kuchezea? Kwa umbali Gani unacinsider curvature ukiwa unafanya survey?
Alafu survey niloyoongelea hapo ni GPS,.
1. Sio lazima zionekane kabisa,.ila atleast mwanga ungeonekana,.yani there's no way uchukue picha angani Usiku kisha kuonekane eti background yake kuna Giza totoro kama hivyo,..hiyo haikufanyi ufikirie?
2. Sasa Kwa picha hizo wanazoonyesha watu, that's why Mtu ukimuamsha ukimuuliza Dunia ina umbo gani atasema NI Tufe ππΌπ.....kumbe sivyo.
Hapa umeruka hujaiona?ππDunia ipo tofauti sana na other celestial bodies na hili nimerudia sana kuwaambia watu humu,...yani inakuaje Mtu na akili zako timamu unataka Dunia iwe na umbo kama la Jua? Mwezi? Nyota?
Yani kwamba Mwezi ni duara unalazimisha kwamba Dunia nayo lazima iwe hivyo....Dunia iliandaliwa rasmi kwa ajili ya makazi ya viumbe mbalimbali, na hata sifa zake ni tofauti na objects nyingine kama Jua na kadhalika.
Yes ni sahihi kwamba elimu ya gravity inaweza kuwa applied kwenye engineering & Industrial activities na ikaleta matokeo chanya...but the issue is,..gravity kuwa applied kwenye hizo sectors haimaanishi kwamba dunia na yenyewe ina work in the same manner.Unaweza kuchambua Moja Moja kama Kuna shida umeona.
Kama issue ulizokubaliana na Mimi kuwa gravity Ina applications na huwez kuikwepa why unaendelea kukataa haipo?
Umeelewa nilisema lakini au? ππYes upo sahihi kabisa,.. hakuna umbali wowote ambao utakutaka u take into account the earth's curvature & That's an eye opening fact.
Ahsante.