The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Jibu Kwa hoja acha kusema nimekariri, ulichoandika hapo mwisho umekielewa au umekopi na kupaste tu?Wewe umekariri vya kuambiwa ila kushughulisha akili yako hutaki,...yaani ingewezekana tuwe ana kwa ana kisha tuchukue Mpira nikuonyeshe physically & practically kwamba mpira una ukomo nadhani ungeacha ubishi usioingia akilini.
Tafakari,..
Kwahy unakataa ndege hazitumii hii route?? Kwahy wanatudanganya??Nani kakudanganya?
Na kwanini Ndege zina fly horizontally bila ku bend down over the so called curvature of the earth?
Ushawahi kuona Ndege Ina fly vertically downward/upward?........
Ndege zina fly horizontally over the flattened earth kwasababu Dunia ni flat.
Yap upo sahihi,. Hicho ndiyo cha msingi haijalishi kwamba kuna interests au hamna ila kinachotakiwa ni evidence(s) ambazo zitatuthibitishia kwamba:-So its better kila side itoe proof zake za kisayansi na sio kusema kuwa kuna interests wanayopata wanapoaminisha watu kuwa dunia ni round angali dunia ni flat.I got u.
Nimekielewa,..au una wasiwasi na hilo?Jibu Kwa hoja acha kusema nimekariri, ulichoandika hapo mwisho umekielewa au umekopi na kupaste tu?
Kwa sababu huwezi kujibu miaka yako yote, na hii inathibitisha uzaifu wa hoja yako.Sijaona swali la kujibu hapo,..
Sasa kama umekielewa Kuna tofauti Gani na nilichoreply hapo mpk ukimbilie kusema nimekariri?Nimekielewa,..au una wasiwasi na hilo?
Ndege kutumia hiyo route, hakuthibitishi kwamba Dunia ni tufe,....Kwahy unakataa ndege hazitumii hii route?? Kwahy wanatudanganya??
Speaking about ndege kufly vertically ni uongo ndege zinafata curvature of the earth,
yaani unataka nione ndege ipo vertically downward kivipi??
Hujauliza swali kisha unataka nijibu,...umeweka picha bila ya swali,..uliza ulichokusudia.Kwa sababu huwezi kujibu miaka yako yote, na hii inathibitisha uzaifu wa hoja yako.
Kama umeshindwa kujibu hili swali basi no wazi sasa usiendelee kutudanganya humu eti Dunia ni flat. OVER
Kwanza unaelewa maana ya great circle route au anahangaika na mtu haelewi??Ndege kutumia hiyo route, hakuthibitishi kwamba Dunia ni tufe,....
Nimeweka picha nikauliza elezea inawezekana vipi hicho kitu kwenye tambarare? Au hukuelewa nn? Mpk ukaniuliza hivi👇Hujauliza swali kisha unataka nijibu,...umeweka picha bila ya swali,..uliza ulichokusudia.
Sasa Mimi muda huo nipo upande Gani mpk niione ndege ipo vertically down?Sasa kama Dunia ni tufe, 🌎 ikiwa Ndege inataka ifike Destination ambayo Ipo Southern in reference kutoka pale ambapo Ipo,...unategemea itafikaje? Si lazima iende vertically downward? Maana ikinyoosha Horizontally haitoweza kufika destination husika!!
(Ni Somo Ni pana Mno) bila hilo somo na upana wake katika kuishi ungeathirika na nini? vipi yatokanayo na upana wasomo hilo, yamekurahisishia kuishi au yameongeza ugumu wa wewe kuishi? aliyetaka usome hilo somo mpaka ujue hizo law za universe alikua anatafuta nini kiasi asingekipata kipi kingetokea katika maisha. Yote hayo kwa uwezo wa Muumbaji yalishaumbika ili kusapoti maisha ya kila alichokiumba, ndio maana leo kuna watu wanasifiwa kwa ugunduzi na si kwa uumbaji. maana kila kitu kilikuwepo na walikikuta kipo. sasa shetani kwakutaka sifana wanadamu tumsifu akatumia wafuasi wake walete masomo watu tumuamini yeye kuliko aliyeviumba.Sayansi ni somo linalodili na ulimwengu mzima ni pana sana kuna laws za universe humo huwezi sema shetani ndo kazitengeneza kuna biology study ya living things kuna chemia huwezi sema shetani ndo katunga hivyo labda useme shetani ana manipulate elimu ya sayansi ila sio yeye ndo katunga somo la sayansi.
Kama unataka kubishana, maswali yako yanahoja. ila kama unataka kuelewa hakuna gumu lisiloeleweka hapo. hiyo picha ni katika kukuonesha Jua linavyoizunguka Dunia hadi tunapata usiku na mchana ili wewe na waliouliza waelewe. pia hiyo si picha halisi itokanayo na Camera yoyote ile. Na ni kweli hivyo visiwa kuna miezi huwa havina usiku na kuna miezi huwa havina mchana na hiyo inajulikana hata katika elimu ya Dunia Mviringo.duuu kaka hizi picha umeziona kweli?
