Edge haiwi determined kwa kuzungusha kitu kwenye mpira,..bali "edge" ni ile space ya mwisho kabisa ambayo mpira ume occupy!Okay, mm Nina uwezo mdogo wa kufikria. Jibu swali ukizungusha kitu kwenye surface ya Mpira around, utafikia kikomo??
Note: "edge is the outside limit of an object, area, or surface"
Umeelewa dfn uliyoweka au umeweka tu?? Limit of an object, area or surface.Edge haiwi determined kwa kuzungusha kitu kwenye mpira,..bali "edge" ni ile space ya mwisho kabisa ambayo mpira ume occupy!
Sijui unaelewa.
Kurahisisha tu nambie ukomo wa hii circular line hapa chiniEdge haiwi determined kwa kuzungusha kitu kwenye mpira,..bali "edge" ni ile space ya mwisho kabisa ambayo mpira ume occupy!
Sijui unaelewa.
Wewe una application ya hii elimu unayoipinga?Ni mangapi tunafundishwa na hatuyatumii katika maisha yetu ya kawaida au hata katika ajira zetu? Wewe Kwa sababu Hauna application ya hiyo elimu basi usiconclude Hakuna umuhimu
Ni nini Tofauti ya Mwezi na Jua pindi vinapohama position yake pindi uangaliapo kwa macho yako?Lini umeona Jua linatembea? Ni kitu Gani ulichoona mpk useme Jua linamove??
Kitendo Cha wewe kuona Jua halipo kwenye position lililokuwepo awali baada ya muda fulani kupita Haina maana kuwa Jua ndio limemove, inawezekana wewe ndio umehama position(Dunia).
Nakupa mfano tu, assume umesimama halafu mbele yako Kuna mti about 100m away from you, then ukaanza kutembea kuufata ukasogea 20m mbele, alafu ukaangalia tena huo mti utaona Sasa upo karibu kuliko awali(80m away).
JE, UTASEMA MTI UMESOGEA? AU WW NA MTI MMESOGELEANA??
According to globe earth;
Dunia inazunguka Jua, ww unaona Jua linahama position Kwa sababu ww ndo unamove kama nilivyokueleza kwenye mfano hapo juu.
Ni sawa kabisa kutumia akili zetu kutafakari lkn with common sense sio kulishana matangopori.
Sayansi inahangaika kuthibitisha iliyoyakuta yameumbwa na kwasababu hiyo kila siku tafiti zinafanyika ikiwa na maana bado haijafikia kikomobchabkuthibitisha kuankitu hiki kipo hivi kwasababu ya hivi.Ni Kwa namba gani umbo la Dunia kuwa duara linahusiana na mambo ya uumbaji? Ujinga mwingine ni kuchanganya sayansi na mambo ya Mungu au Imani.
Kwamba unamaanisha Mungu hawezi kuumba Dunia ambayo ni duara na ikazunguka Jua?
SAYANSI ni natural world the way it is, the way we observe, way we see it, it also involve experimentation and testing of theories against the evidence obtained. Sasa ukileta maswala ya Imani huku utachemka.
Fanya Marifa kabisa badala ya Maalifa. Kujibu nina elimu ambayo tayari unaonesha hautaki kujifunza kama ulivyojifunza hiyo uliyonayo inayopingana na hii unayoipata leo.Maarifa sio "Maharifa"
Umesema yana majibu halafu huwezi kujibu point yako ni ipi mzee??? Unajaribu kusema nini ?
Hapa sijakuelewa vizuri, una maanisha mungu ndo anahusika na elimu ya kiimani na shetani ndo anahusika na elimu ya sayansiMungu kaleta Masharti yake kupitia Imani na shetani kaleta Masharti yake kupitia Sayansi
Maswali yako ninmazuri sana kwa mtu anayetaka kujifunza Elimu nyingine juu ya Elimu aliyonayo kuhusu shape ya Dunia.Najaribu kukuelewa ila maswali ndo yanaongezeka.
Okay Earth is Flat.
1. So what is beneath it,?
2. Which person has ever gone there.?(proof)
3. Is there another Earth that is down there facing down as well?
4. Kama an Earth is flat why Some countries differ in times up to 6 and 10 hours, Don't you think we all should have the same time from morning to midnight? Yaani kama sasa hivi ni saa 12 basi hadi china, Denmark, Europe, USA kote iwe ni saa 12.
Kama unavojua ukimulika sahani na tochi hakuweza kuwa na upande wenye mwanga na mwingine wenye giza right?
5. What about other planets in the galaxy are they also in the center not moving, or they also revolve around earth or are not there at all?
6. Show us with proof which countries ambazo ziko pembezoni mwa hii flat earth ambazo tukienda tunakuta ukingo ambao ukienda zaidi utakua hua mwisho wa hiyo sahani (dunia) umetucholea kaka.
