Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Okay, mm Nina uwezo mdogo wa kufikria. Jibu swali ukizungusha kitu kwenye surface ya Mpira around, utafikia kikomo??

Note: "edge is the outside limit of an object, area, or surface"
Edge haiwi determined kwa kuzungusha kitu kwenye mpira,..bali "edge" ni ile space ya mwisho kabisa ambayo mpira ume occupy!

Sijui unaelewa.
 
Mkuu hateeb10
I performed the test kwa hii meeting inasikika vizuri nimeshare link kwa mtu mwingine kajoin na anasikia vizuri, sielewi kwanini ulikuwa unadai husikii
Join meeting I still have plenty of time.

meet.google.com/spe-hjte-pim
 
Edge haiwi determined kwa kuzungusha kitu kwenye mpira,..bali "edge" ni ile space ya mwisho kabisa ambayo mpira ume occupy!

Sijui unaelewa.
Umeelewa dfn uliyoweka au umeweka tu?? Limit of an object, area or surface.

Sasa surface ya Mpira Ina limit Gani au mwenzetu unawaza Kwa kutumia nn? Au Mpira Hauna surface?
 
Edge haiwi determined kwa kuzungusha kitu kwenye mpira,..bali "edge" ni ile space ya mwisho kabisa ambayo mpira ume occupy!

Sijui unaelewa.
Kurahisisha tu nambie ukomo wa hii circular line hapa chini

download.png
 
Najaribu kukuelewa ila maswali ndo yanaongezeka.

Okay Earth is Flat.

1. So what is beneath it,?

2. Which person has ever gone there.?(proof)

3. Is there another Earth that is down there facing down as well?

4. Kama an Earth is flat why Some countries differ in times up to 6 and 10 hours, Don't you think we all should have the same time from morning to midnight? Yaani kama sasa hivi ni saa 12 basi hadi china, Denmark, Europe, USA kote iwe ni saa 12.

Kama unavojua ukimulika sahani na tochi hakuweza kuwa na upande wenye mwanga na mwingine wenye giza right?

5. What about other planets in the galaxy are they also in the center not moving, or they also revolve around earth or are not there at all?

6. Show us with proof which countries ambazo ziko pembezoni mwa hii flat earth ambazo tukienda tunakuta ukingo ambao ukienda zaidi utakua hua mwisho wa hiyo sahani (dunia) umetucholea kaka.

7. Lets say the earth is flat and the sun is revolving around it. So why do we have different sun-ray intensities. Don't you think we should all have same intensity at the same time throughout the day. Na jua likitua basi ingetokea ghafla tuu mara pah giza hilo ma asubuhi mara pap jua hilo.

Na zile nchi zilizopembezon wangekua wanapata juu kwa namna tofauti yaani nchi zilizo kwenye jua lipotoka basi ingekua jua kali kwao ni asubuh saa 12 jua likitoka tuu linakua kaliii. Halafu likifika matuo linakua la kawaida.

Halafu nchi ambazo zipo upande wa matuo ya jua basi wenyewe jua linakua kali mida ya saa 11 hadi saa 12 jioni harafu ghafla linapotea ni usiku. 😂😂😂 (I'm just imagining)
 
Lini umeona Jua linatembea? Ni kitu Gani ulichoona mpk useme Jua linamove??

Kitendo Cha wewe kuona Jua halipo kwenye position lililokuwepo awali baada ya muda fulani kupita Haina maana kuwa Jua ndio limemove, inawezekana wewe ndio umehama position(Dunia).

Nakupa mfano tu, assume umesimama halafu mbele yako Kuna mti about 100m away from you, then ukaanza kutembea kuufata ukasogea 20m mbele, alafu ukaangalia tena huo mti utaona Sasa upo karibu kuliko awali(80m away).

JE, UTASEMA MTI UMESOGEA? AU WW NA MTI MMESOGELEANA??

According to globe earth;
Dunia inazunguka Jua, ww unaona Jua linahama position Kwa sababu ww ndo unamove kama nilivyokueleza kwenye mfano hapo juu.

Ni sawa kabisa kutumia akili zetu kutafakari lkn with common sense sio kulishana matangopori.
Ni nini Tofauti ya Mwezi na Jua pindi vinapohama position yake pindi uangaliapo kwa macho yako?
 
Ni Kwa namba gani umbo la Dunia kuwa duara linahusiana na mambo ya uumbaji? Ujinga mwingine ni kuchanganya sayansi na mambo ya Mungu au Imani.

Kwamba unamaanisha Mungu hawezi kuumba Dunia ambayo ni duara na ikazunguka Jua?

