Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
upo mtupu hata kwenye hiyo Sayansi ya BingBang, hiyo energy inaelezewa hadi inapotokea au ilipotokea. si kwamba ni unknowing energy. na Mungu hajahusishwa. kila inapokosa chanzo Sayansi inaforce kua lazima kuna chanzo ambacho ni hiki. Kama ingeamini kuna Nguvu za Mungu tafiti zisingekuwepo maana hivyo vitabu vya Mungu vinathibitisha yeye Hatafitiki.

hao machimpanzee tumesoma walivyokua wanabadilika hadi kua binadamu, vipi muendelezo wake, umeishia wapi? na hadi wazungu wametokana na hiyo theory?

kuna natural things gani ambavyo havijaumbwa na vipo hapa duniani?
 
vizuri kama ulivyofundishwa au kwakutaka kufundishwa?
Sio kunifundisha au nilivyofundishwa, elezea ueleweke. Sasa kusema tu Jua ni dogo kuliko Dunia ndo inafanya hiki kitokee unaona umeeleweka? Tatizo lako unataka nionekane kama natafta ushindi Bali mm nataka uelezee ni kivipi kwenye umbo duara.

 
hao machimpanzee tumesoma walivyokua wanabadilika hadi kua binadamu, vipi muendelezo wake, umeishia wapi? na hadi wazungu wametokana na hiyo theory?
Unaona hata hujui hiyo Theory!! Wapi sayansi inasema chimpanzee alibadirika akawa binadamu?
 
@hatreb NkumbiSon

Mkiweza kunijibu haya maswali mawili tu Kwa ufasaha ntaanza kuamini Kuna uwezekano wa Dunia kuwa tambarare.

1. Swali nililouliza awali kuhusu hii picha



2. Uwepo wa Gravity, flat earhers wanapinga kuwa hakuna gravity na zaidi wanadai vitu vinafall Kwa sababu ya density Kwa maana ya kwamba chenye density Kubwa kitashuka chini na chenye density ndogo kitapanda juu that's right.

Swali langu: je ni nini kinaamua au ni force Gani unafanya kitu hicho(high dense) kishuke chini na sio pembeni(left or right) na Wala sio juu? Kwa maana sehemu zote hizo ni less dense ukicompare na hiyo object.
Mfano ukiweka kitu kwenye hewa hakikai hapo kitashuka chini(fall) kwann kisiende juu? Au kisiende pembeni(left or right) maana hata pembeni au juu ya hicho kitu Kuna air ambayo ni less dense pia?

Nikijibiwa haya maswali Kwa ufasaha Kwa Logic ntaanza kuamini kuwa Kuna uwezekano wa Dunia kuwa duara. Asante.
 
kwani wewe hiyo picha unaielewaje?
Naielewa kuwa Jua linaonekana half na half nyingine ikiwa behind the horizon kutokana na Dunia kuwa duara. Haya maelezo ni kutokana na nilivyosoma na kifundishwa na actually inamake sense.

So, nachotaka mnipe Elimu nyingine mliyonayo kwenye flat Earth. Nazani nimeeleweka unaweza kujibu swali sasa.
 
Sayansi ni Shetani maana inapingana na Uumbaji kwa sehemu kubwa.
1. Mungu aliumba Jua lizunguke tujue masaa, Sayansi Ikatengeneza saa kwahesabu za Jua ili tusiamini Kilichoumbwa na Tukiamini kilichotengenezwa.
Hata Mungu mwenyewe atakuwa anakushangaa!! Kabla ya kuwepo Kwa saa, watu walikuwa hawana system ya kujua saa Bali majira. Ila saa imeleta system ya namba mfano saa 2:45 huwezi kuijua Kwa kuangali Jua na hii imesaidia sana mfano unampango wa kuamka saa 9:15 usiku utaangalia GIZA? Ila ukiwa na saa ni Rahisi tu kujua.

Yaani kumgombanisha Mungu na Sayansi huo ni uchawi mkubwa sana. Sayansi sio Elimu inayohusu Imani ya aina yoyote, Bali ni elimu ya watu wote wanaoamini Mungu, wasioamini Mungu na wasioamini uwepo wa Mungu. Kwa sababu sayansi ni nature, the way vitu vipo na vinavyotokea bila kujali kuwa vilitengenezwa na MUNGU au lah! Zaidi sayansi itaangalia formation yake tu kama hicho kitu kimetengenezwa na vitu fulani na fulani basi.
 
Unastaajabisha sana!!! Kwahy Ili vitu vielee lazima Newton ausike? Au kabla ya Newton kuwepo vitu vilikuwa havifall down? Ni kivipi SAFINA iliaibisha Sayansi au inasupport sayansi?
 


Your browser is not able to display this video.
 
Ndio nini hiki?
Humo kuna explanations nyingi sana ikiwemo illusionary effect inayokufanya uone as Jua linaibuka na kuzama kitu ambacho kinasababishwa na REFRACTION,.(Kasome zaidi,. naamini utaelewa).





The celebrity Can you take water and conform it into a ball that spins.......?
 
Humo kuna explanations nyingi sana ikiwemo illusionary effect inayokufanya uone as Jua linaibuka na kuzama kitu ambacho kinasababishwa na REFRACTION,.(Kasome zaidi,. naamini utaelewa).
Kwann usiexplain hapa? How refraction inafanya Jua lionekane half? Na Kwa madai ya flat earth mnasema Jua huwa linaenda mbali na ndio maana tunaona limepotea na kunakuwa usiku, sawa; lakini swali la kujiuliza tu kama ni kweli Jua linaenda mbali kwann lisipungue SIZE as we know kitu kikiwa mbali zaidi size yake inapungua lakini upande wa Jua halipungui size Bali linaonekana kinazama kama lilivyo Naomba maelezo hapa kusoma nimeshasoma.


Picha: mfano wa Jua likionekana half

Na naomba majibu ya swali la pili pia.Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…