7. Lets say the earth is flat and the sun is revolving around it. So why do we have different sun-ray intensities. Don't you think we should all have same intensity at the same time throughout the day. Na jua likitua basi ingetokea ghafla tuu mara pah giza hilo ma asubuhi mara pap jua hilo.
Na zile nchi zilizopembezon wangekua wanapata juu kwa namna tofauti yaani nchi zilizo kwenye jua lipotoka basi ingekua jua kali kwao ni asubuh saa 12 jua likitoka tuu linakua kaliii. Halafu likifika matuo linakua la kawaida.
Halafu nchi ambazo zipo upande wa matuo ya jua basi wenyewe jua linakua kali mida ya saa 11 hadi saa 12 jioni harafu ghafla linapotea ni usiku. πππ (I'm just imagining)
Haswaa elimu ya kiimani hapa maanisha kiroho na Shetani ndie mmiliki wa Sayansi, kunielewa ni hivi. Sayansi ni Elimu inayohangaika kuthibitisha ukweli wa Kiroho. Namna Uumbaji wa Mungu ulivyofanyika na unavyofanya kazi. So ibilisi anahangaika ili yote hayo na yeye ayaweze kupitia Sayansi. Lengo kuu likiwa Mwanadamu Aache Kumwabudu Mungu na Amwabudu Shetani, hivi ni vita Mkuu.Hapa sijakuelewa vizuri, una maanisha mungu ndo anahusika na elimu ya kiimani na shetani ndo anahusika na elimu ya sayansi
Mfano wa hayo.Najaribu kukuelewa ila maswali ndo yanaongezeka.
Okay Earth is Flat.
1. So what is beneath it,?
2. Which person has ever gone there.?(proof)
3. Is there another Earth that is down there facing down as well?
4. Kama an Earth is flat why Some countries differ in times up to 6 and 10 hours, Don't you think we all should have the same time from morning to midnight? Yaani kama sasa hivi ni saa 12 basi hadi china, Denmark, Europe, USA kote iwe ni saa 12.
Kama unavojua ukimulika sahani na tochi hakuweza kuwa na upande wenye mwanga na mwingine wenye giza right?
5. What about other planets in the galaxy are they also in the center not moving, or they also revolve around earth or are not there at all?
6. Show us with proof which countries ambazo ziko pembezoni mwa hii flat earth ambazo tukienda tunakuta ukingo ambao ukienda zaidi utakua hua mwisho wa hiyo sahani (dunia) umetucholea kaka.
7. Lets say the earth is flat and the sun is revolving around it. So why do we have different sun-ray intensities. Don't you think we should all have same intensity at the same time throughout the day. Na jua likitua basi ingetokea ghafla tuu mara pah giza hilo ma asubuhi mara pap jua hilo.
Na zile nchi zilizopembezon wangekua wanapata juu kwa namna tofauti yaani nchi zilizo kwenye jua lipotoka basi ingekua jua kali kwao ni asubuh saa 12 jua likitoka tuu linakua kaliii. Halafu likifika matuo linakua la kawaida.
Halafu nchi ambazo zipo upande wa matuo ya jua basi wenyewe jua linakua kali mida ya saa 11 hadi saa 12 jioni harafu ghafla linapotea ni usiku. πππ (I'm just imagining)
Sayansi ni somo linalodili na ulimwengu mzima ni pana sana kuna laws za universe humo huwezi sema shetani ndo kazitengeneza kuna biology study ya living things kuna chemia huwezi sema shetani ndo katunga hivyo labda useme shetani ana manipulate elimu ya sayansi ila sio yeye ndo katunga somo la sayansi.Haswaa elimu ya kiimani hapa maanisha kiroho na Shetani ndie mmiliki wa Sayansi, kunielewa ni hivi. Sayansi ni Elimu inayohangaika kuthibitisha ukweli wa Kiroho. Namna Uumbaji wa Mungu ulivyofanyika na unavyofanya kazi. So ibilisi anahangaika ili yote hayo na yeye ayaweze kupitia Sayansi. Lengo kuu likiwa Mwanadamu Aache Kumwabudu Mungu na Amwabudu Shetani, hivi ni vita Mkuu.
duuu kaka hizi picha umeziona kweli?Mfano wa hayo.
Haina applicationJe
Wewe una application ya hii elimu unayoipinga?
Hakuna tofaut zote tunaona zimeahama positionNi nini Tofauti ya Mwezi na Jua pindi vinapohama position yake pindi uangaliapo kwa macho yako?
Sasa kama unalijua Hilo kuwa sayansi ipo kuthibitisha iliyoyakuta why unapinga ilichokithibitisha???Sayansi inahangaika kuthibitisha iliyoyakuta yameumbwa na kwasababu hiyo kila siku tafiti zinafanyika ikiwa na maana bado haijafikia kikomobchabkuthibitisha kuankitu hiki kipo hivi kwasababu ya hivi.