Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Hawatakiwi kumwamini wanatakiwa wakubali na wajue kwa kujiridhisha alichowaambia,swala la kumwamini ni kama wewe unalolitaka tufanye kuhusu madai ya dunia flat.

Yaani tukuamini tu sababu unabisha.
Sawa,...wewe Sisimizi mwenzako alivyokuambia Dunia inazunguka,... umechukua hatua gani kujiridhisha?

Au ndiyo hizo picha na maneno tu?
 
swala la kumwamini ni kama wewe unalolitaka tufanye kuhusu madai ya dunia flat.

Yaani tukuamini tu sababu unabisha.
Mimi sibishi kuhusu Dunia flat,.Bali nina uthibitisho.....NI wewe kupanga siku nikutembeze kadri unavyoweza ushuhudie flatness ya Dunia kwenye matembezi hayo ukiona dalili za Dunia Tufe siku hiyo hiyo nitabadili mtazamo wangu.
 
Mimi sio Chawa....na unfortunately swali linauliza kuhusu Chawa anavyohisi na kufikiria hili ilipaswa tuelekeze Kwa Chawa mwenyewe.
Ok sawa, lakini wewe unafikiri chawa wanajua dunia ni flat?
 
Ndiyo nimewahi, ili uthibitishe hili safiri kisha tuambie kwenye safari yako umeona tambarare? Umeona curvature of the earth? umeona kwamba Nchi zote zipo kwenye uso tambarare wa Dunia?.....

wewe ndiyo hujawahi kuliona Dunia Tufe zaidi ya kwenye picha Tu..
Kubali tu akili yako ni ndogo ndio maana inaona mambo kwa udogo

Wewe inaonekana ukiwekwa ndani ya meli kubwa ya mizigo, unaweza kubisha kuwa upo ndani ya chombo kilichotengenezwa na binadamu na kinaelea kwenye maji.
 
"wewe ndiyo hujawahi kuliona Dunia Tufe zaidi ya kwenye picha Tu.."

Jibu: Dunia tufe nmehitimisha kwa kuiona kwenye akili yangu,

Nliruhusu akili yangu ifanye kazi, Sikutaka macho yanidanganye kama ilivyokua wewe ambae unachokiona bila kufikiri wala kutafakari unachukulia ndivyo kilivyo bila kufanya vipimo.
 
Vizuri.., kwanini awadanganye wenzake sasa kina mkorinto kwamba Dunia ina move wakati yeye Sisimizi hana kipimo na njia yoyote Ile ya kujua kama Dunia ina move?

Wenzake watamuamini vipi kwa maneno matupu,?
Dunia kuwa Tufe si jambo ambalo ni maneno matupu yaliletwa,,

Umeshaonyeshwa njia tofauti za kufanya ili uchunguze wewe mwenyewe ila unazikataa na kuleta maneno matupu, Watu wametuma hadi vifaa huko kwenye space bado unakataa.

Kwenye theory yenu flat Earth ndio vinara wa maneno matupu hamna data zozote..

Umbile lako kiujumla linachukua space kwa kiasi kidogo sana, Na linachukua space kwenye hili gimba tunalojadili hapa ( Dunia )

Unawezaje kuja na majibu mepesi bila data zozote ya umbo la Dunia, gimba ambalo ukubwa wake ni mara trillion ya umbo lako wewe ?

Huoni kama unaleta maneno matupu, Nani anaweza kukuelewa ? Labda mwendawazimu pekee
 
Mimi sibishi kuhusu Dunia flat,.Bali nina uthibitisho.....NI wewe kupanga siku nikutembeze kadri unavyoweza ushuhudie flatness ya Dunia kwenye matembezi hayo ukiona dalili za Dunia Tufe siku hiyo hiyo nitabadili mtazamo wangu.
🤣🤣🤣🤣🤣 noma sana mkuu
 
Kubali tu akili yako ni ndogo ndio maana inaona mambo kwa udogo

Wewe inaonekana ukiwekwa ndani ya meli kubwa ya mizigo, unaweza kubisha kuwa upo ndani ya chombo kilichotengenezwa na binadamu na kinaelea kwenye maji.
Ningekua na akili ndogo ningeamini Dunia ni Tufe linalozunguka,..kama wewe ulivyoaminishwa.

