Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Atuelezee hapa model yake ya flat earth, kipi kinamzunguka mwenzake, mfumo wake wa dunia, jua na mwezi umekaaje?
Kile kimvuli kinachoonekana ni cha nini? Kuoatwa kwa jua inatokea vipi na usiku na mchana unatokea vipi kwa flat earth, na ni kwa vipi kila kitu kibaki kwenye position yake.
 
Sawa,. Wamethibitisha vipi
Nadhani ukitaka maelezo yangu nijibu swali langu la awali kuwa je umesoma kuhusu Dunia duara au hujasoma? Kama umesoma why unaniuliza tena? Unanimock au? Kama umesoma sema wapi Kuna shida.
 
PICHA PICHA PICHA ! mbona unakuwa na shida ya akiki mzee, ukiachana tu na kutumia scientific facts na laws of nature (ambayo pia ni uthibitisho tosha) picha zipo
shida ya akiki,...?

Ukiwa unaandika tuliza akili,......kama kweli una haraka thibitisha Dunia inazunguka chap tusipoteze muda,..au huwezi kuthibitisha?
 
shida ya akiki,...?

Ukiwa unaandika tuliza akili,......kama kweli una haraka thibitisha Dunia inazunguka chap tusipoteze muda,..au huwezi kuthibitisha?
Uthibitishiwe mara ngapi? Wewe unaepinga lete hoja za madai yako.
 
shida ya akiki,...?

Ukiwa unaandika tuliza akili,......kama kweli una haraka thibitisha Dunia inazunguka chap tusipoteze muda,..au huwezi kuthibitisha?
Nimekupa uthibitisho wa kutosha kwenye comments zilizopita, nataka wewe apo ueleze flat earth imekaa vipi? Ni kwa jinsi gani dunia, mwezi na jua vimekaa, kipi kinamzunguka mwenzake or vyote viko stationary?
Nataka umodel jinsi flat earth ilivyo!
 
Kwani aliesema kafanya experiment Kwa observation ni Mimi ama niww?
Nilikuuliza ushawahi kufanya Observation?

Kama hujawahi kufanya observation yoyote ile kuhusu hiki unachozungumzia basi nadhani hustahili kuendelea na mjadala huu.

Karibu.
 
Nimekupa uthibitisho wa kutosha kwenye comments zilizopita, nataka wewe apo ueleze flat earth imekaa vipi? Ni kwa jinsi gani dunia, mwezi na jua vimekaa, kipi kinamzunguka mwenzake or vyote viko stationary?
Nataka umodel jinsi flat earth ilivyo!
umethibitisha kwamba Dunia inazunguka?

Umethibitishaje?
 
Nilikuuliza ushawahi kufanya Observation?

Kama hujawahi kufanya observation yoyote ile kuhusu hiki unachozungumzia basi nadhani hustahili kuendelea na mjadala huu.

Karibu.
Naona unaruka njoo hapa πŸ˜„,, wewe uliefanya na umekiri hapa kuwa umefanya tuambie sio unanikwepa
 
Napata vipi mimi majibu wakati experiment umefanya wwπŸ˜„πŸ˜„ yaani kula ule ww halafu nishibe mm??
Hahhh kwanini hutaki kujibu swali la observation uliyofanya wewe,...au unaogopa majibu ya tafiti yako yataenda kinyume na ulivyofundishwa?
 
Naona unaruka njoo hapa πŸ˜„,, wewe uliefanya na umekiri hapa kuwa umefanya tuambie sio unanikwepa
Jibu swali,....Ushawahi kufanya observation?

Kama hujawahi sitoona hoja ya kuendeleza mjadala,..maana itakua umekiuka misingi ya utafiti.

Karibu.
 
umethibitisha kwamba Dunia inazunguka?

Umethibitishaje?
Usikwepe, kabla sijarudia maelezo. Toa hiyo model ya flat earth hapa kila mtu asikie mawazo yako. Tuambie mfumo wako umekaaje na uelezee hizo phenomenon kama kupatwa kwa mwezi kile kimvuli ni cha nini na kinatengenezwa vipi, tuelezee usiku na mchana, tuelezee kipi kinazunguka na kipi hakizunguki kwenye jua, dunia na mwezi kisha utuelezee kwa vioi dunia, jua na mwezi havianguki vinabaki kwenye position zake kwa model yako ya flat earth. Wacha kuruka ruka
 
Hahhh kwanini hutaki kujibu swali la observation uliyofanya wewe,...au unaogopa majibu ya tafiti yako yataenda kinyume na ulivyofundishwa?
Mimi nimekwambia nimefanya observation? Au ww ndo umesema? Me sijafanya tafiti wewe ndo umesema umefanya tafiti kwahy tupe majibu ulivyomaliza kuobserve unafanya nn next,

Tofautisha, mm ninaobserve hata mpk Sasa hivi, lkn ww umefanyia utafiti observation zako.
 
Jibu swali,....Ushawahi kufanya observation?

Kama hujawahi sitoona hoja ya kuendeleza mjadala,..maana itakua umekiuka misingi ya utafiti.

Karibu.
Kuobserve naobserve hata sasa, ila kufanyia utafiti Mimi Bado ila ww umeshafanyia utafiti kwahy tuendelee utuambie ulivyofanya utafiti mbn unaogopa utafiti wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…