Kuna vifaa vina detect, kama satelite pia constilation star zina kuwa tofauti wakiziangalia baada ya mudaSasa kama binadamu wote hatuwezi ku feel kama dunia inazunguka,....Wewe unaesema Dunia inazunguka umejuaje?
Samaki aliyesema Dunia nzima sio maji ndiyo anatakiwa kuthibitisha amejuaje Kuhusu hilo.......Samaka aliyekataa hajaja na madai mapya bali yeye anasema kile anachokiona.Safi kabisa, na je huyo samaki akipewa uthibitisho akaukataa na kuja na madai yake(mapya) kuwa Dunia nzima ni maji hapo nani atakuwa anahusika kuleta uthibitisho?
NB: kumbuka samaki hajakomea kukataa madai ya samaki wengine tu Bali amekuja na madai yake mapya.😀🙏
sasa hapo kinacho move ni Dunia au hizo stars?Kuna vifaa vina detect, kama satelite pia constilation star zina kuwa tofauti wakiziangalia baada ya muda
Kuobserve sio shida je wewe ni part ya scientists wanaoweza kwenda kuobserve? Au upo economically good kuweza kufanya tafiti zako mwenyewe uende unapotaka kwenda Ili tu kuthibitisha?d. Zipo sababu nyingine ila nihitimishe kwa kusema kwamba siku nikiweza ku observe kile ambacho kinasemwa basi nitaamini,.......au waseme hivyo vitu ni unobservable kwamba hata wao hawajawahi ku observe.
Kuna uthibitisho Kwani si umesema umesoma?Sasa kama binadamu wote hatuwezi ku feel kama dunia inazunguka,....Wewe unaesema Dunia inazunguka umejuaje?
Kwahiyo uthibitisho ni mpaka nisome idea za wengine?Uthibitisho wa Dunia kuwa inamove upo labda kama hujasoma vzr. Kutoendana na sense zako sio sababu, ndo maana nikakupa mfano wa ruler kwenye maji je utasema inapinda?
Ndo tunarudi kule kule, kwahy hypothesis ndio konklusion kwako? Halafu unapokuja na madai lazima utoe uthibitisho.Samaki aliyesema Dunia nzima sio maji ndiyo anatakiwa kuthibitisha amejuaje Kuhusu hilo.......Samaka aliyekataa hajaja na madai mapya bali yeye anasema kile anachokiona.
Sawa vizuri,..lete hizo picha halisia tuzione........ au ndiyo kama hii 🌎Huu wote ni uongo maelezo na picha kuhusu unavyosema vipo, unless kama hujasoma nambie.
Kama unaweza kuthibitisha kisayansi na ikamake sense sio shida😄, ila hata kusoma Kwa wengine sio shida pia, we unadhani alietengeneza ndege aligundua mwenyewe vitu vyote vilivyoifanya ndege kuruka angani? Alisema materials za watu mbali mbali then akaunganisha idea.Kwahiyo uthibitisho ni mpaka nisome idea za wengine?
Hakuna njia nyingine ya kuthibitisha?
Kwani kati ya Samaki aliyesema Dunia yote ni maji,..na aliyesema Dunia yote sio maji.......Nani kaja na madai hapo? kwenye jamii ya Samaki wanaoishi katikati ya bahari..Ndo tunarudi kule kule, kwahy hypothesis ndio konklusion kwako? Halafu unapokuja na madai lazima utoe uthibitisho.
Nijibu umesoma au hujasoma? Hizo picha unazoniomba umeshawahi kuziona au hujawahi? Kama hujasoma sema na kama umeshawahi kuziona sema zinashida Gani kabla hatujaenda mbali.Sawa vizuri,..lete hizo picha halisia tuzione........ au ndiyo kama hii 🌎
Wewe si umeshafanya? Kama ulivyosema hapo awali? Basi tutumie experiment yako kujadiriKwani kati ya Samaki aliyesema Dunia yote ni maji,..na aliyesema Dunia yote sio maji.......Nani kaja na madai hapo? kwenye jamii ya Samaki wanaoishi katikati ya bahari..
NB: Nimekuuliza ushawahi kufanya observation as part of research kwenye issue tunayojadili,..hujajibu mpaka sasa hivi..
Sawa,..kwahiyo uthibitisho pekee kwasasa kwamba dunia ni tufe na inazunguka ni kupitia kusoma pekee?Kama unaweza kuthibitisha kisayansi na ikamake sense sio shida😄, ila hata kusoma Kwa wengine sio shida pia, we unadhani alietengeneza ndege aligundua mwenyewe vitu vyote vilivyoifanya ndege kuruka angani? Alisema materials za watu mbali mbali then akaunganisha idea.
Hahh nataka tutumie observation yako,....nikikuambia utumie results nilizopata mimi utakataa utasema mimi kichaa.....Wewe si umeshafanya? Kama ulivyosema hapo awali? Basi tutumie experiment yako kujadiri
Sawa vizuri,..lete hizo picha halisia tuzione........ au ndiyo kama hii 🌎
Walioandika wamethibitisha ndio wakaandika hayo hayajashushwa kutoka mbinguni. Kwahy hata ww kama unaweza kufanya Fanya.Sawa,..kwahiyo uthibitisho pekee kwasasa kwamba dunia ni tufe na inazunguka ni kupitia kusoma pekee?
Hatuwezi kuthibitisha kwenye uhalisi?
Wewe jamaa kichwani sijuwi unawekaga vitu gani!Nimesoma kuhusu Dunia kuwa na umbo la tufe,....kitu pekee kinachofanya nisikikubaliane nayo ni kwamba logically ukiieleta kwenye uhalisia inakataa......
kwa mfano:-
a. Hakuna mechanism au uthibitisho wowote wenye uhalisia unaoonyesha kwamba Dunia ina move,.......kitu ambacho hakiendani na senses zetu kwahiyo siwezi kukubali tu ilimradi, au kwakuwa watu wengi wameamua kukubali.
b. Hakuna picha au video halisia ambayo imekua captured ikionyesha Dunia ilivyokua na umbo la tufe (different from how we observe it)
c. Hakuna maelezo ya kutosha yanayoelezea namna maji yanavyo stick kwenye running ball (earth).
d. Zipo sababu nyingine ila nihitimishe kwa kusema kwamba siku nikiweza ku observe kile ambacho kinasemwa basi nitaamini,.......au waseme hivyo vitu ni unobservable kwamba hata wao hawajawahi ku observe.
Kwani aliesema kafanya experiment Kwa observation ni Mimi ama niww?Hahh nataka tutumie observation yako,....nikikuambia utumie results nilizopata mimi utakataa utasema mimi kichaa.....
Tutumie majibu uliyopata wewe kupitia observation kama mwanzo wa research yetu......upo tayari?
Napata vipi mimi majibu wakati experiment umefanya ww😄😄 yaani kula ule ww halafu nishibe mm??Tutumie majibu uliyopata wewe kupitia observation kama mwanzo wa research yetu......upo tayari?
PICHA PICHA PICHA ! mbona unakuwa na shida ya akiki mzee, ukiachana tu na kutumia scientific facts na laws of nature (ambayo pia ni uthibitisho tosha) picha zipoSawa,..kwahiyo uthibitisho pekee kwasasa kwamba dunia ni tufe na inazunguka ni kupitia kusoma pekee?
Hatuwezi kuthibitisha kwenye uhalisi?