Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Tafiti zangu au watu ambao hatuwezi kufanya tafiti Moja Kwa Moja inaanza pale tafiti nyingne upande wenu tuseme watu wa spherical earth inavokuja na tunaanzia kuijadili kwasababu Dunia na system zote zimeshaweka final say ya kua Dunia ni sphere hvo kufanya research tena sio kitu rahisi ila Kuna simple observation ambazo hua zinaonekana na dosari zilizopo kweny tafiti zenu ndio zinazua maswali
Hapana mkuu🤣 hakuna anayekuzuia wewe kufanya research hapa unatupanga sasa
 
Swali la nyongeza boss, mwezi nao ni flat ? Jua nalo? Na umethibitisha vipi?
Kwahiyo wewe unaona Jua, Mwezi na Dunia ni vitu ambavyo vina sifa sawa,..mpaka unafananisha?

Dunia ni tofauti kabisa na hizo objects mbili,...yani hapo ni sawa uangalie umbo la Tikiti maji kisha useme hata Ndizi pia ina umbo hilo hilo,... inaingia akilini kweli?
 
Mimi nimeuliza swali lipo linajitegemea kama una majibu weka mezani kama huna majibu pita kushoto mkuu

Ndiyo uache kufananisha vitu visivyofanana....ukitaka usiwe challenged baki na ideas zako kwenye kichwa chako ukiweka kwenye public kubali tu kuhojiwa.
 
Swali langu nimelielekeza kwa ndoige aliposema

Nipo na research Bado but naelekea kuamini hvo ... Dunia ni flat
Ndo nikamuuliza

Swali la nyongeza boss, mwezi nao ni flat ? Jua nalo? Na umethibitisha vipi?

Hili ni swali sioni kama linaeleza ufananisho sehemu yoyote ile

Kama unahisi una majibu weka mezani otherwise pita kimya
 
Swali langu nimelielekeza kwa ndoige aliposema

Ndo nikamuuliza

Hili ni swali sioni kama linaeleza ufananisho sehemu yoyote ile

Kama unahisi una majibu weka mezani otherwise pita kimya
Jua sio flat ni round kwasababu tunaliona hvo , mwezi una change shape ila mainly ni round ila Dunia hujawai kuiona .... Don't believe NASA wale ni waigizaji
 
Hapana mkuu[emoji1787] hakuna anayekuzuia wewe kufanya research hapa unatupanga sasa
Sasa kaka , mm na object gan ya kwenda angani kufatilia ? Sawa Kuna nadharia ya kua Kuna two SUNs na evidence zipo ..... Unahisi mm na uwezo gan wa kufanya research kama sio kuvizia tu kama kibaka
 
Jua sio flat ni round kwasababu tunaliona hvo , mwezi una change shape ila mainly ni round ila Dunia hujawai kuiona .... Don't believe NASA wale ni waigizaji
Unavosema round unamaanisha "tufe" au unamaanisha duara flat kama sahani? Na pia hii dunia mnayosema flat ni flat ya aina gani tunaweza ona sketch za hivo vitu kupata uelewa zaidi?

Kuhusu
.... Don't believe NASA wale ni waigizaji
Sisi hatuna shida na nasa wala flat earther wala mtu meingine yeyote mwenye idea tofauti kikubwa adocument aje hoja na evidence zake mezani zikimake sense mbona watu wataenda nazo tu
 
Sasa kaka , mm na object gan ya kwenda angani kufatilia ? Sawa Kuna nadharia ya kua Kuna two SUNs na evidence zipo ..... Unahisi mm na uwezo gan wa kufanya research kama sio kuvizia tu kama kibaka
ATleast wewe unakiri kwamba uwezo wa kupiga research wewe binafsi huna, swali hili tunamuulizaga sana hateeb, sasa naona ni rasmi nikuamishie swali hili kwako, kinachowakwamisha flat earthers kuungana na kufacilitate research ni nini? Maana wale warusha rocket mnasema ni waigizaji wakati huo nyinyi research hamtaki kuzisikia mnakazia tu kwamba "tumia macho ya kawaida, wale waigizaji wanaedit" kwanini?
 
Jua sio flat ni round kwasababu tunaliona hvo , mwezi una change shape ila mainly ni round ila Dunia hujawai kuiona .... Don't believe NASA wale ni waigizaji
Waliopeleka vyombo anga la mbali sio NASA peke yao mkuu
Yapo mataifa kama Russia ambayo yanapingana kwa kila kitu na USA wasinge kubali kuendeleza uongo huu

Mimi mara zote kabla sijaingia kwenye huu mjada napenda kujua kwanza wewe unadhani kwanini NASA idanganye dunia? Kwanini itumie nguvu kubwa nmna hiyo kudanganya dunia?
Ni wakati gani dunia iligundulika ni duara? Na nani aligundua hivyo?

