Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Still.., Teknolojia na Telescope zilizopo zina limit ya kuona.


Nadhani teknolojia ingeruhusu NASA wangeachana na CGI's
Unapenda ushindani,

Pengine haujui telescope hata moja hapo ulipo...

James web telescope unaijua ?
 
So,. unaamini hiyo other factors nimetamka/nimejitungia Mimi?

Kwamba Mimi ni dumb,...? Hayo ni maoni yako Tu kuhusu Mimi and you are free to think chochote.,.
 
Kwani unaposema Nyota zina move Kwa mtindo upi unamaanisha nini?

Maana swali hilo na swali la kwanini Nyota zinazounda Orion galaxy zipo pamoja muda wote,.ni maswali tofauti kabisa sasa sijui unakwama wapi..
 
Kwani unaposema Nyota zina move Kwa mtindo upi unamaanisha nini?

Maana swali hilo na swali la kwanini Nyota zinazounda Orion galaxy zipo pamoja muda wote,.ni maswali tofauti kabisa sasa sijui unakwama wapi..
Umeshasahau hata msingi wa swali, na hili ni tatizo lako kubwa hata Antony anakueleza hili mara nyingi
 
Jaribio la Pili
Kuhusu Visibility,,,
VIFAA
Flat earther's muwe wawili,
NJIA
1.Nedeni kwenye uwanya wa mpira wewe kaa goli la kwanza, na yeye akae goli la pili,,hapo itakuwa umbali wa mita takribani..

2.Nukuu unachokiona kwa mwenzako.
Mwambie asogee kwa wa hatua 20,nukuu unachokiona...

3.Mwambie asogee hatua 40,nukuu unachokiona...

Sasa uchukue flat earth mwenzako...
Tafuteni sehemu ambapo mbele kuna mteremko na nyuma ya kuna mteremko, katikati ndiyo kama juu.

1.Mwambie aende mbele kwenye mteremko hatua kama 40,nawewe urudi nyuma kushuka mteeemko hatua 30.

2.Muangalie mwenzako, halafu andika unachoona,
Mwambie asogee hatua 10,andika unachoona,
Mwambie asogee zaiid hatua 30,andika unachoona...

Tafuta mwenzako ufanye hilo,,Sayansi ni majaribio tu...
siyo falsafa hapa...
 
N
Hiyo sio nadharia bali ni fact kwamba muda wote Nyota hizo huonekana pamoja...so conclusion ni kwamba zina move pamoja zikitengeneza Orion shape.
Nikurukebishe in Science hatuna 100% facts,
Yaan theory hata iwe proven kiasi gani, itabaki kuwa theory, ili kuruhusu mtu mwingine akija na hoja ya kupinga aje na tafiti zake na hesabu zake...
Nimeelewa kijana...
In science Probability haiwezi kuwa 1.always ni chini ya moja.
 
Still.., Teknolojia na Telescope zilizopo zina limit ya kuona.


Nadhani teknolojia ingeruhusu NASA wangeachana na CGI's
Nimekupa jaribio la pili,,,,Umeskia mwanafalsafa, tena nakupa ya shule ya msingi, siyo kujidai unakimbilia Relativity,,
 
So,. unaamini hiyo other factors nimetamka/nimejitungia Mimi?

Kwamba Mimi ni dumb,...? Hayo ni maoni yako Tu kuhusu Mimi and you are free to think chochote.,.
Nimekwambia ufanye hilo jaribio kuondoa hiyo hoja yako ya kukariri....
Siyo kuingia kwenye mitandao ya flat earths kucopy na kupaste...
Scientific experiments hakunaga other factors, siyo insha hiyo, yani useme other factors halafu panel ya watu ikuangalie 😂😂🤣🤣😂
Fanya jaribio uone jinsi Penumbra and Umbra zinavyofanya kazi....
Halafu unasema jaribio halina mantiki, you are so dumb...
 
Kwenye hilo jaribio...
Mkiwa uwanjani, utagundua
Mwenzako akiwa kwenye goli lingine, utaona mwili mzima kutoka miguu hadi kichwa, ila hautamuona vizuri,,,yani Hutoona sura wala nywele za mikono.
Ila kadri anavyosgea ndiyo utakavyomuona vizuri, yani vision inakuwa clear....

Ila kwenye mabonde mawili
Yule mwenzako akiwa chini kule,wewe umeshuka kidogo,
Hauto muona kabisa, kadri anavyokusogelea ndiyo utaanza kuona kichwa, mara kichwa na mabega mara hadi kiuno mpaka mwishowe mwili mzima...


Hivi ndivyo hata Ship's Visibilty ilivyo,
Meli ikiwa mbali due to Curvature ya dunia ya dunia, utaanza ona sehemu ya juu ya Meli, then sehemu ya juu na kati,ikisogea zaidi utaiona meli nzima....
We dogo umeelewa...
Fanya Jaribio kesho uje na majibu yako.
 
Hahh,..Kwa tafiti hizi za Chekechea ndiyo maana hujachangia chochote kwenye Sayansi mpaka Leo.
 
Kinachofanya urudi chini ni Density, kitu chochote kikiwa kizito kuliko hewa lazima kitadondoka chini, na kitu kikiwa chepesi kuliko hewa lazima kitaelea angani. Gravity ni hoax.
 
Jambo kama huwezi kulijibu huwa unatoa majibu mepesi sana.

Labda namimi nkuulize swali, Japo nlishajitoa kukuuliza chochote,

kwa unavyofahamu NASA wanatumia njia gani kujua muda matukio kama haya ( siku yatakapotokea ) ?
Kuhusu kuzunguka kwa Jua msome VAN BRAUN director wa NASA alichoandika kwenye kaburi lake baada ya kufa. PSALM 19:1-6
 
Hahahaa ukitaka kujua watu hawataki ujinga sahivi kasome comments kwenye posts za NASA ndo utajua watu wameamka wamechoka na na CGI’s. Moon landing ya juzi wanayodanganya imekuwa kimya ghafla😂😂
 
Kwenye bible akasome Mithali 19:1-6.
 
Ukiangalia hili li mpira unabaki unajiuliza hici maji yanakaaje kwenye ball? Kwa mtu ambae akili ipo sawasawa hawezi kukubaliana na huu uongo.
 
1. Hizo body zipo but ni too faint kuweza kuziona.

2. Ni almost sphere, au not perfect sphere so Kwa umbali huo unaona kama ni sphere.
Mbona hapa zimeonekana?😂😂😂 sindo nyie mlokuwa mnasema ukiwa space huwezi ziona??
 

Attachments

  • IMG_6002.png
    1.8 MB · Views: 4
Inafurahisha, inashangaza alafu inasikitisha😄😄😮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…