Sawa,...wewe Sisimizi mwenzako alivyokuambia Dunia inazunguka,... umechukua hatua gani kujiridhisha?Hawatakiwi kumwamini wanatakiwa wakubali na wajue kwa kujiridhisha alichowaambia,swala la kumwamini ni kama wewe unalolitaka tufanye kuhusu madai ya dunia flat.
Yaani tukuamini tu sababu unabisha.
Kwanini halikufai wewe?Hili swali ingefaa umuulize Chawa mwenyewe.....
Mimi sibishi kuhusu Dunia flat,.Bali nina uthibitisho.....NI wewe kupanga siku nikutembeze kadri unavyoweza ushuhudie flatness ya Dunia kwenye matembezi hayo ukiona dalili za Dunia Tufe siku hiyo hiyo nitabadili mtazamo wangu.swala la kumwamini ni kama wewe unalolitaka tufanye kuhusu madai ya dunia flat.
Yaani tukuamini tu sababu unabisha.
Mimi sio Chawa....na unfortunately swali linauliza kuhusu Chawa anavyohisi na kufikiria hili ilipaswa tuelekeze Kwa Chawa mwenyewe.Kwanini halikufai wewe?
Ok sawa, lakini wewe unafikiri chawa wanajua dunia ni flat?Mimi sio Chawa....na unfortunately swali linauliza kuhusu Chawa anavyohisi na kufikiria hili ilipaswa tuelekeze Kwa Chawa mwenyewe.
Kubali tu akili yako ni ndogo ndio maana inaona mambo kwa udogoNdiyo nimewahi, ili uthibitishe hili safiri kisha tuambie kwenye safari yako umeona tambarare? Umeona curvature of the earth? umeona kwamba Nchi zote zipo kwenye uso tambarare wa Dunia?.....
wewe ndiyo hujawahi kuliona Dunia Tufe zaidi ya kwenye picha Tu..
"wewe ndiyo hujawahi kuliona Dunia Tufe zaidi ya kwenye picha Tu.."Ndiyo nimewahi, ili uthibitishe hili safiri kisha tuambie kwenye safari yako umeona tambarare? Umeona curvature of the earth? umeona kwamba Nchi zote zipo kwenye uso tambarare wa Dunia?.....
wewe ndiyo hujawahi kuliona Dunia Tufe zaidi ya kwenye picha Tu..
Dunia kuwa Tufe si jambo ambalo ni maneno matupu yaliletwa,,Vizuri.., kwanini awadanganye wenzake sasa kina mkorinto kwamba Dunia ina move wakati yeye Sisimizi hana kipimo na njia yoyote Ile ya kujua kama Dunia ina move?
Wenzake watamuamini vipi kwa maneno matupu,?
Yes nadhani wanajua...Ok sawa, lakini wewe unafikiri chawa wanajua dunia ni flat?
🤣🤣🤣🤣🤣 noma sana mkuuMimi sibishi kuhusu Dunia flat,.Bali nina uthibitisho.....NI wewe kupanga siku nikutembeze kadri unavyoweza ushuhudie flatness ya Dunia kwenye matembezi hayo ukiona dalili za Dunia Tufe siku hiyo hiyo nitabadili mtazamo wangu.
Ningekua na akili ndogo ningeamini Dunia ni Tufe linalozunguka,..kama wewe ulivyoaminishwa.Kubali tu akili yako ni ndogo ndio maana inaona mambo kwa udogo
Wewe inaonekana ukiwekwa ndani ya meli kubwa ya mizigo, unaweza kubisha kuwa upo ndani ya chombo kilichotengenezwa na binadamu na kinaelea kwenye maji.
Hahh si ndiyo hapo kaka,...eti Mtu anataka uthibitisho wa Dunia flat,....ishu ni moja apange siku ikiwezekana na wewe uwe shahidi tufanye utafiti kwa kutembea Miles and Miles ili tuone Dunia ni flat au kuna dalili zozote za kuwepo Kwa Mkunjo wa Dunia (curvature of the earth).....🤣🤣🤣🤣🤣 noma sana mkuu
Flat earthers siku moja inabidi iandaliwe project moja ya kwenda huko mnaposema kingo ya dunia tuweke pump kubwa ya maji ili kuvuta maji ya bahari na kuyamwaga nje, tuone inakuajeNingekua na akili ndogo ningeamini Dunia ni Tufe linalozunguka,..kama wewe ulivyoaminishwa.
Lakini Kwa kuwa akili yangu inafanya kazi vizuri,....ndiyo maana vitu ambavyo haviingii akilini inaniwia ugumu kuviamini.
Mfano,.mtu unasema Dunia inazunguka ukiomba uthibitisho huna sasa,.. unategemea tukuamini vipi?
Hayo hapo juu ni maneno tu......unapaswa ulete uthibitisho kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka 👉🏼🌍.Dunia kuwa Tufe si jambo ambalo ni maneno matupu yaliletwa,,
Umeshaonyeshwa njia tofauti za kufanya ili uchunguze wewe mwenyewe ila unazikataa na kuleta maneno matupu, Watu wametuma hadi vifaa huko kwenye space bado unakataa.
Kwenye theory yenu flat Earth ndio vinara wa maneno matupu hamna data zozote..
Umbile lako kiujumla linachukua space kwa kiasi kidogo sana, Na linachukua space kwenye hili gimba tunalojadili hapa ( Dunia )
Unawezaje kuja na majibu mepesi bila data zozote ya umbo la Dunia, gimba ambalo ukubwa wake ni mara trillion ya umbo lako wewe ?
Huoni kama unaleta maneno matupu, Nani anaweza kukuelewa ? Labda mwendawazimu pekee
SHida yako moja tu mkuu upo biased kwenye tafiti, zile ngumu zinazowabana flatearthers unazikwepa hata kuziongeleaHahh si ndiyo hapo kaka,...eti Mtu anataka uthibitisho wa Dunia flat,....ishu ni moja apange siku ikiwezekana na wewe uwe shahidi tufanye utafiti kwa kutembea Miles and Miles ili tuone Dunia ni flat au kuna dalili zozote za kuwepo Kwa Mkunjo wa Dunia (curvature of the earth).....
Simple kabisa.
Tafiti ngumu zipo wapi sasa?SHida yako moja tu mkuu upo biased kwenye tafiti, zile ngumu zinazowabana flatearthers unazikwepa hata kuziongelea
Nilikwambia ile ya kukodi ndege then kufly mpaka kwenye hizo miisho ya dunia according to flat earthers mapa ulijibu nini?Tafiti ngumu zipo wapi sasa?
Mimi nimeomba kitu rahisi tu, 👉🏼 uthibitisho wa Dunia Tufe linalozunguka mpaka sasa hivi uthibitisho hakuna ni hadithi tu za pauka pakawa.
Kwani mwisho wa Dunia wewe unaufahamu?Nilikwambia ile ya kukodi ndege then kufly mpaka kwenye hizo miisho ya dunia according to flat earthers mapa ulijibu nini?
Unaona majibu yako sasa🤣🤣, siku njema nduguKwani mwisho wa Dunia wewe unaufahamu?
Kama hauufahamu ukishakodi hiyo Ndege utaelekea wapi ikiwa hujui mwisho ni wapi?