SAYANSI ni natural world the way it is, the way we observe, way we see it, it also involve experimentation and testing of theories against the evidence obtained. Sasa ukileta maswala ya Imani huku utachemka.
Sayansi inahangaika kuthibitisha iliyoyakuta yameumbwa na kwasababu hiyo kila siku tafiti zinafanyika ikiwa na maana bado haijafikia kikomobchabkuthibitisha kuankitu hiki kipo hivi kwasababu ya hivi.

Ujinga ni kubaki na elimu usiyohitaji kuithibitisha kwa akili zako mwenyewe, kumbuka AKILI ninkile kinachobaki pindi ukiyatoa yooote uliyofundishwa. Je Mtoto ambaye hajaanza kufundishwa Sayansi, ukimuuliza Jua linatembea au limesimama atakujibu vipi? Au ukimuuliza Mwezi unatembea au Umesimamabatakujibu vipi?

Ujanja sio kupinga usiyoyajua, bali ujanja ni kutetea yale uliyo na uhakika nayo. Hivi unadhani kuna kuna mtu ambaye hajafundishwa kua Dunia ni kama tufe? Je kuhoji uhakika wa hilo somo ni Ujinga.

Turudi katika Imani. Je yaliyopo katika Sayansi kwenye Imani hayapo? Nipe mfano hatabmmoja kipinkipo katika Sayansi ila katika Imani za Dini hakipo.

Biblia katika kitabu cha Mwanzo tuu, Unapata habari za uumbwaji wa Dunia na Shape yake. Je imeelezea ipo katika umbo gani? Je Jua au Mwezi vimetofautishwaje kiimani kuankimoja kimesimama kingine kinatembea. Na ndio nikauliza, Ni nini Utofauti wa Jua na Mwezi pondi tuviangaliapo kwa Macho vikiwa vinahama position yake yaani kutembea. Au nikubariki na Swali hili, kwanini unaamini Mwezi haujasimamansehemu moja kama unavyoamini kwa Jua?

Kiimani au Kiroho kuna Vita ya Shetani na Mungu kila mmoja akitaka Mwanadamu Amtumikie, Mungu kaleta Masharti yake kupitia Imani na shetani kaleta Masharti yake kupitia Sayansi, so Uamuzi ni wako maana hakuna linalowezekana Kisayansinkiimani likashindikana vivyo hivyo Sayansi Inahangaika kuyawezesha ya Kiimani yawezekane Kisayansi. Narudia upande wa kiimani au Kiroho ni Somo lingine pana zaidi ili uweze kuielewa Sayansi na Malengo yake.

Hapa kwakua unabishania kitu ulichofundishwa dhidi ya uhalisia wa milangonyako ya fahamu namna unavyoona kuhisi nk, ni ngumu kutoka katika kifungo ulichofungwa kwa zaidi ya miaka saba dhidi ya Uhuru unaooneshwa kwa Sekunde kadhaa za kusoma hojabzinazopingana na uliyomezeshwa, maana naamini haujawahi kuthibitisha kwa hisia zako kua Dunia inazunguka ila kwa Macho yako huwa unaliona Jua likitembea.
 
Maarifa sio "Maharifa"
Umesema yana majibu halafu huwezi kujibu point yako ni ipi mzee??? Unajaribu kusema nini ?
Fanya Marifa kabisa badala ya Maalifa. Kujibu nina elimu ambayo tayari unaonesha hautaki kujifunza kama ulivyojifunza hiyo uliyonayo inayopingana na hii unayoipata leo.

Kwanza kubali ulichofundishwa kwa miaka Mingi. Halafu kubali kupoteza Muda kuihoji hiyo elimu, itakua ni rahisi kuyaelewa majibu utakayopewa na kuyahoji kwa lengo la kuujua ukweli wake na si hivi unavyohoji kwa kuamini ni uongo wakati hiyo elimu hauna.

Mimi nina elimu zote juu ya umbo la dunia kati ya utambarare duara na mviringo duara ndio maana kupitia milango yangu ya fahamu nimeujua ukweli ni upi. Je wewe una Elimu ya dunia ni Tambarare? Au je Elimu ya Dunia Mviringo uliipatia hapa jukwaani.?
 
Mungu kaleta Masharti yake kupitia Imani na shetani kaleta Masharti yake kupitia Sayansi
Hapa sijakuelewa vizuri, una maanisha mungu ndo anahusika na elimu ya kiimani na shetani ndo anahusika na elimu ya sayansi
 
Najaribu kukuelewa ila maswali ndo yanaongezeka.

Okay Earth is Flat.

