Kwahiyo kama Chawa hajui kama wewe unatembea ndiyo ajitungie tu kwamba unatembea? Bila kipimo chochoteKwahiyo akili zako zinakwambia ratio yako na gari ni sawa na ile ha sisimizi na baloon🤣🤣🤣???
Hata chawa akiwa kichwani kwako hawezi kujua kama unatembea sababu ratio yenu na ukubwa na uzito imepishana mbali sana.
100%Kwahiyo huo ulioweka hapo juu ndiyo uthibitisho usio na shaka kwamba Dunia inazunguka?
😁😁😁,wewe jamaa ni kiazi kikuu.Ukikubali kutumia akili yako ndiyo utajua kwamba kila nchi kuwa na hali yake ya hewa ni uthibitisho tosha kwamba Dunia ipo stationary,.. ingekua inazunguka kama ulivyodanganywa basi kusingekuwa na kitu kama climatic conditions .....hiyo pia ni ngumu kuelewa?
hakuna mfano unauelewa wala picha au video,kila kitu unakataa.Hivi unafikiria unachokiandika kweli?....kwani huo mfano wa Sisimizi aliuleta nani kama si wewe?
swala sio kuwaambia wenzie,swala ni kwamba ni kweli baloon linazunguka,aseme ama ake kimya bado litaendelea kuzunguka.Narudia tena,... Sisimizi (binadamu) Kwa kuwa hawezi kuona wala kuhisi mwendo wa Dunia basi hatakiwi tu kuwaambia Sisimizi wengine kwamba Dunia inazunguka,..
Wewe inabidi useme unataka zipi maana zote tumekuletea bado unakataa...Bali anatakiwa kuonyesha methodology na measurements alizotumia ili na Sisimizi(binadamu) wengine waweze kuthibitisha madai yake.
Chawa ndio wewe sasa,kwa sababu yeye hajui anakataa kama inatembea😁😁Kwahiyo kama Chawa hajui kama wewe unatembea ndiyo ajitungie tu kwamba unatembea? Bila kipimo chochote
Si ni hii ya mimi na dunia!!!Then,... una uhakika gani kama Chawa hawezi kuhisi mwendo wako...have you ever been within its senses, to come up with that conclusion?
Sasa ushasema Sisimizi hawezi kuona wala kuhisi mwendo wa Dunia,...hilo hitimisho kama Dunia inazunguka ametolea wapi?100%
😁😁😁,wewe jamaa ni kiazi kikuu.
hakuna mfano unauelewa wala picha au video,kila kitu unakataa.
swala sio kuwaambia wenzie,swala ni kwamba ni kweli baloon linazunguka,aseme ama ake kimya bado litaendelea kuzunguka.
Sasa Kwa mfano ulioweka hapo,..Wewe ukiambiwa zanzibar kuna punda halafu unabisha sababu hawawezi kuvuka maji,badala ya kwenda kutembelea uone kama wapo hayo ni matatizo yako,unabishia mazoea.
Tumeomba uthibitisho wa flat eath hakuna zaidi ya sarakasi.
Kwahiyo wewe ukipanda Ndege utakua hujui kama ina move wala huhisi chochote? Kama ni hivyo muone daktari.Chawa ndio wewe sasa,kwa sababu yeye hajui anakataa kama inatembea😁😁
Si ni hii ya mimi na dunia!!!
Umeshawahi kupanda ndege ikiwa angani ukaambiwa iko 1000k/h speed utakataa mpaka ujiue,sababu una reasoning kama ya chawa.
Nimekwambia yeye kutohisi hakufanyi dunia kusimama,ndio maana nikakufananisha na chawa pale juu,kwamba sababu chawa hahisi chochote basi msimamo wake uwe wewe huwa umekaa sehemu moja.Sasa ushasema Sisimizi hawezi kuona wala kuhisi mwendo wa Dunia,...hilo hitimisho kama Dunia inazunguka ametolea wapi?
