The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Yes ni sahihi kwamba elimu ya gravity inaweza kuwa applied kwenye engineering & Industrial activities na ikaleta matokeo chanya...but the issue is,..gravity kuwa applied kwenye hizo sectors haimaanishi kwamba dunia na yenyewe ina work in the same manner.
Kwahy unakiri gravity ipo? Tuanzie hapo maana hatuwezi kutumia kitu kana kwamba kipo na kilete matokeo chanya then kumbe hakipo.
haimaanishi kwamba dunia na yenyewe ina work in the same manner.
Kumbuka tunai apply Kwa maana hiyo hiyo tunayoiongelea sisi.