Tukijua sasa kwanini NASA wanadanga ndio tutakuja kuangalia uwezekano wa round au flat
 
Nakazia mkuu
 
Unavosema round unamaanisha "tufe" au unamaanisha duara flat kama sahani? Na pia hii dunia mnayosema flat ni flat ya aina gani tunaweza ona sketch za hivo vitu kupata uelewa zaidi?

Kuhusu

Sisi hatuna shida na nasa wala flat earther wala mtu meingine yeyote mwenye idea tofauti kikubwa adocument aje hoja na evidence zake mezani zikimake sense mbona watu wataenda nazo tu
Kuhusu jua ni round sidhan kama Kuna mtu anaweza kubisha hapo , pia kwenye jua naomba niwaache na swali Moja tu alafu niendelee kujibu hoja zenu
Kama Kuna mtu anawaamini NASA Ina maana anakubali kua jua lipo km 93M kutoka duniani ..... Je macho ya binadamu yanaweza ona kitu distance hio?
 
KAka unaanza kua kama hateeb, nimeuliza maswali kama matatu/manne hapo hujajibu na wewe umeniuliza maswali, so na mimi nifanyaje? Nikujibu au nikutandike maswali mwngine pia?
 
Unavosema round unamaanisha "tufe" au unamaanisha duara flat kama sahani? Na pia hii dunia mnayosema flat ni flat ya aina gani tunaweza ona sketch za hivo vitu kupata uelewa zaidi?

Kuhusu

Sisi hatuna shida na nasa wala flat earther wala mtu meingine yeyote mwenye idea tofauti kikubwa adocument aje hoja na evidence zake mezani zikimake sense mbona watu wataenda nazo tu
Flat earth wamefanya research zao na zipo nyingi tu ,nakosa namna ya kuziwakilisha hapa kama video Kwa sababu ni mbs nying kidogo ,ila ntaweka points chache tu za kuthibitisha flat earth
1. ukiwa katikati ya bahari utaona pande zote zinafanana hakuna high level Wala low level ila tu upeo wa macho yetu unafika kikomo hio Iko proved Kwa kutumia camera
2.kuna source ipi inayoipa Dunia nguvu ya ku rotate na ku revolve endlessly?
3. No human alieweza kufikà mwezini akatoa conclusion ya shape of the earth
4.mimea yote inakua kuelekea ulipo mwanga wa jua ,ingekua sphere huoni mimea ingekua Ina mielekeo ya ajabu na tofauti?
5.mawingu yapo above us na sio around us
 
KAka unaanza kua kama hateeb, nimeuliza maswali kama matatu/manne hapo hujajibu na wewe umeniuliza maswali, so na mimi nifanyaje? Nikujibu au nikutandike maswali mwngine pia?
Nakujibu Kwa facts tulia nimalize kujibu yote
 
ATleast wewe unakiri kwamba uwezo wa kupiga research wewe binafsi huna, swali hili tunamuulizaga sana hateeb, sasa naona ni rasmi nikuamishie swali hili kwako, kinachowakwamisha flat earthers kuungana na kufacilitate research ni nini? Maana wale warusha rocket mnasema ni waigizaji wakati huo nyinyi research hamtaki kuzisikia mnakazia tu kwamba "tumia macho ya kawaida, wale waigizaji wanaedit" kwanini?
Ukisema kuhusu NASA kwanini wanaficha sana hizi ishu basi hapo tunarudi kwenye conspiracy theories
1. Wakisema Dunia ni flat basi Kuna sehem kubwa ya Dunia Bado haijafikiwa ambayo ni beyond Atlantic, expedition ya ku explore hizo sehem Iko banned Kwa ajili ya interest zao ( topic nyingine hio)
2. Unarud had Roman empire kama sikosei ,Kuna mfalme aliamuru Kila mtu aamini kua Dunia ni tufe ( biblical na political)
 
Waliopeleka vyombo anga la mbali sio NASA peke yao mkuu
Yapo mataifa kama Russia ambayo yanapingana kwa kila kitu na USA wasinge kubali kuendeleza uongo huu

Mimi mara zote kabla sijaingia kwenye huu mjada napenda kujua kwanza wewe unadhani kwanini NASA idanganye dunia? Kwanini itumie nguvu kubwa nmna hiyo kudanganya dunia?
Ni wakati gani dunia iligundulika ni duara? Na nani aligundua hivyo?

Tukijua sasa kwanini NASA wanadanga ndio tutakuja kuangalia uwezekano wa round au flat
Dunia haikugundulika duara Wala tufe ila iliamuliwa hvo kutoka roman empire kipindi hicho
Alafu kama unasoma biblia
Noah flood isingekua possible kama Dunia ni tufe ,Dunia isingejaa maji
NAWAKILISHA ,lakini pia naomba majibu ya maswali madogo madogo nilioacha ndani ya majibu yangu
 
Dunia ni duara na siku ya kwanza kuligundua ilo ni siku niliyopanda boat baharini ndio nikaelewa vzr kwa macho yangu.
 
Back
Top Bottom