Jaribio la Pili
Kuhusu Visibility,,,
VIFAA
Flat earther's muwe wawili,
NJIA
1.Nedeni kwenye uwanya wa mpira wewe kaa goli la kwanza, na yeye akae goli la pili,,hapo itakuwa umbali wa mita takribani..
2.Nukuu unachokiona kwa mwenzako.
Mwambie asogee kwa wa hatua 20,nukuu unachokiona...
3.Mwambie asogee hatua 40,nukuu unachokiona...
Sasa uchukue flat earth mwenzako...
Tafuteni sehemu ambapo mbele kuna mteremko na nyuma ya kuna mteremko, katikati ndiyo kama juu.
1.Mwambie aende mbele kwenye mteremko hatua kama 40,nawewe urudi nyuma kushuka mteeemko hatua 30.
2.Muangalie mwenzako, halafu andika unachoona,
Mwambie asogee hatua 10,andika unachoona,
Mwambie asogee zaiid hatua 30,andika unachoona...
Tafuta mwenzako ufanye hilo,,Sayansi ni majaribio tu...
siyo falsafa hapa...