1. em angalia hii picha ya mwisho inayoonesha mzunguko wa jua. Hivi ni kweli visiwa vikivyo katikati ya Greenland na Europe vyenyewe havina usiku? Maana kwa picha inavoonesha hiyo sehem hakuna muda ambao jua linaondoka completely.
2. Tukija point nyingine mbona hizi picha hazioneshi Ramani au mabara yakiwa yamenyooka (as you said flat), bali yanaonesha kama threeD vile. Yaani kama mabara yamenyoka kama yapo kwenye sahani na picha ingeonesha ni ramani iliyo flat pia. Don't you think?
Namaanisha hivi. Sayansi Inathibitisha Bomu linaua watu wengi kupitia kwenye Movie za kivita tunazoziangalia, Je Niamini wale wanaokufa huwa wamekufa kweli?Sasa kama unalijua Hilo kuwa sayansi ipo kuthibitisha iliyoyakuta why unapinga ilichokithibitisha???
Hapo tutabaki tunazunguka tuu maana mimi nilikijaji nilichokisoma Juu ya Umbo la Dunia kuwa ni Mviringo, sasa wewe ukinijaji mimi utakosa kuifahamu elimu nyingine juu ya Umbo la Dunia kuwa ni Tambarare. unachokosea unajaji Watu badala ya Elimu. Chakufanya tafuta elimu ya Dunia Tambarare halafu njoo uijaji kupitia sisi tunaoiamini. maana si kitu tunachokitunga kupitia Jukwaa hili. Ni Somo pana tuu kama Tulivyoisoma Dunia Mviringo.Ndo maana upo hapa tutoe tulichofundishwa lete hoja zako kuhusu umbo la Dunia tambarare zenye logic, me nakujaji kulingana na unachosema ww.
Hio Iinawezekana kwakuthibitisha kua Jua ni dogo kuliko Dunia na linamove kuizunguka Dunia...Explain this, how is it possible kwenye Dunia tambarare?
View attachment 3174372
Ok, Unaweza kunitajia Kitabu Cha historia kilichoandikwa na Mtu mweusi na kikatumika kufundishia watu weusi? Umesoma sisi tumetokana na Nyani, Je na hao wazungu wanaundishwa hivyo?wazungu walichunguza na wakagundua kuna mabara yana mali nyingi na waliweza kuvuka maji ya kutisha na kuyafikia mabara hayo na kuyatawala na kufanikiwa kuhamisha mali za huko hadi kwao.
ukiangalia hata ramani zote za barabara zinazotumika kwenye bara la africa bado wanatumia ramani zilezile za wazungu wakoloni.watu weusi tumeshindwa hata kubuni njia zetu za kututoa sehem moja hadi nyingine iwe nchi kavu,bahari hata anga.
wazungu haohoa leo wamefikia kufika mwezini na kutuletea picha za dunia yako kama ilivyo. na sasa wanachanja mbuga miaka sio mingi wanaingia sayari ya mars.
kwamafanikio haya wenzetu wazungu sio wa kubezwa hatakidogo.kama una cha kuwapinga zaidi toa ushahidi wako ambao haugusi kabisa ushahidi wa wazungu katika utafiti wao.
KITU PEKEE AMBACHO MIMI NAWEZA KUWAPINGA WAZUNGU NI KUTULETEA DINI ZAO TU. pamoja vitabu vya dini ndio vitabu walivyoweka kumbukumbu zao na kuendeleza utafiti wao wa kidunia na maisha ya wanadamu,wakati sisi tunaendelea kuwa wajinga wa kuto kugundua mtego huu.
Tatizo lako upo kubishana Kutaka Ushindi, ningekujibu hili vizuri tuu.hateeb10 naona hili swali limekuwa gumu sana kwako??? Kabla sijauliza linguine jibu kwanza hili.
View attachment 3177073
KWANZA KINADHARIA DUNIA ZOTE NI DUARA, ila kuna Mviringo kama Chungwa au yai, hii ndio inafundishwa madarasani na Kuna hii ya Duara kama sahani au Disk isiyofundishwa Darasani.Sasa hao wanaosema dunia ni duara wanapata faida gani,na kwa nini watufiche kuwa dunia ni duara!?
Hapo hapo Anathibitisha Jua linamove kama Mwezi ila anabishana na Ukweli alionao yeye mwenyewe. ajabu Sana.Cha kufanya thibitisha kwamba Dunia ni tufe linalozunguka,. Hizo ishu za New World Order Wala hazihusiki kwenye kuthibitisha......
Mwaka unaisha, cha ajabu mpaka leo umeshindwa kuthibitisha:-
1. Dunia ni tufe 🌎
2. Dunia inazunguka.
Ungekua na uthibitisho usingepata shida,. ungethibitisha muda mrefu sana., TATIZO HUNA UTHIBITISHO, TATIZO HUWEZI KUTHIBITISHA.