The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Kila mtu alete uthibitisho usitake kujifanya kwamba ww hutakiwi kuleta uthibitisho wa hoja zako, au uondoe hoja yako ya Dunia ni tambarareUchambuzi yakinifu?
Hakuna anayetaka uchambuzi,..kama kuchambua watu washafanya hivyo maelfu ya miaka......Andaa uthibitisho sio uchambuzi,!
Hoja yangu ina uthibitisho,....hoja yangu ni kwamba ni bora tuamini kile ambacho tunaona na kuhisi (flat & Stationery earth),...kuliko kuamini kitu ambacho hatuoni wala kuhisi na hata kuthibitisha haiwezekani.Kwann unahisi hoja haihitaji uthibitisho ila za wengine ndo zinahitaj uthibitisho pekee?
Wewe unaogopa nini,..mimi uthibitisho ninao.Kila mtu alete uthibitisho usitake kujifanya kwamba ww hutakiwi kuleta uthibitisho wa hoja zako, au uondoe hoja yako ya Dunia ni tambarare
Hapo ndio umeleta uthibitisho au unatushauri?? Leta picha za Dunia ikiwa tambarare ikionesha mabara yote, leta video ikionesha Jua linamove.Hoja yangu ithibitisho inayo,....hoja yangu ni kwamba ni bora tuamini kile ambacho tunaona na kuhisi (flat & Stationery earth),...kuliko kuamini kitu ambacho hatuoni wala kuhisi na hata kuthibitisha haiwezekani.
Mimi yoyote atakaeweza kuthibitisha kwamba dunia ni tufe na inazunguka kwenye uhalisia,..nitakua sina sababu ya kupingana nae,..kwasababu mtu anaepingana na ukweli ulio wazi ni mpumbavu na sitaki kuwa kwenye fungu hilo.
Basi ww ni mpumbavu, Kwa sababu umekataa picha nilizokupa bila sababu zozote.Mimi yoyote atakaeweza kuthibitisha kwamba dunia ni tufe na inazunguka kwenye uhalisia,..nitakua sina sababu ya kupingana nae,..kwasababu mtu anaepingana na ukweli ulio wazi ni mpumbavu na sitaki kuwa kwenye fungu hilo.
Siogopi, kama unao leta hapaWewe unaogopa nini,..mimi uthibitisho ninao.
Kujua kwamba Dunia ipo flat na haifanyi movement,..huhitaji picha wala video (even though picha halisia zote hazijawahi kuonyesha kwamba Dunia ni tufe,.always utaona Dunia ikiwa flattened.....SO, UNATAKA UTHIBITISHO GANI TENA MWINGINE WAKATI KILA SIKU MACHO YAKO YANAKUONYESHA KWAMBA DUNIA IPO FLATTENED?Hapo ndio umeleta uthibitisho au unatushauri?? Leta picha za Dunia ikiwa tambarare ikionesha mabara yote, leta video ikionesha Jua linamove.
Picha nimezikataa kutokana na sababu ulizoweka wewe mwenyewe kwamba picha za Nasa ni processed sio raw photo, au ulivyosema hivyo ulikua hujui kama unajifunga mwenyewe......sasa unataka niamini kitu ambacho sio halisia?Basi ww ni mpumbavu, Kwa sababu umekataa picha nilizokupa bila sababu zozote.
Kwani hapo ulipo unaona Dunia iki move?Siogopi, kama unao leta hapa
Sio shida mbona, ntathibitisha tena na wewe pia utathibitisha unachokisema Fair and square Easy peasyUchambuzi yakinifu?
Hakuna anayetaka uchambuzi,..kama kuchambua watu washafanya hivyo maelfu ya miaka......Andaa uthibitisho sio uchambuzi,!
Ukisema hivyo it means hauamini pia picha za ultra sound na xrays?Picha nimezikataa kutokana na sababu ulizoweka wewe mwenyewe kwamba picha za Nasa ni processed sio raw photo, au ulivyosema hivyo ulikua hujui kama unajifunga mwenyewe......sasa unataka niamini kitu ambacho sio halisia?
Sioni haja ya kuandaa tena uthibitisho muda ukifika ni kila mtu aweke uthibitisho wake,Uchambuzi yakinifu?
Hakuna anayetaka uchambuzi,..kama kuchambua watu washafanya hivyo maelfu ya miaka......Andaa uthibitisho sio uchambuzi,!
PICHA PICHA PICHA PICHA, leta picha ya Dunia flat ikionesha mabara yote,flattened.....SO, UNATAKA UTHIBITISHO GANI TENA MWINGINE WAKATI KILA SIKU MACHO YAKO YANAKUONYESHA KWAMBA DUNIA IPO FLATTENED?
Unafananisha vitu ambavyo havihusiani,......kwasababu hapa tunazungumzia ishu ambayo ni debatable over decades inapaswa zitumike picha halisia ili kuondoa utata., sasa ishu za xrays sidhani kama zina room kwenye suala hili.Ukisema hivyo it means hauamini pia picha za ultra sound na xrays?
Hvi mbona umekaa kishali shali wewe jamaaa ππππππUchambuzi yakinifu?
Hakuna anayetaka uchambuzi,..kama kuchambua watu washafanya hivyo maelfu ya miaka......Andaa uthibitisho sio uchambuzi,!
Hahahaaaah we si umesema picha ikiwa processed inakuwaj sio halisi ni fake? Sasa hata x rays unapaswa usiziamini piaUnafananisha vitu ambavyo havihusiani,......kwasababu hapa tunazungumzia ishu ambayo ni debatable over decades inapaswa zitumike picha halisia ili kuondoa utata., sasa ishu za xrays sidhani kama zina room kwenye suala hili
Hata ukifikiria hivyo still unakua hujathibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,,,,,,,Hahahaaaah we si umesema picha ikiwa processed inakuwaj sio halisi ni fake? Sasa hata x rays unapaswa usiziamini pia
Hahh,..nataka "UTHIBITISHO"Hvi mbona umekaa kishali shali wewe jamaaa ππππππ
Kila kitu utaki yaani wewe utaki tuu...
Haya tuambie wewe unataka nini...?
Mpira sio flat,.PICHA PICHA PICHA PICHA, leta picha ya Dunia flat ikionesha mabara yote,
Nikupe mfano mdogo tu, angalia vzr hizi picha hapa chini,
1.
View attachment 3173126
Nambie kutokana na picha hapo juu huo Mpira ni flat au sphere?
2.
View attachment 3173128
Ooh Ila ww utakuwa umethibitisha kuwa ni flat?Hata ukifikiria hivyo still unakua hujathibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,,,,,,,