Wewe ndiye unajizima data makusudi kabisa.Hili ni swali la msingi sana.. unless ujitoe akili au uwe hufikirii vizuri.
mfano wa punda umelenga wewe kutoka katika box la mtizamo wa mazoea,punda anaweza kubebwa,punda anawezakuwa aliumbwa hapo hapo zenji nk.Sasa Kwa mfano ulioweka hapo,..
Tuambie wewe ni kipimo gani umetumia kujua kama Dunia inazunguka? Kama ili kuhakikisha kwamba Zanzibar kuna Punda ni mpaka tuvuke maji twende,...basi pia ili kuhakikisha kwamba Dunia inazunguka ni mpaka tuwe na methodology ya kujua hivyo....la sivyo itakua kudanganyana tu hapa.
Mimi nimekosa uthibitisho au wewe huutaki???NB:- Wewe kukosa uthibitisho wa Dunia Tufe linalozunguka,. inaonyesha wazi kwamba Imani yako hiyo imetokana na kufuata mkumbo na sio akili yako binafsi.
Ndio maana nikahoji kama umewahi,maana nilijua tu utakuja mzima mzima.Kwahiyo wewe ukipanda Ndege utakua hujui kama ina move wala huhisi chochote? Kama ni hivyo muone daktari.
😁😁common sense is not common.Akili za wapi hizo?
Nimekuambia uthibitisho wa Dunia Kuzunguka,.umehamia kwenye Ndege and still it doesn't make sense.
Bali kutohisi kwake kunaifanya Dunia iwe ina move?Nimekwambia yeye kutohisi hakufanyi dunia kusimama
Ni ujinga wake tu.ila dunia ina move.Bali kutohisi kwake kunaifanya Dunia iwe ina move?
Hakuna methodology wala kipimo chochote ulichoweka...unaleta hadithi tu ambazo hazina ukweli ndani yake na hatuwezi kuzitumia kama uthibitisho.vipimo vya dunia kuzunguka nimekupa,sijui huoni??au unataka thermometre.
Mimi nimekosa uthibitisho au wewe huutaki???
Hujaelewa swali.....Ni ujinga wake tu.ila dunia ina move.
Hivi chawa anajua dunia ni flat kama wewe?Kwahiyo kama Chawa hajui kama wewe unatembea ndiyo ajitungie tu kwamba unatembea? Bila kipimo chochote
Then,... una uhakika gani kama Chawa hawezi kuhisi mwendo wako...have you ever been within its senses, to come up with that conclusion?
Nimejibu ujinga wake hauhusiani kabisa na movement ya dunia.Hujaelewa swali.....
Nimeuliza Sisimizi kutohisi kama Dunia ina move ndiyo kunafanya Dunia iwe ina move?
Huo ni uongo😁😁 hakuna aliyewahi kufanya hivyo.Inakuaje ukianza kutembea kutoka point A kwa mstari mnyoofu bila kurudi nyuma, utajikuta umeirua point A tena
Au
Ukianza kutembea kwa mstari nyioofu kutoka point A bila kurudi nyuma utakutana na point B ambayo ndio mwisho wa dunia ( edge of surface) View attachment 2948879
Hili swali ingefaa umuulize Chawa mwenyewe.....Hivi chawa anajua dunia ni flat kama wewe?
Bora umemuelimisha mwenzako huyo...Huo ni uongo😁😁 hakuna aliyewahi kufanya hivyo.
Vizuri.., kwanini awadanganye wenzake sasa kina mkorinto kwamba Dunia ina move wakati yeye Sisimizi hana kipimo na njia yoyote Ile ya kujua kama Dunia ina move?Nimejibu ujinga wake hauhusiani kabisa na movement ya dunia.
Nimekusaidia 😆😆😆.Bora umemuelimisha mwenzako huyo...
Hawatakiwi kumwamini wanatakiwa wakubali na wajue kwa kujiridhisha alichowaambia,swala la kumwamini ni kama wewe unalolitaka tufanye kuhusu madai ya dunia flat.Vizuri.., kwanini awadanganye wenzake sasa kina mkorinto kwamba Dunia ina move wakati yeye Sisimizi hana kipimo na njia yoyote Ile ya kujua kama Dunia ina move?
Wenzake watamuamini vipi kwa maneno matupu,?