Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Kama unaweza kunitag mkuu, au nipe keyword ni search,Nishaelezea humu kwenye posts zilizopita ,.....michoro na animations hata ziwe complex vipi haimaanishi ndiyo ukweli ulivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaweza kunitag mkuu, au nipe keyword ni search,Nishaelezea humu kwenye posts zilizopita ,.....michoro na animations hata ziwe complex vipi haimaanishi ndiyo ukweli ulivyo.
Lugha ya picha ndio lugha rahisi kuliko zote unazozijua wewe,Nishaelezea humu kwenye posts zilizopita ,.....michoro na animations hata ziwe complex vipi haimaanishi ndiyo ukweli ulivyo.
tunasubiriSasa tunaomba wewe mwalimu utufundishe tunataka kujua,
Usikimbie tafadhali.
Acha aje atupe madinitunasubiri
Hahh ndiyo animation ulizoweka sio za kweli.....hateeb10
Tunaomba utupatie majibu ili sisi tujifunze kwako, Maana sisi hatuna tunalofahamu yote tuliyoeleza kuhusu kupatwa kwa jua sio ya ukweli, zile animation nlizotuma kuelezea mchakato mzima unavyokua na matokeo yalionekana hapo juzi tarehe 8 sio kweli
Sasa tunaomba wewe mwalimu utufundishe kwa lugha rahisi ambayo tutaielewa ( lugha/mchoro wa picha) tunataka kujua na tukuelewe vizuri,
Usikimbie tafadhali.
Hakuna cha kunifanya nikimbie.......kuna watu humu wameshindwa kuthibitisha uwepo wa curvature na hawajakimbia ujue.....tunasubiri
Unawaonea bure, hawajui!....... ndiyo maana wanaipita hii kama hawaioni.Samahan wakubwa ,Mimi nmekubali kujifunza nmekua neutral mpaka pale hoja zangu tata zitakapojibiwa ndio ntakua na upande
1. Total solar eclipse hio ya juzi , kunakua na umbali gan kati ya mwezi na jua Hadi mwanga wa jua uzuiwe
2.Mwezi ni opaque? Kama ndio kwanini haukuonekana ukiwa unasogelea jua wakati wa eclipse au kuonekana unapoelekea after eclipse
Mi sikatai mkuu, ndo maana nimeweka nguvu kujifunza toka kwako, nakuulizia sana material tatizo hujibu, juzi/jana nimekuomba mchoro ya hii eclipse ki flat earth unatokea vipi, ulajobu kua ulishaeleza awali nikaomba unitag ama unipe keyword ya maneno uliyosema ili nisearch nayo kimya. Au hutaki tujifunze kaka?Hakuna cha kunifanya nikimbie.......kuna watu humu wameshindwa kuthibitisha uwepo wa curvature na hawajakimbia ujue.....
Ikiwemo wewe.
Hii ishu ya eclipses tumeelezea kwenye uzi huu huu kwenye post zilizopita....... unasema unataka michoro ya eclipse kwenye flat earth,.. kwani kuna eclipse ya Tufe?Mi sikatai mkuu, ndo maana nimeweka nguvu kujifunza toka kwako, nakuulizia sana material tatizo hujibu, juzi/jana nimekuomba mchoro ya hii eclipse ki flat earth unatokea vipi, ulajobu kua ulishaeleza awali nikaomba unitag ama unipe keyword ya maneno uliyosema ili nisearch nayo kimya. Au hutaki tujifunze kaka?
Ipo nmekutumia kabla kitendo hakijatokea na kimetokea kweli,Hii ishu ya eclipses tumeelezea kwenye uzi huu huu kwenye post zilizopita....... unasema unataka michoro ya eclipse kwenye flat earth,.. kwani kuna eclipse ya Tufe?
Haukueleweka,Hii ishu ya eclipses tumeelezea kwenye uzi huu huu kwenye post zilizopita....... unasema unataka michoro ya eclipse kwenye flat earth,.. kwani kuna eclipse ya Tufe?
Kwani swali halisi ni lipi nimsaidie kujibuHaukueleweka,
Maana maelezo yako unasema ni pale ambapo mwezi na jua vikikutana angani ndio vinasababisha kupatwa kwa jua au mwezi,,
Sasa haya ni majibu ? Na unajiona kabisa ulishajibu umemaliza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tatizo lako akili yako sijui ipo namna gani,Hahh ndiyo animation ulizoweka sio za kweli.....
Nilikuuliza unajua kama kuna utofauti wa uhalisia na animations?
Hukujibu.
Unataka nikuletee mchoro kutoka wapi sasa? Logic inatosha kuonyesha kwamba Dunia ipo stationary,.. wakati huo Jua na mwezi upo kwenye motion & that's why eclipses huwa zinatokea... sasa hapo unataka nikuchoree kitu gani?
Wewe ni mtu unaeamini Dunia ni flat ?Kwani swali halisi ni lipi nimsaidie kujibu