Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Tangu umeanza kuziona umewahi kuona zikibadilika namna zilivyopangiliana ?
Hizo Nyota za Orions huwa zina move pamoja siku zote kwenye mpangilio mmoja.... ndiyo maana kila unapoona zipo hivyo.

Au unamaanisha kubadilika vipi?
 
1.Kwako siyo ishu kwasababu haujui hisabati, hilo ukubali kwanza.
Teknolojia kuwa proven kimahesabu usichukulie poa...
Kwani kugunduliwa na binadamu ndiyo uongo,,hapo ulipo unatumia simu inayonufaika na Hisabati.
Na kama hauamini in Gravity uje na explanation yako ya kinachofanya tufall to ground

2.Nimekwambia Russia ndiyo ina miji inaongoza law baridi,,,na nikakutaja hadi mji.
Je ,unajua baridi la nje ya dunia ni ngapi, google halafu ndiyo uje hapa.

3.Haya niambie,hizo Siku 365.25 zinapatikana vipi kwa mzunguko wa Jua na mwezi.

4.Misimu minne ya mwaka inapatikana vipi

with reference, siyo falsafa hapa

5.Natural au Artificial satellites,?
Yan uliza swali lolote kuhusu Astrology na utajibiwa clear, hapa hamna ubabaishaji...
 
O
Tangu umeanza kuziona umewahi kuona zikibadilika namna zilivyopangiliana ?
Huyu ndugu nimempa jaribio afanye, anajizungusha tu hapa....
Nimemwambia kama kashindwa aseme, anajidai haoni...
Akibanwa huwa anatapatapa.....
 
3. Mpaka hivi tunavyozungumza teknolojia haijaruhusu bado kujua exactly Nyota zina move Kwa mtindo upi.....zilizopo ni assumptions na nadharia.
Tupe reference wewe....
Yani mpaka Black holes zimegunduliwa....watu wanahangaika na anti-matter...
Wewe unasema movement za nyota...
 
Hata hili swala unasubiri hadi teknolojia ndio ikupe majibu ? tena teknolojia ya watu ambao wanatambua Dunia ni tufe.

Na nkurekebishe teknolojia ipo na mpaka muda huu kuna telescope ilisharushwa kwenye space inaitwa JAMES WEB TELESCOPE
Kwahiyo wewe Kwa akili yako unaamini unaweza kukaa Duniani hapa na kujua Nyota zina move Kwa mtindo gani,..si ndiyo?

Mimi Sipo hapa kupinga kila kitu,.kama kitu au idea ikiletwa na watu wa Dunia Tufe na ina ukweli 100% Kwanini niipinge sasa?
 
Tupe reference wewe....
Yani mpaka Black holes zimegunduliwa....watu wanahangaika na anti-matter...
Wewe unasema movement za nyota...
Kwahiyo wewe unajua kama Nyota zina move Kwa mtindo gani,.si ndiyo?
 
ww umegundua ipi ndugu maana wanasema african continent contribute to about 1.4% of the global scientific knowledge
Kwani hao wa Ulaya wote ni wagunduzi,,,mbona mna kiba cha roho watu tukiwa wanasayansi...
Wakati hapa tu ,naona navyo wabana,
Yani mtu haujui hata law of flotation....
Nyie Rudini kwenye Falsafa zenu, kama hamjui hesabu mtaumia...
 
Hizo Nyota za Orions huwa zina move pamoja siku zote kwenye mpangilio mmoja.... ndiyo maana kila unapoona zipo hivyo.

Au unamaanisha kubadilika vipi?
Nlimaanisha hivyo kubadilika mpangilio jinsi zinayoonekana.

Anyways kwenye swali langu number 3 Ulijibu hivi [emoji116]

"Mpaka hivi tunavyozungumza teknolojia haijaruhusu bado kujua exactly Nyota zina move Kwa mtindo upi.....zilizopo ni assumptions na nadharia"

Sasa hivi umejibu kuwa "zina move siku zote kwenye mpangilio mmoja"

Swali [emoji116]
Hilo jibu lako ulilotoa hapa ni nadharia au assumption ?
 
Kwahiyo wewe Kwa akili yako unaamini unaweza kukaa Duniani hapa na kujua Nyota zina move Kwa mtindo gani,..si ndiyo?

"Mimi Sipo hapa kupinga kila kitu,.kama kitu au idea ikiletwa na watu wa Dunia Tufe na ina ukweli 100% Kwanini niipinge sasa?
Kwahiyo wewe Kwa akili yako unaamini unaweza kukaa Duniani hapa na kujua Nyota zina move Kwa mtindo gani,..si ndiyo?"

HAPO NDIO UNAHARIBU, wewe nijibu maswali yangu.
 
Kwahiyo wewe Kwa akili yako unaamini unaweza kukaa Duniani hapa na kujua Nyota zina move Kwa mtindo gani,..si ndiyo?

HAPO NDIO UNAHARIBU, wewe nijibu maswali yangu.
Nimekuuliza baada ya wewe kushangaa niliposema kwamba teknolojia ni muhimu kwenye kujua Nyota zina move Kwa mtindo wa Aina gani.
 
Nimekuuliza baada ya wewe kushangaa niliposema kwamba teknolojia ni muhimu kwenye kujua Nyota zina move Kwa mtindo wa Aina gani.
Nlikujibu kuwa teknolojia ipo, Na telescope zipo za uwezo mbali mbali
 
Hiyo sio nadharia bali ni fact kwamba muda wote Nyota hizo huonekana pamoja...so conclusion ni kwamba zina move pamoja zikitengeneza Orion shape.
 
Depends on the angle,,,,?
Nimekwambia urudi nyuma one meter,so utakuwa at the same angle....are you that dumb.
Nimekwambia fanya jaribio and siyo u quote....
Optical illusion or other factors,
Yani scientific experiment itamke other factors....
You are so dumb aiseeh, trust me ,so dumb.
 
Still.., Teknolojia na Telescope zilizopo zina limit ya kuona.

Nadhani teknolojia ingeruhusu NASA wangeachana na CGI's
Umekazania NASA as if Hao peke yao ndiyo wanatuma Rocket angani,haujui Kusua Iran,Korea or even India...
 
Hiyo sio nadharia bali ni fact kwamba muda wote Nyota hizo huonekana pamoja...so conclusion ni kwamba zina move pamoja zikitengeneza Orion shape.
Unasema ni fact lakini mwanzo ulisema hakuna hata teknolojia inayofahamu nyota zinamove kwa mtindo upi zaidi ya nadharia na assumptions

Ila muda huu unaonyesha kujua kuhusu nyota za Orions zinavyomove.

Ndio maana nmekuuliza hivi; kwahiyo jibu lako kuhusu hizi nyota za Orions unavyosema zinamove sambamba ni nadharia au assumptions ?

( Na usisahau hili swali lipo kwa msingi gani/lipo kwa msingi wa wewe unayeamini nyota zinazunguka Dunia )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…