Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Tatizo lako akili yako sijui ipo namna gani,

Hata vitu vidogo vinakushinda kuelewa ??

Animation hapa tunatumia kama mifano ya mambo yanavyokua kwenye mambo halisia, Sasa ambacho huelewi ni nini ?

Animation zinatumika kuelezea mambo mbali mbali ambayo ni uhalisia,,

mfano mfumo wa umeng'enyaje wa chakula huwa tunatengeneza animation inayoelezea mechanism nzima inavyokua.. Sasa ndugu kwa akili yako hata hilo ungeweza kusema unataka video halisia ya chakula kikiingia tumboni na uone digestion inavyofanyika kwa uhalisia.

Narudia tena,, Animation zinatumika kama mfano kuelezea mambo mbali mbali ambayo ndio uhalisia.
Hizo animation unazoweka ni Katuni tu na sio uhalisia,......

Itume tena Ile animation kuna swali la msingi nitakuuliza hapa...

Tumia akili yako vizuri sio kila unachoambiwa unafuata tu.
 
Haukueleweka,

Maana maelezo yako unasema ni pale ambapo mwezi na jua vikikutana angani ndio vinasababisha kupatwa kwa jua au mwezi,,

Sasa haya ni majibu ? Na unajiona kabisa ulishajibu umemaliza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huwezi kuelewa Kwa kuwa tayari una majibu yako kichwani.

Kwani wewe unavyofahamu solar eclipse ni nini?
 
Hizo animation unazoweka ni Katuni tu na sio uhalisia,......

Itume tena Ile animation kuna swali la msingi nitakuuliza hapa...

Tumia akili yako vizuri sio kila unachoambiwa unafuata tu.
Wewe ndio unapaswa kutumia akili yako sawa sawa
 
Huwezi kuelewa Kwa kuwa tayari una majibu yako kichwani.

Kwani wewe unavyofahamu solar eclipse ni nini?
Kwahiyo nielewe kwamba ni pale ambapo Jua na Mwezi vinapokutana angani, Yani hakuna maelezo mengine zaidi ya hayo ila inabidi nielewe tu ?
 
Kwahiyo unataka Mimi ndiyo nikupe hayo maelezo mengine?

Kwani wewe kichwa chako unataka utumie kufanyia nini?

Kwanza kabisa solar eclipse haithibitishi hata kidogo kama Dunia ni Tufe linalozunguka..,sasa sijui msingi wa hoja yako ni upi....

Kwamba nikikupa animations za solar eclipse ndiyo utathibitisha Dunia ni Tufe linalozunguka?
 
Nkisema akili yako ni ndogo inabidi unielewe mkuu,

Sasa hivi unaniambia kwamba hayo maelezo mengine nataka wewe ndio unipe ? serious unauliza swali kama hili ? hahaha

Mimi maelezo nnayo, Nataka ya kwako kwa Dunia kuwa Flat we vipi mkuu mbona unaanza kudata mapema hii.
 
Nataka animation zinazoelezea hicho kitendo kwa flat Earth ili nkuelewe wewe na nadharia yako, Sasa unaposema kwamba nataka unipe hizo animation ili nithibitishe Dunia ni Sphere mbona unakua unajikoroga au ndio umeamka sasa hivi mkuu ?
 
Nashindwa kuelewa mnapotofautiana ndio maana nmeomba maswali upya
Nliuliza hivi,

Anieleze kupatwa kwa jua ikiambatana na mchoro wa picha au animation ikielezea hatua kwa hatua hadi jua linapatwa ( kwa nadharia ya Flat Earth )
 
hateeb10 Tangu nizaliwe sijawahi kusikia taarifa yoyote ile hapa Duniani kuwa watu wa Flat Earth walitoa taarifa kuwa siku fulani na saa fulani kutakua na tukio la kupatwa kwa
Jua au Mwezi,

Nyinyi ni watu wa kusubiri taarifa kutoka kwa wataalamu na watu makini kabisa ambao wanashughulisha bongo zao wawaletee taarifa ili mje kuleta maelezo yenu ambayo hayaeleweki,

Ndio maana huwa naona watu mnaoamini Dunia ni Flat kuna sehemu kwenye vichwa vyenu kuna matatizo.
 
Tafiti zangu au watu ambao hatuwezi kufanya tafiti Moja Kwa Moja inaanza pale tafiti nyingne upande wenu tuseme watu wa spherical earth inavokuja na tunaanzia kuijadili kwasababu Dunia na system zote zimeshaweka final say ya kua Dunia ni sphere hvo kufanya research tena sio kitu rahisi ila Kuna simple observation ambazo hua zinaonekana na dosari zilizopo kweny tafiti zenu ndio zinazua maswali
 
Mfano kwanini hatufeel movement yeyote ?
Nini source ya energy inayofanya Dunia ifanye rotation na iendelee ku revolve endlessly?
Jua ni main component kwenye solar system Kwa tulivo soma , je source ya mwanga kwenye sayari kama mars na Jupiter ni jua hilo Moja? Je sayari hzo nyingine Zina seasons au usiku na mchana ?
Ndio maana hii topic ni nzito na ngumu mno , kutype vitu vyote sio rahisi lakini jaribu kujenga hoja kuanzia hapo
 
In the Catholic Church, in the recently past, St. Gallion Mafia dictated things. Even the current pope is their product, with teaching goes against the same church
 
Nkisema akili yako ni ndogo inabidi unielewe mkuu,

Sasa hivi unaniambia kwamba hayo maelezo mengine nataka wewe ndio unipe ? serious unauliza swali kama hili ? hahaha

Mimi maelezo nnayo, Nataka ya kwako kwa Dunia kuwa Flat we vipi mkuu mbona unaanza kudata mapema hii.
Acha uongo bhana maelezo uyatolee wapi?

Hayo maelezo unayosema eti hatua Kwa hatua jinsi solar eclipse inavyotokea in short sina kama vile ambavyo wewe huna.

Kitu kidogo ambacho akili yako inashindwa kuelewa ni kwamba umbo la Dunia halihusiani kabisa na Eclipses,... yaani kimsingi hoja yako ni irrelevant ukipambana kukimbia hoja ya msingi Kwamba Dunia si Tufe na haizunguki kama ulivyoaminishwa bila ya ushahidi wowote.
 
Nataka animation zinazoelezea hicho kitendo kwa flat Earth ili nkuelewe wewe na nadharia yako, Sasa unaposema kwamba nataka unipe hizo animation ili nithibitishe Dunia ni Sphere mbona unakua unajikoroga au ndio umeamka sasa hivi mkuu ?
Flat earth sio nadharia..... it's a truly observable shape of the earth Tufe ndiyo nadharia.

animation hakuna,..... inaonekana upo affected sana na CGI's pamoja na katuni nyingine.
 
Hii ishu ya eclipses tumeelezea kwenye uzi huu huu kwenye post zilizopita....... unasema unataka michoro ya eclipse kwenye flat earth,.. kwani kuna eclipse ya Tufe?
Mi nimekuelewa mkuu🤣
 
Nkisema akili yako ni ndogo inabidi unielewe mkuu,

Sasa hivi unaniambia kwamba hayo maelezo mengine nataka wewe ndio unipe ? serious unauliza swali kama hili ? hahaha

Mimi maelezo nnayo, Nataka ya kwako kwa Dunia kuwa Flat we vipi mkuu mbona unaanza kudata mapema hii.
Hateeb mimi nishamuelea sita muuliza tena chochote🤣
 
Back
Top Bottom