1. So what is beneath it,?

2. Which person has ever gone there.?(proof)

3. Is there another Earth that is down there facing down as well?

4. Kama an Earth is flat why Some countries differ in times up to 6 and 10 hours, Don't you think we all should have the same time from morning to midnight? Yaani kama sasa hivi ni saa 12 basi hadi china, Denmark, Europe, USA kote iwe ni saa 12.

Kama unavojua ukimulika sahani na tochi hakuweza kuwa na upande wenye mwanga na mwingine wenye giza right?

5. What about other planets in the galaxy are they also in the center not moving, or they also revolve around earth or are not there at all?

6. Show us with proof which countries ambazo ziko pembezoni mwa hii flat earth ambazo tukienda tunakuta ukingo ambao ukienda zaidi utakua hua mwisho wa hiyo sahani (dunia) umetucholea kaka.

7. Lets say the earth is flat and the sun is revolving around it. So why do we have different sun-ray intensities. Don't you think we should all have same intensity at the same time throughout the day. Na jua likitua basi ingetokea ghafla tuu mara pah giza hilo ma asubuhi mara pap jua hilo.

Na zile nchi zilizopembezon wangekua wanapata juu kwa namna tofauti yaani nchi zilizo kwenye jua lipotoka basi ingekua jua kali kwao ni asubuh saa 12 jua likitoka tuu linakua kaliii. Halafu likifika matuo linakua la kawaida.

Halafu nchi ambazo zipo upande wa matuo ya jua basi wenyewe jua linakua kali mida ya saa 11 hadi saa 12 jioni harafu ghafla linapotea ni usiku. 😂😂😂 (I'm just imagining)
Maswali yako ninmazuri sana kwa mtu anayetaka kujifunza Elimu nyingine juu ya Elimu aliyonayo kuhusu shape ya Dunia.

Kwanza kabisa toa fikra za Jua limesimama pindi unapotaka kuijua hii elimu.

Pili elewa kua hata hii flat ni duara pia kama sahani au disk au shilingi mia tano. Na pia sio ndogo ninkitu kikubwa mno chenye mito na mabonde ndani yake.

Tatu, ili kuielewa hii shape na nmna vitu vinavyopatikana kama ambavyo vinapatikana katika shape ya dunia uijuayo, hapa ni mchezo mdogo tuu, tuliza akili utanielewa kama lengo lako kujifunza.

Nakupa mfano mdogo tuu, Ukiweza ufanyie majaribio kabisa. Kama una kitu cha mviringo mfano wa shape ya dunia uijuayo kwa sasa, kichore ramani ya dunia na mabara yake na namna unavyoambiwa yamekaaje, kwenye barabla Barafu (Antactica) litoboe kati kati halafau fanya kama unalichana hilo umbo lako ili litengeneza shape ya duara tambarare kama disc. The utuambie hilo bara linaonekanaje baada ya jaribio hilo.

Jaribio la pii chukua karatasi kubwa likate duara, halafukati kati yake lichore ramani ya dunia na mabara yake ila usilichore bara la Antactica, badara yake pembezini mwa kingo za hilo karatasi andika neno Antactika kuzunguka karatasi hilo. Baada ya hapo tafute kitu cha duara mviringo kama chungwa au hololi kinachoweza kufunikwa na hilo karatasi then utujulishe neno Antactika limekaa wapi?

Kwenye flat Jua kuzunguka dunia usiku na mchana unapatikana vizuri tuu, unachotakiwa kufahamu jua ni dogo sana kuliko dunia, hivyo haitaweza kuangaza pande zote, mfano ni saa yako ya mshare ikiwa na kataa kadogo katika point ya mshale wa saa kawe kanamulika kwa chini hautaweza kuziona namba zote zaidi ya zitakazokua karibu na point ya mshale huo.

Mengine kama formula zinazopatikana katika shape ya mviringo ndizo hizohizo zinazofanya kazi katika dunia tambarare, isipokua ni kwa njia ya utambarare.

Proof ya nchi ambazo ukienda utaukuta huo ukingo, ni nchi zote ambazo kwenye ramani zimekaribiana na bara la Antactica maana kwenye flat bara la Antactica ni kingo za barafu zinazoizunguka dunia, kama utayafanya yale majaribio, utaelewa zaidi. Na proof ya person aliyefika, ni wale wote waliofika katika bara hilo.

Kama kuna dunia nyingine siwezi au hatuwezi jua maana kutoka nje ya dunia ni kitu kisichowezekana kabisa.
Asanteh!!
 
