Najaribu kukuelewa ila maswali ndo yanaongezeka.
Okay Earth is Flat.
1. So what is beneath it,?
2. Which person has ever gone there.?(proof)
3. Is there another Earth that is down there facing down as well?
4. Kama an Earth is flat why Some countries differ in times up to 6 and 10 hours, Don't you think we all should have the same time from morning to midnight? Yaani kama sasa hivi ni saa 12 basi hadi china, Denmark, Europe, USA kote iwe ni saa 12.
Kama unavojua ukimulika sahani na tochi hakuweza kuwa na upande wenye mwanga na mwingine wenye giza right?
5. What about other planets in the galaxy are they also in the center not moving, or they also revolve around earth or are not there at all?
6. Show us with proof which countries ambazo ziko pembezoni mwa hii flat earth ambazo tukienda tunakuta ukingo ambao ukienda zaidi utakua hua mwisho wa hiyo sahani (dunia) umetucholea kaka.
7. Lets say the earth is flat and the sun is revolving around it. So why do we have different sun-ray intensities. Don't you think we should all have same intensity at the same time throughout the day. Na jua likitua basi ingetokea ghafla tuu mara pah giza hilo ma asubuhi mara pap jua hilo.
Na zile nchi zilizopembezon wangekua wanapata juu kwa namna tofauti yaani nchi zilizo kwenye jua lipotoka basi ingekua jua kali kwao ni asubuh saa 12 jua likitoka tuu linakua kaliii. Halafu likifika matuo linakua la kawaida.
Halafu nchi ambazo zipo upande wa matuo ya jua basi wenyewe jua linakua kali mida ya saa 11 hadi saa 12 jioni harafu ghafla linapotea ni usiku. 😂😂😂 (I'm just imagining)
Maswali yako ninmazuri sana kwa mtu anayetaka kujifunza Elimu nyingine juu ya Elimu aliyonayo kuhusu shape ya Dunia.
Kwanza kabisa toa fikra za Jua limesimama pindi unapotaka kuijua hii elimu.
Pili elewa kua hata hii flat ni duara pia kama sahani au disk au shilingi mia tano. Na pia sio ndogo ninkitu kikubwa mno chenye mito na mabonde ndani yake.
Tatu, ili kuielewa hii shape na nmna vitu vinavyopatikana kama ambavyo vinapatikana katika shape ya dunia uijuayo, hapa ni mchezo mdogo tuu, tuliza akili utanielewa kama lengo lako kujifunza.
Nakupa mfano mdogo tuu, Ukiweza ufanyie majaribio kabisa. Kama una kitu cha mviringo mfano wa shape ya dunia uijuayo kwa sasa, kichore ramani ya dunia na mabara yake na namna unavyoambiwa yamekaaje, kwenye barabla Barafu (Antactica) litoboe kati kati halafau fanya kama unalichana hilo umbo lako ili litengeneza shape ya duara tambarare kama disc. The utuambie hilo bara linaonekanaje baada ya jaribio hilo.
Jaribio la pii chukua karatasi kubwa likate duara, halafukati kati yake lichore ramani ya dunia na mabara yake ila usilichore bara la Antactica, badara yake pembezini mwa kingo za hilo karatasi andika neno Antactika kuzunguka karatasi hilo. Baada ya hapo tafute kitu cha duara mviringo kama chungwa au hololi kinachoweza kufunikwa na hilo karatasi then utujulishe neno Antactika limekaa wapi?
Kwenye flat Jua kuzunguka dunia usiku na mchana unapatikana vizuri tuu, unachotakiwa kufahamu jua ni dogo sana kuliko dunia, hivyo haitaweza kuangaza pande zote, mfano ni saa yako ya mshare ikiwa na kataa kadogo katika point ya mshale wa saa kawe kanamulika kwa chini hautaweza kuziona namba zote zaidi ya zitakazokua karibu na point ya mshale huo.
Mengine kama formula zinazopatikana katika shape ya mviringo ndizo hizohizo zinazofanya kazi katika dunia tambarare, isipokua ni kwa njia ya utambarare.
Proof ya nchi ambazo ukienda utaukuta huo ukingo, ni nchi zote ambazo kwenye ramani zimekaribiana na bara la Antactica maana kwenye flat bara la Antactica ni kingo za barafu zinazoizunguka dunia, kama utayafanya yale majaribio, utaelewa zaidi. Na proof ya person aliyefika, ni wale wote waliofika katika bara hilo.
Kama kuna dunia nyingine siwezi au hatuwezi jua maana kutoka nje ya dunia ni kitu kisichowezekana kabisa.
Asanteh!!