Hapana mkuu🤣 hakuna anayekuzuia wewe kufanya research hapa unatupanga sasaTafiti zangu au watu ambao hatuwezi kufanya tafiti Moja Kwa Moja inaanza pale tafiti nyingne upande wenu tuseme watu wa spherical earth inavokuja na tunaanzia kuijadili kwasababu Dunia na system zote zimeshaweka final say ya kua Dunia ni sphere hvo kufanya research tena sio kitu rahisi ila Kuna simple observation ambazo hua zinaonekana na dosari zilizopo kweny tafiti zenu ndio zinazua maswali
Kwahiyo wewe unaona Jua, Mwezi na Dunia ni vitu ambavyo vina sifa sawa,..mpaka unafananisha?Swali la nyongeza boss, mwezi nao ni flat ? Jua nalo? Na umethibitisha vipi?
Kwahiyo wewe unaona Jua, Mwezi na Dunia ni vitu ambavyo vina sifa sawa,..mpaka unafananisha?
Dunia ni tofauti kabisa na hizo objects mbili,...yani hapo ni sawa uangalie umbo la Tikiti maji kisha useme hata Ndizi pia ina umbo hilo hilo,... inaingia akilini kweli?
Ndiyo uache kufananisha vitu visivyofanana....ukitaka usiwe challenged baki na ideas zako kwenye kichwa chako ukiweka kwenye public kubali tu kuhojiwa.Mimi nimeuliza swali lipo linajitegemea kama una majibu weka mezani kama huna majibu pita kushoto mkuu
Swali langu nimelielekeza kwa ndoige aliposemaNdiyo uache kufananisha vitu visivyofanana....ukitaka usiwe challenged baki na ideas zako kwenye kichwa chako ukiweka kwenye public kubali tu kuhojiwa.
Ndo nikamuulizaNipo na research Bado but naelekea kuamini hvo ... Dunia ni flat
Swali la nyongeza boss, mwezi nao ni flat ? Jua nalo? Na umethibitisha vipi?
Jua sio flat ni round kwasababu tunaliona hvo , mwezi una change shape ila mainly ni round ila Dunia hujawai kuiona .... Don't believe NASA wale ni waigizajiSwali langu nimelielekeza kwa ndoige aliposema
Ndo nikamuuliza
Hili ni swali sioni kama linaeleza ufananisho sehemu yoyote ile
Kama unahisi una majibu weka mezani otherwise pita kimya
Sasa kaka , mm na object gan ya kwenda angani kufatilia ? Sawa Kuna nadharia ya kua Kuna two SUNs na evidence zipo ..... Unahisi mm na uwezo gan wa kufanya research kama sio kuvizia tu kama kibakaHapana mkuu[emoji1787] hakuna anayekuzuia wewe kufanya research hapa unatupanga sasa
Unavosema round unamaanisha "tufe" au unamaanisha duara flat kama sahani? Na pia hii dunia mnayosema flat ni flat ya aina gani tunaweza ona sketch za hivo vitu kupata uelewa zaidi?Jua sio flat ni round kwasababu tunaliona hvo , mwezi una change shape ila mainly ni round ila Dunia hujawai kuiona .... Don't believe NASA wale ni waigizaji
Sisi hatuna shida na nasa wala flat earther wala mtu meingine yeyote mwenye idea tofauti kikubwa adocument aje hoja na evidence zake mezani zikimake sense mbona watu wataenda nazo tu.... Don't believe NASA wale ni waigizaji
ATleast wewe unakiri kwamba uwezo wa kupiga research wewe binafsi huna, swali hili tunamuulizaga sana hateeb, sasa naona ni rasmi nikuamishie swali hili kwako, kinachowakwamisha flat earthers kuungana na kufacilitate research ni nini? Maana wale warusha rocket mnasema ni waigizaji wakati huo nyinyi research hamtaki kuzisikia mnakazia tu kwamba "tumia macho ya kawaida, wale waigizaji wanaedit" kwanini?Sasa kaka , mm na object gan ya kwenda angani kufatilia ? Sawa Kuna nadharia ya kua Kuna two SUNs na evidence zipo ..... Unahisi mm na uwezo gan wa kufanya research kama sio kuvizia tu kama kibaka
Waliopeleka vyombo anga la mbali sio NASA peke yao mkuuJua sio flat ni round kwasababu tunaliona hvo , mwezi una change shape ila mainly ni round ila Dunia hujawai kuiona .... Don't believe NASA wale ni waigizaji
Nakazia mkuuWaliopeleka vyombo anga la mbali sio NASA peke yao mkuu
Yapo mataifa kama Russia ambayo yanapingana kwa kila kitu na USA wasinge kubali kuendeleza uongo huu
Mimi mara zote kabla sijaingia kwenye huu mjada napenda kujua kwanza wewe unadhani kwanini NASA idanganye dunia? Kwanini itumie nguvu kubwa nmna hiyo kudanganya dunia?
