Gravity is just a theory,. Ukishalitambua hilo akili yako inapaswa ifanye kazi vizuri sasa..wala hamna tatizo,shule ilifaa uielewe gravity maana yake na sio kuishia kushika spelling zake pekee๐๐๐.
kwa sababu hata china ina jina jingine,so muhimu ilikuwa kuelewa kwanza kinachozungumziwa,namna ya kuandika sio ishu.
hakuna debate hapa zaidi ya kumfundisha mtu mzima vitu vya darasa la 2.
sasa shule utamfundisha nani wakati wewe pia hukuelewa๐๐.Gravity is just a theory,. Ukishalitambua hilo akili yako inapaswa ifanye kazi vizuri sasa..
Cha kukushauri andaa peni na karatasi., baadae nitatoa Shule hapa....Hahh
Kwahiyo wewe ukiona Peni imeanguka unajua sababu ni gravity?sasa shule utamfundisha nani wakati wewe pia hukuelewa๐๐.
kwamba ni theory tu kwa maana haiwezi kuwa proved!!!kiuhalisia ama kimahesabu???
ndio maana nikakwambia useme nini maana ya gravity maana labda unajua gravity ni kama tetemeko la ardhi kwamba linatokea mwaka hadi mwaka.Kwahiyo wewe ukiona Peni imeanguka unajua sababu ni gravity?
Unahitaji Shule mkuu..,
Jamii forum ingekua na option ya voice note ningekuelezea vizuri hapa...ila kukusaidia Kwa ufupi ni kwamba:-ndio maana nikakwambia useme nini maana ya gravity maana labda unajua gravity ni kama tetemeko la ardhi kwamba linatokea mwaka hadi mwaka.
useme nini unajua kuhusu gravity???
Ila tukikwambia uelezee mechanism inavyofanyika hadi pen inadondoka hauwezi.Kwahiyo wewe ukiona Peni imeanguka unajua sababu ni gravity?
Unahitaji Shule mkuu..,
haya maelezo hayako clear kuhusu gravity.Jamii forum ingekua na option ya voice note ningekuelezea vizuri hapa...ila kukusaidia Kwa ufupi ni kwamba:-
Kitu chochote chenye uzito,.kitadondoka chini as long as kitu hicho kina uzito kuliko kitu itakachokutana nacho kwenye njia yake...
hapa ni maswala ya density,hii pull of gravity inatofautiana baina kitu na kitu kutokana na density ya kitu na kitu.Kwa mfano, tukiangusha manyoya na jiwe kwa wakati mmoja, jiwe litafika chini kwa kasi zaidi kwa sababu lina uzito mkubwa zaidi kuliko manyoya with reference to hewa.
hivyo basi, gravity ni nguvu ya asili inayovuta vitu vyote kutua katika uso wa dunia na katika nyuso za magimba mengine yaliyoko nje ya dunia.Simple logic hiyo kama una akili utaelewa...
๐๐๐yeye atakwambia ni uongo. peni haiangushwi na gravity inaangushwa na kilichoisukuma.Ila tukikwambia uelezee mechanism inavyofanyika hadi pen inadondoka hauwezi.
Nishaelezea sana humu....labda useme akili yako inapata shida kuelewa.Ila tukikwambia uelezee mechanism inavyofanyika hadi pen inadondoka hauwezi.
Sasa kama maji ni mazito kuliko hewa kama unavyosema ,...kikanuni hayawezi kuzuiwa na hewa yatadondoka chini...ili hewa iweze kuyazuia maji inatakiwa hewa iwe nzito zaidi ya Maji.hapa ni maswala ya density,hii pull of gravity inatofautiana baina kitu na kitu kutokana na density ya kitu na kitu.
kwa kanuni hiyo hiyo ndio maana maji ya bahari yamenata yalipo ktk uso wa dunia sababu yameshikiriwa jumla na nguvu hiyo,ni mazito kuliko hewa.
hewa haishikilii maji,kinachoshikilia maji katika uso wa dunia(ardhi) ni gravity.hewa ni free sababu morecules zake ni nyepesi sana.Sasa kama maji ni mazito kuliko hewa kama unavyosema ,...kikanuni hayawezi kuzuiwa na hewa yatadondoka chini...ili hewa iweze kuyazuia maji inatakiwa hewa iwe nzito zaidi ya Maji.
mkuu.kama vitu huvielewi unasema tu,hii ubishi isiyo na tija haikusaidii.Inaonekana hujui kuhusu hivi vitu., ndiyo maana unajichanganya.
Kwahiyo ina maana ndege hawavutwi chini na gravity?Jibu la msingi ni kwamba,. unarudi chini kwa kuwa huna mechanism ya kukufanya uende juu.
Kinachokuzuia kuelewa hii ni Kwasababu ushakariri kwamba unarudi chini kisa gravity...kitu ambacho sio kweli.
Sasa kama unaamini hata Dunia ikiwa upside down maji yanakuwa yameshikiliwa na gravity,...... kwanini unasema Maji ni mazito kuliko hewa?hewa haishikilii maji,kinachoshikilia maji katika uso wa dunia(ardhi) ni gravity.hewa ni free sababu morecules zake ni nyepesi sana.
na kuhusu kudondoka chini,tayari hapa nazungumzia gravity ambayo chini ndipo point yake yaani katika uso wa dunia,sasa yatamwagika kuelekea wapi tena kama tayari yako chini!!!
mkuu.kama vitu huvielewi unasema tu,hii ubishi isiyo na tija haikusaidii.
Yes,. sahihi Ndege hawavutwi chini na gravity.Kwahiyo ina maana ndege hawavutwi chini na gravity?
upside down kwa reference gani??kwani hewa katika surface iko upande mmoja ambao wewe unadhani ni juu??Sasa kama unaamini hata Dunia ikiwa upside down maji yanakuwa yameshikiliwa na gravity,...... kwanini unasema Maji ni mazito kuliko hewa?
is not about kusema,is about fact kwamba maji ni mazito kuliko hewa.Huna sababu ya kusema either maji ni mepesi/mazito with reference to hewa,..kama tayari unaamini maji yameshikiliwa na gravity.
ndege anavunja nguvu ya gravity kwa kutumia mabawa yake,kama ujuavyo manyoya ni mepesi kwenge hewa.Kwahiyo ina maana ndege hawavutwi chini na gravity?
Ukishasema maji yanashikiliwa na gravity,... Huna haja tena ya kusema maji ni mazito kuliko hewa.upside down kwa reference gani??kwani hewa katika surface iko upande mmoja ambao wewe unadhani ni juu??
neno earth surface ni kama coat la mviringo kuizunguka dunia lenye hewa zote na mawingu,so kila point ni juu na kila point ni chini,inategemea unaitizama dunia ukiwa umesimama wapi.
is not about kusema,is about fact kwamba maji ni mazito kuliko hewa.
hata uyarushe juu kutoka kwenye jagi ili yakapambane na hewa,haraka sana yatarudi chini na kuiacha hewa peke yake.
hii ni kanuni gani katika physics mkuu??Ukishasema maji yanashikiliwa na gravity,... Huna haja tena ya kusema maji ni mazito kuliko hewa.
Au unasema ili iweje?
Ndege anajitengenezea ngazi(lift) kwenye hewa Kwa kutumia mbawa zake.., na sio kwamba anavunja nguvu ya gravity.ndege anavunja nguvu ya gravity kwa kutumia mabawa yake,kama ujuavyo manyoya ni mepesi kwenge hewa.
ili unielewa mnyonyoe huyo kinega uone kama atajaribu hata kupaa.