hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Gravity is just a theory,. Ukishalitambua hilo akili yako inapaswa ifanye kazi vizuri sasa..wala hamna tatizo,shule ilifaa uielewe gravity maana yake na sio kuishia kushika spelling zake pekee😁😁😁.
kwa sababu hata china ina jina jingine,so muhimu ilikuwa kuelewa kwanza kinachozungumziwa,namna ya kuandika sio ishu.
hakuna debate hapa zaidi ya kumfundisha mtu mzima vitu vya darasa la 2.
Cha kukushauri andaa peni na karatasi., baadae nitatoa Shule hapa....Hahh