Ni wakati gani dunia iligundulika ni duara? Na nani aligundua hivyo?
Tukijua sasa kwanini NASA wanadanga ndio tutakuja kuangalia uwezekano wa round au flat
Kuhusu jua ni round sidhan kama Kuna mtu anaweza kubisha hapo , pia kwenye jua naomba niwaache na swali Moja tu alafu niendelee kujibu hoja zenuUnavosema round unamaanisha "tufe" au unamaanisha duara flat kama sahani? Na pia hii dunia mnayosema flat ni flat ya aina gani tunaweza ona sketch za hivo vitu kupata uelewa zaidi?
Kuhusu
Sisi hatuna shida na nasa wala flat earther wala mtu meingine yeyote mwenye idea tofauti kikubwa adocument aje hoja na evidence zake mezani zikimake sense mbona watu wataenda nazo tu
KAka unaanza kua kama hateeb, nimeuliza maswali kama matatu/manne hapo hujajibu na wewe umeniuliza maswali, so na mimi nifanyaje? Nikujibu au nikutandike maswali mwngine pia?Kuhusu jua ni round sidhan kama Kuna mtu anaweza kubisha hapo , pia kwenye jua naomba niwaache na swali Moja tu alafu niendelee kujibu hoja zenu
Kama Kuna mtu anawaamini NASA Ina maana anakubali kua jua lipo km 93M kutoka duniani ..... Je macho ya binadamu yanaweza ona kitu distance hio?
Flat earth wamefanya research zao na zipo nyingi tu ,nakosa namna ya kuziwakilisha hapa kama video Kwa sababu ni mbs nying kidogo ,ila ntaweka points chache tu za kuthibitisha flat earthUnavosema round unamaanisha "tufe" au unamaanisha duara flat kama sahani? Na pia hii dunia mnayosema flat ni flat ya aina gani tunaweza ona sketch za hivo vitu kupata uelewa zaidi?
Kuhusu
Sisi hatuna shida na nasa wala flat earther wala mtu meingine yeyote mwenye idea tofauti kikubwa adocument aje hoja na evidence zake mezani zikimake sense mbona watu wataenda nazo tu
Nakujibu Kwa facts tulia nimalize kujibu yoteKAka unaanza kua kama hateeb, nimeuliza maswali kama matatu/manne hapo hujajibu na wewe umeniuliza maswali, so na mimi nifanyaje? Nikujibu au nikutandike maswali mwngine pia?
Ukisema kuhusu NASA kwanini wanaficha sana hizi ishu basi hapo tunarudi kwenye conspiracy theoriesATleast wewe unakiri kwamba uwezo wa kupiga research wewe binafsi huna, swali hili tunamuulizaga sana hateeb, sasa naona ni rasmi nikuamishie swali hili kwako, kinachowakwamisha flat earthers kuungana na kufacilitate research ni nini? Maana wale warusha rocket mnasema ni waigizaji wakati huo nyinyi research hamtaki kuzisikia mnakazia tu kwamba "tumia macho ya kawaida, wale waigizaji wanaedit" kwanini?
Sawa yamalize yote nami nitarudiNakujibu Kwa facts tulia nimalize kujibu yote
Dunia haikugundulika duara Wala tufe ila iliamuliwa hvo kutoka roman empire kipindi hichoWaliopeleka vyombo anga la mbali sio NASA peke yao mkuu
Yapo mataifa kama Russia ambayo yanapingana kwa kila kitu na USA wasinge kubali kuendeleza uongo huu
Mimi mara zote kabla sijaingia kwenye huu mjada napenda kujua kwanza wewe unadhani kwanini NASA idanganye dunia? Kwanini itumie nguvu kubwa nmna hiyo kudanganya dunia?
Ni wakati gani dunia iligundulika ni duara? Na nani aligundua hivyo?
Tukijua sasa kwanini NASA wanadanga ndio tutakuja kuangalia uwezekano wa round au flat
Toa ushahidi uliona niniDunia ni duara na siku ya kwanza kuligundua ilo ni siku niliyopanda boat baharini ndio nikaelewa vzr kwa macho yangu.