greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Bro ili uweze ili uweze kuelea au kuruka lazima u-apply force ambayo kinzana na force ya Gravity.Ndege anajitengenezea ngazi(lift) kwenye hewa Kwa kutumia mbawa zake.., na sio kwamba anavunja nguvu ya gravity.
Ukimnyonyoa hatoweza tena kuruka kwasababu umemuondolea mechanism ya kutengeneza lift....
Hana theory yoyote ambayo yeye ameiletea Dunia na kuinufaisha,... instead ana rely 100% Kwa nadharia zilizotungwa miaka ya 40's.Una uhakika gani kakariri umetumia njia gani kubaini hayo ?
Kuna sehemu nimesema Mwezi una block Mwezi?ππππ€£π€£π€£π€£ So huwa ni mwezi una block mwezi,,,
Mimi ndiyo Nimekuuliza kwanza na hauja nijibu.
Hapo nakuruhusu omba hata msaada wa wenzio...
Kwenye Lunar eclipse, kile kivuli cha kwenye mwezi huwa ni nini.?
And hiyo experiment ilifanywa na Da Vinci at Pisa tower, ko-prove effect of Gravity mkuu.Jamii forum ingekua na option ya voice note ningekuelezea vizuri hapa...ila kukusaidia Kwa ufupi ni kwamba:-
Kitu chochote chenye uzito,.kitadondoka chini as long as kitu hicho kina uzito kuliko kitu itakachokutana nacho kwenye njia yake...
Kwa mfano, tukiangusha manyoya na jiwe kwa wakati mmoja, jiwe litafika chini kwa kasi zaidi kwa sababu lina uzito mkubwa zaidi kuliko manyoya with reference to hewa.
Simple logic hiyo kama una akili utaelewa...
Nipe jibu, kwenye Lunar eclipse, kile kivule kinachotokea kwenye mwezi ni cha kitu gani....Kuna sehemu nimesema Mwezi una block Mwezi?
Wewe ndiyo umesema hivyo mkuu,.
Kuna maswali nlikuuliza muda tu hujajibu,Hana theory yoyote ambayo yeye ameiletea Dunia na kuinufaisha,... instead ana rely 100% Kwa nadharia zilizotungwa miaka ya 40's.
Hapo huwezi kuitwa Mwanasayansi,..tutasema umekariri vizuri.
Sasa mkuu,Unachukia tuliosoma Sayansi na kufanya kazi za Sayansi kuitwa wanasayansi kweli....Hana theory yoyote ambayo yeye ameiletea Dunia na kuinufaisha,... instead ana rely 100% Kwa nadharia zilizotungwa miaka ya 40's.
Hapo huwezi kuitwa Mwanasayansi,..tutasema umekariri vizuri.
π€£π€£π€£π€£Hiyo ni logic tu sio kanuni ya Physics....
Kwamba:-
1. Ukishasema maji yanashikiliwa na gravity,... Ndiyo maana hayaanguki.
2. Huna haja tena ya kusema maji ni mazito kuliko hewa.... ndiyo maana hayaanguki.
One statement automatically excludes the other!
Kwanini nichukie sasa...Mimi sio Mtu wa aina hiyo.Sasa mkuu,Unachukia tuliosoma Sayansi na kufanya kazi za Sayansi kuitwa wanasayansi kweli....
π€£πππ
Wakati hapa twakutoa upepo.
Halafu uwe unajibu maswali, yaan mi ntakurudisha Darasani hapa π€£π€£π€£π
Kwahiyo uzito wa Maji ndiyo gravity?π€£π€£π€£π€£
You people maji ni mazito = maji yana weight,,ambapo by definition, weight ni force, na Gravity pia ni force...
Sasa unakataa nini na unakubali nini
Dunia ushaambiwa sio tufe na huo mjadala tuliumaliza Jana hapa.Kuna maswali nlikuuliza muda tu hujajibu,
Mimi najua ni kwanini hujajibu!
Hauna data, Haujafanya tafiti zaidi ya kukariri hadithi za youtube.
Pengine ungefanya hata research ya hizo imani zako, ungebaini kuwa sio sahihi,
Baada ya hapo ungekuja upande wa Dunia tufe nna uhakika ungefuata method zote za kufanya research mpaka muda huu ungekua umeshakuwa na uelewa kuhusu umbo la Dunia yetu kuwa ni tufe.
Mimi sijui,..wewe ulipofanya research uligundua ni kivuli cha nini?Aya
Nipe jibu, kwenye Lunar eclipse, kile kivule kinachotokea kwenye mwezi ni cha kitu gani....
Toa jibu hapa, hamna kukimbia leo...
πππππ
Kwasababu wewe ni mgumu kuelewa na ukielewa unaelewa kwa maana yako...Hakuna aliyekubaliana na wewe kuwa Dunia ni flat.Dunia ushaambiwa sio tufe na huo mjadala tuliumaliza Jana hapa.
NASA wanasema Dunia sio tufe Bali ina uflatness, sasa Tufe na flat wapi na wapi,...so badilisha kabisa narrative yako hiyo.
Nijibu haya maswali yangu mawili;Dunia ushaambiwa sio tufe na huo mjadala tuliumaliza Jana hapa.
NASA wanasema Dunia sio tufe Bali ina uflatness, sasa Tufe na flat wapi na wapi,...so badilisha kabisa narrative yako hiyo.
Lakini si unakubaliana na NASA...kwamba Dunia is not 100% TUFE??!Kwasababu wewe ni mgumu kuelewa na ukielewa unaelewa kwa maana yako...Hakuna aliyekubaliana na wewe kuwa Dunia ni flat.
Kwahiyo ndio inakua ni flat ?Lakini si unakubaliana na NASA...kwamba Dunia is not 100% TUFE??!
Au NASA pia hukubaliani nao?
1. Nyota zipo kwenye anga la Dunia,...Yes,. Ni kweli kwamba Jua,Nyota na Mwezi zinazunguka Dunia.Nijibu haya maswali yangu mawili;
Kwa madai ya watu wa flat Earth wanasema
Nyota, Jua pamoja na Mwezi vipo ndani ya Dunia na vinazunguka Dunia.
Swali 1;
Kwa elimu uliyonayo Nyota zipo wapi ? Na je zinazunguka Dunia kama ambavyo wenzako wa Flat Earth wanavyodai ?
Swali 2;
Je unafahamu/tambua kuhusu sayari zingine ?
No,.Inakua sio tufe ππΌπKwahiyo ndio inakua ni flat ?
U dont know why mpira unaelea kwenye maji, ,halafu wachukia why mi Mwanasayansi,,,ππππ€£π€£Kama unataka kujua kwanini kitu hudondoka chini,..pitia hapo juu ππΌnaamini utapata kitu...
Chosen Rich