Lakini Kwa kuwa akili yangu inafanya kazi vizuri,....ndiyo maana vitu ambavyo haviingii akilini inaniwia ugumu kuviamini.

Mfano,.mtu unasema Dunia inazunguka ukiombwa uthibitisho huna sasa,.. unategemea tukuamini vipi?
 
🤣🤣🤣🤣🤣 noma sana mkuu
Hahh si ndiyo hapo kaka,...eti Mtu anataka uthibitisho wa Dunia flat,....ishu ni moja apange siku ikiwezekana na wewe uwe shahidi tufanye utafiti kwa kutembea Miles and Miles ili tuone Dunia ni flat au kuna dalili zozote za kuwepo Kwa Mkunjo wa Dunia (curvature of the earth).....

Simple kabisa.
 
Ningekua na akili ndogo ningeamini Dunia ni Tufe linalozunguka,..kama wewe ulivyoaminishwa.

Lakini Kwa kuwa akili yangu inafanya kazi vizuri,....ndiyo maana vitu ambavyo haviingii akilini inaniwia ugumu kuviamini.

Mfano,.mtu unasema Dunia inazunguka ukiomba uthibitisho huna sasa,.. unategemea tukuamini vipi?
Flat earthers siku moja inabidi iandaliwe project moja ya kwenda huko mnaposema kingo ya dunia tuweke pump kubwa ya maji ili kuvuta maji ya bahari na kuyamwaga nje, tuone inakuaje
 
Dunia kuwa Tufe si jambo ambalo ni maneno matupu yaliletwa,,

Umeshaonyeshwa njia tofauti za kufanya ili uchunguze wewe mwenyewe ila unazikataa na kuleta maneno matupu, Watu wametuma hadi vifaa huko kwenye space bado unakataa.

Kwenye theory yenu flat Earth ndio vinara wa maneno matupu hamna data zozote..

Umbile lako kiujumla linachukua space kwa kiasi kidogo sana, Na linachukua space kwenye hili gimba tunalojadili hapa ( Dunia )

Unawezaje kuja na majibu mepesi bila data zozote ya umbo la Dunia, gimba ambalo ukubwa wake ni mara trillion ya umbo lako wewe ?

Huoni kama unaleta maneno matupu, Nani anaweza kukuelewa ? Labda mwendawazimu pekee
Hayo hapo juu ni maneno tu......unapaswa ulete uthibitisho kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka 👉🏼🌍.

Maana maneno mtu yoyote anaweza akaleta.... kuleta uthibitisho ndiyo kazi!
 
Hahh si ndiyo hapo kaka,...eti Mtu anataka uthibitisho wa Dunia flat,....ishu ni moja apange siku ikiwezekana na wewe uwe shahidi tufanye utafiti kwa kutembea Miles and Miles ili tuone Dunia ni flat au kuna dalili zozote za kuwepo Kwa Mkunjo wa Dunia (curvature of the earth).....

Simple kabisa.
SHida yako moja tu mkuu upo biased kwenye tafiti, zile ngumu zinazowabana flatearthers unazikwepa hata kuziongelea
 
Tafiti ngumu zipo wapi sasa?

Mimi nimeomba kitu rahisi tu, 👉🏼 uthibitisho wa Dunia Tufe linalozunguka mpaka sasa hivi uthibitisho hakuna ni hadithi tu za pauka pakawa.
 
Nilikwambia ile ya kukodi ndege then kufly mpaka kwenye hizo miisho ya dunia according to flat earthers mapa ulijibu nini?
 
mkorinto anakuambia ukiwa Tanzania huwezi kuiona Zanzibar kwasababu ya curvature of the earth.....ukimuambia athibitishe sasa.........Hahhh

Screenshot_20240329-203551.png
 
Nilikwambia ile ya kukodi ndege then kufly mpaka kwenye hizo miisho ya dunia according to flat earthers mapa ulijibu nini?
Kwani mwisho wa Dunia wewe unaufahamu?

Kama hauufahamu ukishakodi hiyo Ndege utaelekea wapi ikiwa hujui mwisho ni wapi?
 
Unaona majibu yako sasa🤣🤣, siku njema ndugu
 
Back
Top Bottom