Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Uchambuzi yakinifu?

Hakuna anayetaka uchambuzi,..kama kuchambua watu washafanya hivyo maelfu ya miaka......Andaa uthibitisho sio uchambuzi,!
Kila mtu alete uthibitisho usitake kujifanya kwamba ww hutakiwi kuleta uthibitisho wa hoja zako, au uondoe hoja yako ya Dunia ni tambarare
 
Kwann unahisi hoja haihitaji uthibitisho ila za wengine ndo zinahitaj uthibitisho pekee?
Hoja yangu ina uthibitisho,....hoja yangu ni kwamba ni bora tuamini kile ambacho tunaona na kuhisi (flat & Stationery earth),...kuliko kuamini kitu ambacho hatuoni wala kuhisi na hata kuthibitisha haiwezekani.

Mimi yoyote atakaeweza kuthibitisha kwamba dunia ni tufe na inazunguka kwenye uhalisia,..nitakua sina sababu ya kupingana nae,..kwasababu mtu anaepingana na ukweli ulio wazi ni mpumbavu na sitaki kuwa kwenye fungu hilo.
 
Hoja yangu ithibitisho inayo,....hoja yangu ni kwamba ni bora tuamini kile ambacho tunaona na kuhisi (flat & Stationery earth),...kuliko kuamini kitu ambacho hatuoni wala kuhisi na hata kuthibitisha haiwezekani.

Mimi yoyote atakaeweza kuthibitisha kwamba dunia ni tufe na inazunguka kwenye uhalisia,..nitakua sina sababu ya kupingana nae,..kwasababu mtu anaepingana na ukweli ulio wazi ni mpumbavu na sitaki kuwa kwenye fungu hilo.
Hapo ndio umeleta uthibitisho au unatushauri?? Leta picha za Dunia ikiwa tambarare ikionesha mabara yote, leta video ikionesha Jua linamove.
 
Basi ww ni mpumbavu, Kwa sababu umekataa picha nilizokupa bila sababu zozote.
 
Hapo ndio umeleta uthibitisho au unatushauri?? Leta picha za Dunia ikiwa tambarare ikionesha mabara yote, leta video ikionesha Jua linamove.
Kujua kwamba Dunia ipo flat na haifanyi movement,..huhitaji picha wala video (even though picha halisia zote hazijawahi kuonyesha kwamba Dunia ni tufe,.always utaona Dunia ikiwa flattened.....SO, UNATAKA UTHIBITISHO GANI TENA MWINGINE WAKATI KILA SIKU MACHO YAKO YANAKUONYESHA KWAMBA DUNIA IPO FLATTENED?

Tuje,. kwenye Dunia kuwa inazunguka,...tokea uzaliwe na previous gen's zote hazijawahi kuhisi wala ku observe kwamba Dunia ina move,...always unaamka asubuhi na kuihisi na kuiona Dunia ikiwa imetulia.....SASA UNATAKA UTHIBITISHO GANI TENA ZAIDI YA HUU?
 
Basi ww ni mpumbavu, Kwa sababu umekataa picha nilizokupa bila sababu zozote.
Picha nimezikataa kutokana na sababu ulizoweka wewe mwenyewe kwamba picha za Nasa ni processed sio raw photo, au ulivyosema hivyo ulikua hujui kama unajifunga mwenyewe......sasa unataka niamini kitu ambacho sio halisia?
 
Siogopi, kama unao leta hapa
Kwani hapo ulipo unaona Dunia iki move?
Unaona tufe?

Sasa unataka nikuthibitishie nini tena.?

Mimi nikisema Dunia ni flat...ni kitu ambacho hata wewe unaona kwa macho yako mawili.
Nikisema Dunia imetulia.....ni kitu ambacho mwili wako wote unakubaliana na hili.

Wewe ukisema dunia ni tufe, utaleta hadithi na uchambuzi.
Wewe ukisema Dunia ina move, utaleta hadithi na uchambuzi.

UMEONA TOFAUTI HAPO?
 
Uchambuzi yakinifu?

Hakuna anayetaka uchambuzi,..kama kuchambua watu washafanya hivyo maelfu ya miaka......Andaa uthibitisho sio uchambuzi,!
Sio shida mbona, ntathibitisha tena na wewe pia utathibitisha unachokisema Fair and square Easy peasy

Title:
"Kuthibitisha kama dunia ni tufe ama flat"
 
Picha nimezikataa kutokana na sababu ulizoweka wewe mwenyewe kwamba picha za Nasa ni processed sio raw photo, au ulivyosema hivyo ulikua hujui kama unajifunga mwenyewe......sasa unataka niamini kitu ambacho sio halisia?
Ukisema hivyo it means hauamini pia picha za ultra sound na xrays?
 
Uchambuzi yakinifu?

Hakuna anayetaka uchambuzi,..kama kuchambua watu washafanya hivyo maelfu ya miaka......Andaa uthibitisho sio uchambuzi,!
Sioni haja ya kuandaa tena uthibitisho muda ukifika ni kila mtu aweke uthibitisho wake,
Utaleta uthibitisho wako, na mimi ntauweka tena uthibitisho wangu. Fair and square
 
flattened.....SO, UNATAKA UTHIBITISHO GANI TENA MWINGINE WAKATI KILA SIKU MACHO YAKO YANAKUONYESHA KWAMBA DUNIA IPO FLATTENED?
PICHA PICHA PICHA PICHA, leta picha ya Dunia flat ikionesha mabara yote,

Nikupe mfano mdogo tu, angalia vzr hizi picha hapa chini,

1.
PXL_20241209_123818412.PORTRAIT.jpg

Nambie kutokana na picha hapo juu huo Mpira ni flat au sphere?

2.
PXL_20241209_123844949.PORTRAIT.jpg
 
Ukisema hivyo it means hauamini pia picha za ultra sound na xrays?
Unafananisha vitu ambavyo havihusiani,......kwasababu hapa tunazungumzia ishu ambayo ni debatable over decades inapaswa zitumike picha halisia ili kuondoa utata., sasa ishu za xrays sidhani kama zina room kwenye suala hili.

NB: Lengo langu mdahalo ufanyike saa6 mchana,..lakini nadhani umeelewa vibaya kwamba ni 12 Jioni..........kama mpo tayari hata dakika 15 toka sasa,,,sio mbaya
 
Uchambuzi yakinifu?

Hakuna anayetaka uchambuzi,..kama kuchambua watu washafanya hivyo maelfu ya miaka......Andaa uthibitisho sio uchambuzi,!
Hvi mbona umekaa kishali shali wewe jamaaa 😄😄😄😄😄😄

Kila kitu utaki yaani wewe utaki tuu...
Haya tuambie wewe unataka nini...?
 
Unafananisha vitu ambavyo havihusiani,......kwasababu hapa tunazungumzia ishu ambayo ni debatable over decades inapaswa zitumike picha halisia ili kuondoa utata., sasa ishu za xrays sidhani kama zina room kwenye suala hili
Hahahaaaah we si umesema picha ikiwa processed inakuwaj sio halisi ni fake? Sasa hata x rays unapaswa usiziamini pia
 
Back
Top Bottom