hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Hizo animation unazoweka ni Katuni tu na sio uhalisia,......Tatizo lako akili yako sijui ipo namna gani,
Hata vitu vidogo vinakushinda kuelewa ??
Animation hapa tunatumia kama mifano ya mambo yanavyokua kwenye mambo halisia, Sasa ambacho huelewi ni nini ?
Animation zinatumika kuelezea mambo mbali mbali ambayo ni uhalisia,,
mfano mfumo wa umeng'enyaje wa chakula huwa tunatengeneza animation inayoelezea mechanism nzima inavyokua.. Sasa ndugu kwa akili yako hata hilo ungeweza kusema unataka video halisia ya chakula kikiingia tumboni na uone digestion inavyofanyika kwa uhalisia.
Narudia tena,, Animation zinatumika kama mfano kuelezea mambo mbali mbali ambayo ndio uhalisia.
Itume tena Ile animation kuna swali la msingi nitakuuliza hapa...
Tumia akili yako vizuri sio kila unachoambiwa unafuata tu.