Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710

Kwahy unakiri gravity ipo? Tuanzie hapo maana hatuwezi kutumia kitu kana kwamba kipo na kilete matokeo chanya then kumbe hakipo.

haimaanishi kwamba dunia na yenyewe ina work in the same manner.
Kumbuka tunai apply Kwa maana hiyo hiyo tunayoiongelea sisi.
 
Yap,.Mimi sio wa Kwanza wala wa mwisho,... nenda kwenye page ya NASA utaona jinsi wanavyokua criticised Kwa ajili ya hizo CGI's.

Nadhani ili kuwatoa watu wasiwasi watume picha na videos ambazo ni real bila kufanya editing yoyote.
 
Umeelewa nilisema lakini au? 👇👇

Kwa umbali Gani unacinsider curvature ukiwa unafanya survey?
Yaani Kwa survey yenye umbali Gani kiasi hicho in real practical.
Inasemekana around 3 to 5 kilometers (1.9 to 3.1 miles) ndiyo Dunia inaanza Ku curve kufuata umbo la tufe 🌍.

So, kuanzia hapo land surveying ilitakiwa ianze Ku consider curvature lakini haiwi hivyo.
 
Umeelewa nilisema lakini au? 👇👇

Kwa umbali Gani unacinsider curvature ukiwa unafanya survey?
Yaani Kwa survey yenye umbali Gani kiasi hicho in real practical.
Lakin pia kuna Geodetic survey ina consider earth shape
A geodetic survey determines the precise position of permanent points on the earth's surface, taking into account the shape, size and curvature of the earth.
 
Yap,.Mimi sio wa Kwanza wala wa mwisho,... nenda kwenye page ya NASA utaona jinsi wanavyokua criticised Kwa ajili ya hizo CGI's.

Nadhani ili kuwatoa watu wasiwasi watume picha na videos ambazo ni real bila kufanya editing yoyote.
Mara ngapi wanatuma videos still Wana criticize?
Kila kitu kinakuwa criticized haimaniishi sio sahihi, kama dini zinakuwa criticized sembuse NASA?
 
Inasemekana around 3 to 5 kilometers (1.9 to 3.1 miles) ndiyo Dunia inaanza Ku curve kufuata umbo la tufe 🌍.

So, kuanzia hapo land surveying ilitakiwa ianze Ku consider curvature lakini haiwi hivyo.
Sio kweli, Geodetic survey ina consider,
Lakin Kwa survey nyingne za kawaida tu hazifikii umbali huwa Kwa one sighting lazima kuwe short distance sighting Moja ifikie hiyo distance.

Na nimekuuliza swali ila haujibu, unaamini Kuna satellite? Kama ndio unajua how they works?
 
Gravity Kwa mantiki kwamba ndiyo inapelekea Viatu kuanguka hiyo haipo....

Lakini ukielezea gravity kama kani ya mvutano kwenye objects ambazo ni magnetic 🧲 .... Tunaweza tukasema ni sawa hiyo gravity tukaiita magnetism so ina exist Kwa style hiyo na sio kama inavyokua exaggerated.
 
Mara ngapi wanatuma videos still Wana criticize?
Kila kitu kinakuwa criticized haimaniishi sio sahihi, kama dini zinakuwa criticized sembuse NASA?
Wao wenyewe huwa wanaweka kwenye description/caption jinsi video au picha ilivyokua generated,...so nadhani watu wapo sahihi kupinga Kwa namna moja au nyingine.
 
Tunaweza sio??😄 hata huna uhakika na unachosema.

😄😄😄 Okay ni magnetism ndio inafanya vitu vidondoke Aya how?
 
Sio kweli kwamba hizo Kilometres nimetunga au,..jaribu kwenda kupitia basi kisha useme curvature of the earth inatakiwa kuwa considered kuanzia miles ngapi...

Kuhusu satellites sina details zaidi kuhusu uwepo wake,..so Sipo kwenye right position ya kukujibu.
 
Yaan unaonekana upo impassive sana na neno gravity😄 upo radhi ulipe jina lingne ila same effect😄😄
 
Tunaweza sio??😄 hata huna uhakika na unachosema.

😄😄😄 Okay ni magnetism ndio inafanya vitu vidondoke Aya how?
Hahh, sasa ulitaka nikuhakikishie kabisa?

Hao unaowaaamini wenyewe hawana uhakika,.that's why wanaziita theories na sio actual facts 100%.

Kinachofanya udondoke nilishasema kwamba ni kukosa mechanism ya kukufanya uweze kugenerate lift na kuitumia air pressure kama ngazi.....so Kwa kuwa huna mechanism hiyo lazima uanguke tu.,.
 
Me sijasema umetunga Bali nimekanusha ulivyosema land surveying haihusishi curvature nikakwambia Kuna Geodetic Surveying inaconsider curvature.

Labda haya maelezo yamekuchanganya👇

Lakin Kwa survey nyingne za kawaida tu hazifikii umbali huwa Kwa one sighting lazima kuwe short distance sighting Moja ifikie hiyo distance.

Nilimaanisha Kwa survey za kawaida unaposet kifaa kwa maana ya kwamba distance kati sighting device na reciever itakuwa ndogo. Kwahy Kwa hizo Km itabidi tufanye mara kazaa.
 
Yaan unaonekana upo impassive sana na neno gravity😄 upo radhi ulipe jina lingne ila same effect😄😄
Tatizo linaanza pale mnapotaka kuficha kila kitu kwenye kivuli cha gravity...Mtu akiulizwa how Maji yanastick kwenye round-ball without being contained anakujibu gravity...

Ukimuomba athibitishe hawezi.
 
Geodetic surveying ina consider curvature kuanzia miles ngapi?
 
Theory kwako, lakin umeshakiri Ina apply na inaleta majibu chanya katika field tofaut tofaut, unadhani inatokea by chance tu au coincidence??
 
Tumeshakwambia kama hujui kitu Bora useme sio kujitungia ndo maana unatoa majibu hayana uhakika.
Hata hao unaowaaamini pia majibu yao hayana uhakika..
& That's why mwanzo ulikua unajua Jua lipo stationary kumbe hiyo mistake walishairekebisha kitambo.
 
Tatizo linaanza pale mnapotaka kuficha kila kitu kwenye kivuli cha gravity...Mtu akiulizwa how Maji yanastick kwenye round-ball without being contained anakujibu gravity...

Ukimuomba athibitishe hawezi.

Kwa sabab ndio jibu lenye mashiko zaidi mpaka sasa, kama unalo la kwako liseme hapa na utuambie how. Maana maelezo kuhusu how gravity yapo vyema kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…