hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Kwahiyo kama Chawa hajui kama wewe unatembea ndiyo ajitungie tu kwamba unatembea? Bila kipimo chochoteKwahiyo akili zako zinakwambia ratio yako na gari ni sawa na ile ha sisimizi na baloon🤣🤣🤣???
Hata chawa akiwa kichwani kwako hawezi kujua kama unatembea sababu ratio yenu na ukubwa na uzito imepishana mbali sana.
Then,... una uhakika gani kama Chawa hawezi kuhisi mwendo wako...have you ever been within its senses, to come up with that conclusion?