Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
1. Nyota zipo kwenye anga la Dunia,...Yes,. Ni kweli kwamba Jua,Nyota na Mwezi zinazunguka Dunia.

2. Hili swali ni subjective,..siwezi kukupa majibu ya moja kwa moja.
Eti,subjective,,,sema umenibana na sina jibu...
Acha ingilia dani za watu, utaumia...🤣😂🤣🤣🤣🤣
 
Wewe unadhani ni nini kinafanya mpira uelee kwenye maji?

Mimi nimeweka majibu yenye tafiti nzito, Kwa upande wako mpaka sasa umeweka emoji Tu.
 
1. Nyota zipo kwenye anga la Dunia,...Yes,. Ni kweli kwamba Jua,Nyota na Mwezi zinazunguka Dunia.

2. Hili swali ni subjective,..siwezi kukupa majibu ya moja kwa moja.
Oya fanya Jaribio hilo fasta fasta,,,,
Mwalimu wako nipo hapa.
 
Wewe unadhani ni nini kinafanya mpira uelee kwenye maji?

Mimi nimeweka majibu yenye tafiti nzito, Kwa upande wako mpaka sasa umeweka emoji Tu.
Fanya jaribio bhana, acha kukimbia hapa,,,
Hapa watu tupo kukuelewesha leo....
 
Eti,subjective,,,sema umenibana na sina jibu...
Acha ingilia dani za watu, utaumia...🤣😂🤣🤣🤣🤣
Mimi sio Mtu wa kufuata mkumbo mzee,...wewe ni kuulize tu,.. kwanini Dunia na Mercury ziwe grouped pamoja as Planets?

Wakati Dunia na Mercury hazifanani hata chembe....

Kama ubongo wako hauwezi Ku question chochote basi,.basi unapaswa kukariri hivyo hivyo.

Kama vizazi vya zamani vingekua vinakariri kama nyie,.. basi gravitational theory isingekua criticised na Wanasayansi wa kale,..lakini pia Einstein asingekuja na nadharia ya Relativity!
 
Wewe unadhani ni nini kinafanya mpira uelee kwenye maji?

Mimi nimeweka majibu yenye tafiti nzito, Kwa upande wako mpaka sasa umeweka emoji Tu.
Eti Tafiti nzito,,nzito my foot 😂😂
Yani Ishu Za Law of flotation ndiyo tafiti nzito....
Yani equations za F=M×Ga ndiyo tafiti nzito...
Bro , 🤣🤣🤣🤣🤣
 
usibishane na watu wa flat earth na wale wakataao kuwa hakuna Mungu hautashinda mkuu hawa jamaa wameamua kutoelewa...na wanajikuta wanaelewa kila kitu lkn reasoning yao n ovyo sana
 
Eti Tafiti nzito,,nzito my foot 😂😂
Yani Ishu Za Law of flotation ndiyo tafiti nzito....
Yani equations za F=M×Ga ndiyo tafiti nzito...
Bro , 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahh sasa Kwanini hizo law huzitaki unaanza kuingizia gravity kiujanja ujanja🙌🏼
 
1. Nyota zipo kwenye anga la Dunia,...Yes,. Ni kweli kwamba Jua,Nyota na Mwezi zinazunguka Dunia.

2. Hili swali ni subjective,..siwezi kukupa majibu ya moja kwa moja.
Swali la 3;

Katika hizo nyota kuzunguka Dunia, Zina move kwa mtindo upi ?

Yani zinamove zote kwa pamoja zikiwa sambamba ? Au kila moja ina move kwa style yake ?
 
Eti Tafiti nzito,,nzito my foot 😂😂
Yani Ishu Za Law of flotation ndiyo tafiti nzito....
Yani equations za F=M×Ga ndiyo tafiti nzito...
Bro , 🤣🤣🤣🤣🤣
ww umegundua ipi ndugu maana wanasema african continent contribute to about 1.4% of the global scientific knowledge
 
Swali la 3;

Katika hizo nyota kuzunguka Dunia, Zina move kwa mtindo upi ?