Hapa sijakuelewa vizuri, una maanisha mungu ndo anahusika na elimu ya kiimani na shetani ndo anahusika na elimu ya sayansi
Haswaa elimu ya kiimani hapa maanisha kiroho na Shetani ndie mmiliki wa Sayansi, kunielewa ni hivi. Sayansi ni Elimu inayohangaika kuthibitisha ukweli wa Kiroho. Namna Uumbaji wa Mungu ulivyofanyika na unavyofanya kazi. So ibilisi anahangaika ili yote hayo na yeye ayaweze kupitia Sayansi. Lengo kuu likiwa Mwanadamu Aache Kumwabudu Mungu na Amwabudu Shetani, hivi ni vita Mkuu.
 
Najaribu kukuelewa ila maswali ndo yanaongezeka.

Okay Earth is Flat.

1. So what is beneath it,?

2. Which person has ever gone there.?(proof)

3. Is there another Earth that is down there facing down as well?

4. Kama an Earth is flat why Some countries differ in times up to 6 and 10 hours, Don't you think we all should have the same time from morning to midnight? Yaani kama sasa hivi ni saa 12 basi hadi china, Denmark, Europe, USA kote iwe ni saa 12.

Kama unavojua ukimulika sahani na tochi hakuweza kuwa na upande wenye mwanga na mwingine wenye giza right?

5. What about other planets in the galaxy are they also in the center not moving, or they also revolve around earth or are not there at all?

6. Show us with proof which countries ambazo ziko pembezoni mwa hii flat earth ambazo tukienda tunakuta ukingo ambao ukienda zaidi utakua hua mwisho wa hiyo sahani (dunia) umetucholea kaka.

7. Lets say the earth is flat and the sun is revolving around it. So why do we have different sun-ray intensities. Don't you think we should all have same intensity at the same time throughout the day. Na jua likitua basi ingetokea ghafla tuu mara pah giza hilo ma asubuhi mara pap jua hilo.

Na zile nchi zilizopembezon wangekua wanapata juu kwa namna tofauti yaani nchi zilizo kwenye jua lipotoka basi ingekua jua kali kwao ni asubuh saa 12 jua likitoka tuu linakua kaliii. Halafu likifika matuo linakua la kawaida.

Halafu nchi ambazo zipo upande wa matuo ya jua basi wenyewe jua linakua kali mida ya saa 11 hadi saa 12 jioni harafu ghafla linapotea ni usiku. 😂😂😂 (I'm just imagining)
Mfano wa hayo.
 
Attachments

  • 900px-Flat_Earth_Seasons.svg.png
    900px-Flat_Earth_Seasons.svg.png
    106 KB · Views: 3
  • Seasons.png
    Seasons.png
    11.4 KB · Views: 1
  • Map.png
    Map.png
    395.8 KB · Views: 1
  • 405px-SunAnimation.gif
    405px-SunAnimation.gif
    1.4 MB · Views: 4
Haswaa elimu ya kiimani hapa maanisha kiroho na Shetani ndie mmiliki wa Sayansi, kunielewa ni hivi. Sayansi ni Elimu inayohangaika kuthibitisha ukweli wa Kiroho. Namna Uumbaji wa Mungu ulivyofanyika na unavyofanya kazi. So ibilisi anahangaika ili yote hayo na yeye ayaweze kupitia Sayansi. Lengo kuu likiwa Mwanadamu Aache Kumwabudu Mungu na Amwabudu Shetani, hivi ni vita Mkuu.
Sayansi ni somo linalodili na ulimwengu mzima ni pana sana kuna laws za universe humo huwezi sema shetani ndo kazitengeneza kuna biology study ya living things kuna chemia huwezi sema shetani ndo katunga hivyo labda useme shetani ana manipulate elimu ya sayansi ila sio yeye ndo katunga somo la sayansi.
 
Mfano wa hayo.
duuu kaka hizi picha umeziona kweli?

1. em angalia hii picha ya mwisho inayoonesha mzunguko wa jua. Hivi ni kweli visiwa vikivyo katikati ya Greenland na Europe vyenyewe havina usiku? Maana kwa picha inavoonesha hiyo sehem hakuna muda ambao jua linaondoka completely.

2. Tukija point nyingine mbona hizi picha hazioneshi Ramani au mabara yakiwa yamenyooka (as you said flat), bali yanaonesha kama threeD vile. Yaani kama mabara yamenyoka kama yapo kwenye sahani na picha ingeonesha ni ramani iliyo flat pia. Don't you think?
 
Sayansi inahangaika kuthibitisha iliyoyakuta yameumbwa na kwasababu hiyo kila siku tafiti zinafanyika ikiwa na maana bado haijafikia kikomobchabkuthibitisha kuankitu hiki kipo hivi kwasababu ya hivi.
Sasa kama unalijua Hilo kuwa sayansi ipo kuthibitisha iliyoyakuta why unapinga ilichokithibitisha???
 
Back
Top Bottom