Sidhani kama mtafika unapopataka na huyu boss labda umrikodie aione kwenye video hiyo altitude.Kama Dunia ingekuwa flat ndege zisingekuwa zinatumia altimeter kuadjust altitude, sidhan kama unajua maana ya altitude
Hakikisha unakunywa dawa ya kimasai ya kuharisha na kutapika usije mpa mtu mimba na tope ulizo nazo kichwani nyie ndo mnaleta mazwazwa wa CcMUsiende mbali mkuu,..wewe fikiria mfano unataka uende Nairobi Tu hapo Kwa kutumia Helicopter ,... Na unajua kabisa Dunia inazunguka na Kwa teknolojia iliyopo unajua kabisa ukifanya mark time na Helicopter yako ndani ya saa kadhaa Nairobi itakua imefikia mahali ambapo ulikua unafanya mark time,...utakachotakiwa kufanya ni kutua tu as earth's rotation has freely brought the city of Nairobi to you, Hahh....🙌🏼
Ndani ya atmosphere Wala hakuna helcopter inaweza toka juu ya uso wa duniaOky kwani helicopter inapokua angani tunasema ipo katika part ipi ya dunia mkuu ?
Mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kuongelea kitu bila kukijua.Unajua maana ya altitude kwanza?
Nchi zote zinaishi juu ya uso wa Dunia(over the flat-surface plane),..hata hili unashindwa kuelewa?,.tena unaweza ukatafiti na kuthibitisha mwenyewe......!Kwahy unamajibu yako?😀😄 Na umeshindwa kujibu hoja zaidi ya saba😀😀.
Fungua fuvu lako utaelewa. Ndo maana unalazimisha mass iwe force,
Kwahiyo akili yako Inakuambia Ndege iki adjust altitude ndiyo itaweza kutua nchi zilizo upande wa pili wa Tufe?Kama Dunia ingekuwa flat ndege zisingekuwa zinatumia altimeter kuadjust altitude, sidhan kama unajua maana ya altitude
Hizo routes ndiyo haziwezekani kwenye dunia Tufe linalozunguka sasa......& that's why miongoni mwa assumptions muhimu kwenye Piloting ni:-@hateeb
Ukifungua ubongo wako fuatilia hivi vitu,
1. Great circle route
2. Vacuum chamber
Nilikuonesha Hadi route zilivyo lkn unakaza bichwa.
View attachment 2935184
Refence ndiyo nini mkuu?!Naomba Refence nikajifunze mkuu
Refence ndiyo nini mkuu?!
Dah watu wa Dunia Tufe linalozunguka hata kuandika kuna watatiza..... Nadhani ndiyo maana hata kufikiria critically imekua ngumu.
Chosen Rich Alishatabiri kama utajibu comedyAkikupa tafiti zinazoeleweka nafuta account ya JF
Jitahidi kuongeza umakini.Chosen Rich Alishatabiri kama utajibu comedy
Au nikuletee kweli "Refence" HahhJitahidi kuongeza umakini.
weka reference hapa,Au nikuletee kweli "Refence" Hahh
It's a huge huge mistake kudhania kwamba ukweli unapatikana kwenye references.weka reference hapa,
wewe si unafahamu ukweli document watu tujifunze kaka, au na hii nayo hutaki? leo hii tunatumia jamii forums hapa watu wasingekua wanadocument unahisi kina melo wangeweza kuimplement jamiiforums? kwa kutumia language gani? resources zipi, flat earthers mnashida gani nyinyi na kudocument tafiti?It's a huge huge mistake kudhania kwamba ukweli unapatikana kwenye references.
ukweli ni ukweli hata ikiwa haupo documented.
Na uongo ni uongo hata ukiwa documented na kuaminika na kila mtu.
weka reference hapa. kwanza jana elo kapost mambo ya mars hujaleta screenshot yake kwanini?It's a huge huge mistake kudhania kwamba ukweli unapatikana kwenye references.
ukweli ni ukweli hata ikiwa haupo documented.
Na uongo ni uongo hata ukiwa documented na kuaminika na kila mtu.
Kuna maswali alikimbia hadi leo alijua naenda kumuingiza mtegoni,Chosen Rich Alishatabiri kama utajibu comedy
Vitu kibao hua anakimbia, mfano wa fasta ni altitude, anthony_art kamuuliza hapo juu na hilo swali hata mimi nishawahi muuliza hajibuKuna maswali alikimbia hadi leo alijua naenda kumuingiza mtegoni,
Kiufupi yeye na ukilaza ni damu damu.
Naona mnaupaka ujinga rangi nzuri hapa....kwamba wewe ushawahi kuniuliza swali la altitude? Lilete hapa la sivyo utakua mzushi..Vitu kibao hua anakimbia, mfano wa fasta ni altitude, anthony_art kamuuliza hapo juu na hilo swali hata mimi nishawahi muuliza hajibu