Yani zinamove zote kwa pamoja zikiwa sambamba ? Au kila moja ina move kwa style yake ?
3. Mpaka hivi tunavyozungumza teknolojia haijaruhusu bado kujua exactly Nyota zina move Kwa mtindo upi.....zilizopo ni assumptions na nadharia.
 
Hahh sasa Kwanini hizo law huzitaki unaanza kuingizia gravity kiujanja ujanja🙌🏼
Nimekwambia fanya jaribio hilo nililokupa,
Kama umeshindwa sema...
Siyo kujidai kuruka unapobanwa...

Sayansi ni mwendo wa majaribio tu ,siyo kuleta falsafa...

Na siyo lazima Chungwa,chukua hata kikombe, tupo twakusubiri...
halafu uje na majibu...
Kama umeshindwa sema....
 
3. Mpaka hivi tunavyozungumza teknolojia haijaruhusu bado kujua exactly Nyota zina move Kwa mtindo upi.....zilizopo ni assumptions na nadharia.
Hata hili swala unasubiri hadi teknolojia ndio ikupe majibu ? tena teknolojia ya watu ambao wanatambua Dunia ni tufe.

Na nkurekebishe teknolojia ipo na mpaka muda huu kuna telescope ilisharushwa kwenye space inaitwa JAMES WEB TELESCOPE
 
3. Mpaka hivi tunavyozungumza teknolojia haijaruhusu bado kujua exactly Nyota zina move Kwa mtindo upi.....zilizopo ni assumptions na nadharia.
Kuna nyota zinaitwa Orions unazifahamu ?

Maana nataka ufanye research wewe mwenyewe angalau uanze kupata mwanga maana upo kwenye kiza kinene
 
Kws
Kwanza siamini katika kitu kinaitwa GRAVITY... Hiyo ni fix nyingine! Kumbuka macalculations yamebuniwa na mwanadamu kwahiyo kuweza kuthibitika Kihisabati siyo ishu kwangu

Pili siamini katika aliens. Nauchukulia ni mpango wa shetani kuwafanya watu wayaogope sana mashetani na ikiwezekana mashetani yawatawale watu kabisa kwa mgongo wa viumbe kutoka sayari nyingine

Baridi unazoongelea wewe za msimu kaka ndo unataka kufananisha na baridi la kufa mtu la kudumu! Haupo serious wewe mbona ni juzi tu hapa kuna maeneo mpaka watu wakafa kwa baridi Marekani ikawa inahaha, hivi mbona mnasahau mapema sana hivyo?

Swala la kalenda kitabu changu kama nilivyokuambia kwenye hoja (comment) yangu ya msingi, kinaniambia hayo ni miongoni mwa manufaa (ya matumizi) ya jua na mwezi na wala siyo kuzunguka kwa dunia

Swali la kizushi:
Satellite unaijua? Yaani una uelewa nayo?
 
Hivi unajua hata ugunduzi wa Einstein ulihusu nini....?
Unajua hata Theory ya relativity inakuwa applied wapi....?
Yan physics ya basic unashindwa, hiyo ya Pure utaweza kweli...?

Kwanza fanya jaribio nililokupa...
 
Hilo jaribio lako halina mantiki kwasababu it's scientifically proved that "The shadow can never be smaller than the actual object"
__________
This is because a shadow is formed when an object blocks light from a source, creating an area of darkness behind the object. The size of the shadow is determined by the angle at which the light rays hit the object and the distance between the object and the surface where the shadow is cast. If the shadow appears smaller than the object, it may be due to optical illusions or other factors, but scientifically, a shadow cannot be smaller than the object casting it under normal circumstances.
 
Usipoelewa kuhusu jaribio lako sema uendelee kupata Shule

greater than
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…